Katibu NEEC, Beng’i Issa azindua Huduma ya Uwezeshaji Kiuchumi wanawake na vijana ya TAG-CLT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Tukio hili lilitokea Jumanne wiki iliyopita ambapo kanisa letu la TAG - City Light Temple lilizindua HUDUMA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI WANAWAKE NA VIJANA (HUWKI) iliyofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari ya Matosa huku mgeni rasmi akiwa ni mama Beng’i M. Issa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC).
    Angalia na kusikiliza kwa makini maneno ya mgeni rasmi pamoja na Mchungaji Kiongozi Dr. Omary Kalama Mulenda

КОМЕНТАРІ •