Baraka Thomas Mashibe - Zingatieni Haki
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Zingatieni haki ni moja ya wimbo pendwa uliyotungwa na marehemu mwalimu Charles SaaSita, Mungu azidi kumpa pumziko lenye heri mbinguni 🙏🏾
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani, AMINA
Baraka nitumie # by Edward
Hakika mikono inatoa heshima juu ya kinanda na kinatii amri👏👏👏
Hongera Sana kamanda wangu Mungu Aibariki kazi ya mikono yako
Talented🎉
Tuonane kwa kazi nyingine bro
👏🏽👏🏽👏🏽 Hongera sana Kijana 🔥🔥🔥
Very blessed fingers indeed 🙏🙏
Umetisha sana
Broo u kill it
Daaah safi sana
Hongera Sana Unaitendea haki Talanta yako.
Brother unajua mpaka unakera dah
Hongera sana.. Mwenyezi Mungu azidi kukulinda...
Baraka mwenye vidole vya baraka
🙏🙏 lack of words for expressing this. bro it's splendid
That is gud 🎉
Nitamwimbia bwana kwa kuwa ni mwema.
Atari sana
Kakaaaaaaa
Mashibe ❤
👏👏👏
❤️❤️❤️
Huu unyama sio wa kawaida😂😂
Bro nipo Spain but naupenda música sacra wa tz
@cleofasmosha9879 Tumshukuru Mungu 👏🏽 karibu sanaaaa Tz
mzuri Sana nimependa nitafute nikusaidie kufikisha mbali namba zangu pale Kwa 'yutube yangu
🎉
Unajua lakini mbna kama unapishasha nahii video
Bro uko vzr sema ninashida na namba yako
Hivyo vidole kaka! 3:3 vs 3:4😂😂! Hiyo fingering imeenda PhD
Kuanzia dakika ya 0:34😅
Oya mm nifanye nn mkuu niwe hvyo????.