Shemasi Kikoti Akiimba Injili Takatifu Mbele ya Maaskofu Wote Katika Uwanja wa Amani Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

КОМЕНТАРІ • 19

  • @jumannebasesa1100
    @jumannebasesa1100 Рік тому +2

    Mungu aendelee kukubariki

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 Рік тому +3

    Mungu ni mwema,nimebarikiwa sn

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 11 місяців тому +1

    🙏🙏❤❤

  • @stanleyluoga236
    @stanleyluoga236 2 роки тому +4

    Hamilton, anaturudisha kwenye asili ya Ukatoliki wetu, anasoma na kuimba Injili kwa ustadi mkubwa.
    Tuna kila sababu ya kumwombea kwa Mungu ili aendelee kuitenda kazi yake vizuri.
    Nimefarijika kwa usomaji huu usiokuwa wa mazoea.
    Mungu aendelee kukubariki

  • @saidizusan7446
    @saidizusan7446 2 роки тому +4

    Jamani huyu Shemas kanifurahisha sana 🌹🌹🌹

  • @clarasenya5706
    @clarasenya5706 2 роки тому +3

    Pongezi sana kwako Shemas,.Keep it up

  • @daudimwalongo5803
    @daudimwalongo5803 Рік тому +1

    Padreee kikoti we love you from mwanagati parokia mt Veronica ❤❤

  • @gertrudeolisa3392
    @gertrudeolisa3392 Рік тому +1

    Shemasi yuko vizuri

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 2 роки тому +2

    Mungu akubariki sn, nimefarijika sn ktk neno la uzima

  • @joshuagaspary5561
    @joshuagaspary5561 2 роки тому +3

    Hongera mwakikoti Mungu akutie nguvu usikate tamaa katika kulitumikia taifa la Mungu

  • @frolenziaandrea7822
    @frolenziaandrea7822 2 роки тому +1

    Nimependa usomaji wako Amina sana 🙏🙏

  • @margaretikongo1782
    @margaretikongo1782 2 роки тому +2

    Hongera sana

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 2 роки тому +1

    Excellent brother in Christ

  • @desderipatrick8392
    @desderipatrick8392 2 роки тому +2

    Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba uzidi kumuimarisha huyu mtumishi wako apate kuitenda kazi yako vyema. Pongezi nyingi kwako Shemasi ila kwasasa wewe umeshakuwa Padre.

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 2 роки тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 2 роки тому +1

    safi sana baba shemasi

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 2 роки тому +1

    Safi sana shemas

  • @frolenziaandrea7822
    @frolenziaandrea7822 2 роки тому

    🙏🙏