Ni mkataba wa kugushi unaosema Kagoma aliuzwa na yanga kwenda Fountain Gate. Mkataba huwa hauna kukosea. Kagoma ni mchezaji wa Fountain Gate kulingana na mkataba. Ninyi mnaobwabwaja si wanasheria. Hamjui maana ya mkataba. Yaani hakuna hata cha kujadili hapo kwasababu hakuna mkataba hapo. Na hawawezi tena kuurekebisha walipokosea. Hizo milioni 60 ni kwa wachezaji watatu? Yanga alitoa milioni 60 kwaajili ya Kibabage na Azizi Andambile. Tafuteni mikataba ya hao wachezaji wawili muone vichekesho vya yanga.¹ Isitoshe. Suala hilo la Kagoma na Kibabage limefanyika wakati wamefungiwa na Fifa. Mnavyoliendeleza hilo ni kama mnawashitaki Fifa. Tatizo watu wengi wanaoongea ni mbumbumbu. Hawajui kinachoendelea. Hawajaona mkataba unaoongelewa
Kwa ushauri wangu Yanga juu ya kagoma watulie na ikiwezekana mwanasheria wao wampime kwa Mambo 3 akishindwa wamuachie, Yanga wanajishtaki wenyewe FIFA iliyowafungia kusajiri kuwa walikuwa wanasajiri na kusainisha wachezaji, mwanasheria yupo anajua kanuni kwa mchezaji kusain mikataba 2 hajui kanuni za kufungiwa usajir na ukagunduliwa unasajir kwa timu. Wanajifunga watulie.
Bakari malima, Bado hajalifatilia jambo hili, na kama amelifatilia, hakupata taarifa kutoka vyanzo SAHIHI. Vinginevyo anaongea Kwa ushabiki wa timu flani. Halafu Ninyi wachambuzi mmefanikiwa kuongea na Singida fountain gate?
Ninyi note hapo studio ni msmbumbu wa sheria, tulieni muwasikilize wanasheria wa vilabu HASA wewe Salumu hujui lolote umebakia kuwa shabiki tu, nyote hapo studio mnaonyesha elimu menu ndogo sana , mnajionyesha wenyewe kutokana na uwasilishaji menu wa hoja pamoja na linsi mnavyotetea hoja, mnaidharaulisha radio menu
Typing error inatakiwa ionekane kabla ya kusaini. Mkataba ukishasainiwa hauna marekebisho tena. Kwahiyo vyombo vya sheria vitauchukulia kama ulivyo. Na kwa taarifa yenu wamesha upeleka mpaka Tff. Utawambiaje rudisheni tusahihishe? Na je Kagoma atakubali kuja kuusaini tena? Hapo hakuna mkataba. Wameshajimaliza.
Akuna hyo yang wahuni tu sili imefchuka kwani kibabage na andamwile wameendaje kule yanga wapo kwamkopo au wamesajiliwa nahzo pesa walizotowa yang zinamaekezo acheni uchambuz njaaaa Kuma nyie machokolaaaaaa
Nyie wachambuzi naona mnalalia upande mmoja tu mfano wenu huo mbona lameck lawi ishu yake ipoje naleo yuko wapi pili Yanga kutoka hadhalan kuonesha mkataba huon wanajitafuti balaa Fifa huo mwez 3-4 yanga alikuwa na ban kusajil had alipe maden afu leo hii anatoka hazaran kuonesha mikataba fifa waakiona hiyo cripu si atafungiwa maisha
Mimi sio mwanasheria, lakini Kwa maelezo ya yanga na singida kupia wanasheria hao nawaZa Singida wakati wanaandika barua ili fedha ya kagoma imalize swala la kibabage walikuwa wanwomba au mkataba wao ulikuwa unaruhusu hivyo? Kama sio hivyo ni Kwa nini maswala ya kagoma waingize kibabage?
Ni kwasababu kulikuwa na biashara ya wachezaji watatu, Andembwile, Kibabage na Kagoma. Malipo hayakusema ni Kwa ajili gani. Unapofanya malipo bank unatakiwa useme haya malipo ni Kwa ajili ya usajili mfano wa Kibabage na Kagoma. Ukiacha bila maelezo naweza sema ni ya Andembwile na Kibabage.
Jona umesema ukweli. Na kwa usahihi Kibabage na Andambwile ndio walioanza kusajiliwa huku mazungumzo na Kagoma yakiendelea na hatimaye Kibabage na Andambwile wako Yanga tayali. Hivyo fedha inayolipwa kimantiki italipia wale wawili wa awali.
YANGA MAJUWA NA HUYO DADA ALPHONCE ANAMATATIZO SANA
Viongozi amewaeleza wenye timu yao kilichotokea na kinachoendelea wala haijaishurutisha kamati ya tff.
YANGA WAHUNI
YANGA ALICHELEWESHA HELA MDA ULIPITA
Huyo haongei mpira anaongea unazi tu.
Ni mkataba wa kugushi unaosema Kagoma aliuzwa na yanga kwenda Fountain Gate.
Mkataba huwa hauna kukosea. Kagoma ni mchezaji wa Fountain Gate kulingana na mkataba. Ninyi mnaobwabwaja si wanasheria. Hamjui maana ya mkataba. Yaani hakuna hata cha kujadili hapo kwasababu hakuna mkataba hapo. Na hawawezi tena kuurekebisha walipokosea.
Hizo milioni 60 ni kwa wachezaji watatu? Yanga alitoa milioni 60 kwaajili ya Kibabage na Azizi Andambile. Tafuteni mikataba ya hao wachezaji wawili muone vichekesho vya yanga.¹ Isitoshe. Suala hilo la Kagoma na Kibabage limefanyika wakati wamefungiwa na Fifa. Mnavyoliendeleza hilo ni kama mnawashitaki Fifa.
Tatizo watu wengi wanaoongea ni mbumbumbu. Hawajui kinachoendelea. Hawajaona mkataba unaoongelewa
Maichal obi alikua vipimo man u na hatimaye akaenda chelsea
Kwa ushauri wangu Yanga juu ya kagoma watulie na ikiwezekana mwanasheria wao wampime kwa Mambo 3 akishindwa wamuachie, Yanga wanajishtaki wenyewe FIFA iliyowafungia kusajiri kuwa walikuwa wanasajiri na kusainisha wachezaji, mwanasheria yupo anajua kanuni kwa mchezaji kusain mikataba 2 hajui kanuni za kufungiwa usajir na ukagunduliwa unasajir kwa timu. Wanajifunga watulie.
Wachambuzi hawa ni viazi,yaani kuwaeleza wenye timu yao ni kosa? Huyu uchambuzi wake ni zero
Bakari malima, Bado hajalifatilia jambo hili, na kama amelifatilia, hakupata taarifa kutoka vyanzo SAHIHI. Vinginevyo anaongea Kwa ushabiki wa timu flani. Halafu Ninyi wachambuzi mmefanikiwa kuongea na Singida fountain gate?
Vurugu Za yanga NA GSM Ndio mana wanataka kudhamin Ligi ya NBC hawana nia nzr mbwa hao
Ninyi note hapo studio ni msmbumbu wa sheria, tulieni muwasikilize wanasheria wa vilabu HASA wewe Salumu hujui lolote umebakia kuwa shabiki tu, nyote hapo studio mnaonyesha elimu menu ndogo sana , mnajionyesha wenyewe kutokana na uwasilishaji menu wa hoja pamoja na linsi mnavyotetea hoja, mnaidharaulisha radio menu
Kweli yanga madunduka😂
hapo mwanasheria ni kilaza
we achana na kuitetea yanga wazee WA madeni
Kingereza hawajywi hapoyanga kunashida
Ogopa matapeli
Muwe mnasikia wao anasema makubaliano ni mwez wa sita mwisho hawakutimiza
Typing error inatakiwa ionekane kabla ya kusaini. Mkataba ukishasainiwa hauna marekebisho tena. Kwahiyo vyombo vya sheria vitauchukulia kama ulivyo. Na kwa taarifa yenu wamesha upeleka mpaka Tff. Utawambiaje rudisheni tusahihishe? Na je Kagoma atakubali kuja kuusaini tena? Hapo hakuna mkataba. Wameshajimaliza.
kwani kagoma mwezi wa3 alikuwa kigoma?
Mwanashelia wa utopolo haijui shelia akasome ubya mbwahuyo
Akuna hyo yang wahuni tu sili imefchuka kwani kibabage na andamwile wameendaje kule yanga wapo kwamkopo au wamesajiliwa nahzo pesa walizotowa yang zinamaekezo acheni uchambuz njaaaa Kuma nyie machokolaaaaaa
Walete tatu za kagoma za kibabage na azizi andambwile
Nnyii na malima ni mambumbumbu facts za kes hamjui..kwanza kuna kipindi cha pingamiz je yanga walileta pingamzi?
Malima analeta uyanga
Nyie wachambuzi naona mnalalia upande mmoja tu mfano wenu huo mbona lameck lawi ishu yake ipoje naleo yuko wapi pili Yanga kutoka hadhalan kuonesha mkataba huon wanajitafuti balaa Fifa huo mwez 3-4 yanga alikuwa na ban kusajil had alipe maden afu leo hii anatoka hazaran kuonesha mikataba fifa waakiona hiyo cripu si atafungiwa maisha
Hao nimihemuko
jembe ulaya ongea Kama professional coach Acha Uyanga madeni
Hahahaha mwanasheria anaomba nguvu za mashabiki zisaidie yusuph kagoma aende yanga hao hao walisema pale kwao kagoma asingecheza 🛸🐸🐸🐸🐸🐸
MANARA kitambotu alishaga waambia wenye akili niwawilitu onasasa wanacho kiandika hetiwao ndo waliwauzia fountain gate mchezaji yana taasisikama yanga inakosa wasomi mzee MAGOMA akiongea ukweli wanamchukia inasikitishasana.
Mimi sio mwanasheria, lakini Kwa maelezo ya yanga na singida kupia wanasheria hao nawaZa
Singida wakati wanaandika barua ili fedha ya kagoma imalize swala la kibabage walikuwa wanwomba au mkataba wao ulikuwa unaruhusu hivyo?
Kama sio hivyo ni Kwa nini maswala ya kagoma waingize kibabage?