MAGUFULI - "WAKIMBIZI Ondokeni KWENU, Hatuwezi KUWAPA URAIA, Mnaua Watu WANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • MAGUFULI - "WAKIMBIZI Ondokeni KWENU, Hatuwezi KUWAPA URAIA, Mnaua Watu WANGU"
    Rais Dkt John Magufuli leo Oktoba 11, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi na Gridi ya Taifa kwa njia ya Msongo 132 kutoka Tabora..
    Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani Katavi akiwa na mawaziri wasiopungua nane, anazungumza pia kwenye mkutano wa hadhara..
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:
    www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 11

  • @fabianbusungu8455
    @fabianbusungu8455 5 років тому +2

    Rais wetu mungu awe pamoja nawe katika kuiongoza tanzania yetu

  • @mathiasmsese6128
    @mathiasmsese6128 5 років тому +2

    kama kuna wakimbizi wetu wako huko ulaya ubelgiji rudini tuijenge nchi - BABA KASEMA

  • @topisanzeyimana9296
    @topisanzeyimana9296 5 років тому +1

    Kweli kabisa 👍🏿

  • @damianlugendo9161
    @damianlugendo9161 5 років тому +1

    Mmh! Kweli uncle magu nakubali we ni Germany machine hatar hauyumbi

  • @sampatrick9519
    @sampatrick9519 5 років тому +2

    Tanganyika

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 років тому

    Nakuaminia mlugaluga

  • @allenjoseph8314
    @allenjoseph8314 5 років тому

    Ni shida

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 5 років тому

    Hii camera nikama zile za enzi ya Mwalimu j nyerere.

  • @chanutuchake9959
    @chanutuchake9959 5 років тому

    Leo magufuri kaniangusha kweli kweili iyo kauli unayo tumiya kuwakimbizi sio zuri kama ingekuwa niwanaichi wasio jielewa. Kama wasuzi ulikuwa umeleta vita yawakimbizi nawanaichi