Familia zimewachwa bila makao kufuatia ubomoaji eneo la Nyama Villa, Kayole

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024
  • Familia kadhaa katika eneo la Kayole hapa Nairobi zitalala nje usiku huu baada ya nyumba zao kubomolewa
    kufuatia vuta nikuvute ya ardhi. Utata huu ukitokana na madai kuwa mfanyabiashara huyo alimiliki ardhi hiyo kinyume na sheria. Japo awali tuliarifu kuwa mzozo huu ulihusisha kaunti ya Nairobi, hakuna kwa njia yoyote ambapo kaunti ilihusika na mzozo. Ode Francis anaarifu zaidi

КОМЕНТАРІ • 57

  • @charlesmoturi1522
    @charlesmoturi1522 3 години тому +5

    Time Will tell when each individual will pay the price.....

  • @Monica-z4g
    @Monica-z4g 3 години тому +11

    Even then there should be process of doing things like giving people time to relocate

    • @Thgn-yt3ep
      @Thgn-yt3ep 3 години тому +4

      exactly. Watu wamepoteza all household items. Replacing them is not a joke. Those are innocent people who had nothing to do with whatever is being alleged

  • @sarahmwende2425
    @sarahmwende2425 2 години тому +6

    Christmas masikini wa Mungu tunateseka sana

  • @stanleynyangweso4485
    @stanleynyangweso4485 2 години тому +3

    Mimi nijipate nanunua ploti Nairobi

  • @luckyhenrymutie1822
    @luckyhenrymutie1822 3 години тому +6

    Time will tell Mr Kasongo.😢😢

    • @jessenopiyoadory8031
      @jessenopiyoadory8031 2 години тому

      Ruto had nothing to do with it, the rightful owner of the land won the court case and that's it

  • @isabellahbwari3168
    @isabellahbwari3168 3 години тому +3

    Pole😢😢😢

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler 2 години тому +1

    900million ksh is close to a billion Kenya shillings which is a hefty amount of cash, Kenya is absolutely LAWLESS zone. Bure kabisaaa

  • @CarolinMuch
    @CarolinMuch 3 години тому +3

    Woiye kweli kila chombo kiko na maana ,yake sasa wheelbarrow ndio hii sasa

  • @BlessedfavouredmaggieofChrist
    @BlessedfavouredmaggieofChrist 3 години тому +3

    Affordable housing in 20yrs itakuwa hivi 😢

  • @jacksonnjagi7781
    @jacksonnjagi7781 2 години тому +4

    Gachagua was impeached for standing against such inhumane actions

  • @Wakabson
    @Wakabson 4 години тому +2

    Mungu okoa Kenya

    • @KibiruWanjiru
      @KibiruWanjiru 2 години тому

      n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina yote kubwa please

  • @uwemattiss880
    @uwemattiss880 Годину тому

    Even a general won't make 900 million in his whole career.

  • @TopgangCulture
    @TopgangCulture 3 години тому +2

    Why is the government doing this, allowing bribes then coursing innocent citizen to suffer like this

  • @samuelmbugua8414
    @samuelmbugua8414 3 години тому +2

    Ati 900milion.

  • @julicenyabaro5291
    @julicenyabaro5291 2 години тому

    😮😳😳😳🙆🙆

  • @sheriffempire1208
    @sheriffempire1208 Годину тому

    Tukatwe tax za kujenga affordable house alafu tuuziwe
    ..kumbafu zetu

  • @patriciaanyili1757
    @patriciaanyili1757 3 години тому +2

    So demolish houses to build houses and create employment

    • @davidmuli896
      @davidmuli896 Годину тому

      My dear that is the question

    • @davidmuli896
      @davidmuli896 Годину тому

      This man is just harming Kenyans kila siku 😢😢

  • @keepitreal335
    @keepitreal335 2 години тому +1

    Retired kdf 😮what message do you have for police na military wenye wanatumika ku oppress Kenyans!!They are no better than us on day it could be them😅

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 2 години тому +1

    Lakini wanafanya vibaya mbona wasiambiwe wakuje watoe vitu vyao before wabomoe surely

  • @scholasticakerry9887
    @scholasticakerry9887 2 години тому +1

    Hii n 90 ongeza zero moja

  • @HillaryKoech-pk2se
    @HillaryKoech-pk2se 4 години тому +1

    wezi wa Mashamba Kenya ii watajua hawajui..😂😂

  • @keithmulwa3236
    @keithmulwa3236 2 години тому

    Thirikari ya tugunia

  • @ibrahimdumal3547
    @ibrahimdumal3547 3 години тому

    No justice

  • @charlesmoturi1522
    @charlesmoturi1522 2 години тому +1

    Why is KASONGO doing this to people of Kenya?

    • @keepitreal335
      @keepitreal335 2 години тому

      Na vyenye walimpigia kurq roho safi haki😢

  • @ambroserono3118
    @ambroserono3118 2 години тому

    900 milion ??

  • @BlessedfavouredmaggieofChrist
    @BlessedfavouredmaggieofChrist 3 години тому +2

    900M? 1:03

  • @Billcl8nyon
    @Billcl8nyon 3 години тому

    They must have been given notice to vacate. Why wait until the last minute?

    • @ChefSmaoo
      @ChefSmaoo 3 години тому +1

      😢It's never as easy as it sounds

  • @AbrahamIssack
    @AbrahamIssack 4 години тому +1

    Ruto ruto ruto

  • @franciskiarie3396
    @franciskiarie3396 3 години тому

    90000000

  • @moshajexplore
    @moshajexplore 3 години тому

    Don't panic watu wa murima it's just to pave space for the affordable housing benefit 😂😂😂

    • @georgeodhiambo2118
      @georgeodhiambo2118 3 години тому

      Watu wa Mrima 😂😂😂😂😂

    • @walteralulu8483
      @walteralulu8483 2 години тому +1

      Away from this Ruto killed gen z I'm from western but I will never vote for him. He should be in jail

    • @buzzafrique3700
      @buzzafrique3700 Годину тому

      Alulu atleast one noble kenya who is not tribalistic