Viongozi wa ODM waunga mkono kauli ya Raila ya kuwataka wakenya kukumbatia mazungumzo
Вставка
- Опубліковано 10 лип 2024
- Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM kutoka Nyanza wameunga mkono kauli ya kinara wa Azimio Raila Odinga kuwataka wananchi wakumbatie mazungumzo ya kitaifa yanayolenga kushirikisha watu 150 kutoka sekta mbalimbali wakiwemo vijana. viongozi hao wanasema kuw amasuala ambayo vijana wanapigania yatatuliwe ni yale yale ambayo viongozi wa kisiasa na hasa wa upinzani wamekuwa wakiyapigania.
Raila is looking after himself with his dialogues...
Raila is there for his personal interest apewe zake aende si tumbaki tukiumia but hii ni ile Kenya ukiongea unanyamazishwa....
Power of the prayers God to glorified every time. God will not allow the devil to play with his children in Kenya. God never leaves is children. God love is unmeasurable. God never listens to those want bad things to happen to our country but listen those are praying for the good of country.
❤🇰🇪❤ Gen Z...🎉🤜👍
All this political class have been in power for over 30 years and things have gotten worse! We need fresh-faced leaders maybe they will change this country for the better
Raila's dialogues ndio zimetueka kwa hii shimo. Akae kando
Yeye ndio aloweka ruto kua president 😂😂 ni sisi wenyewe na kazi Iko kwetu
1:59 There is always a time to hand over the mantle; let Raila do the right thing, handover to his mantee if he us any. We need justice, unity and love in this country not ODM blind support to what their leader wants ...who benefits out of all his dialogues, his immediate family members and close allies😊
We the youths, majority in population we Reject Dialogues. We stand firm for Justice and Accountability and Services Delivery. You will not silence us through fake dialogues . Its new dawn for Kenya.
Have done one step , waiting more and truth within given time ,kiunjuri mp laikipia finish your promise we lv you
Ushenzi sana.
BUT NOT JOINING UDA. AND KK
Orengo unaota mtu wangu.
Pia hawa ni wezi.
Raila is a patriot and democrat....a believer in the rule of law and freedom fighter
toka ndani
Ruto sai Ni amekuwa dem atakatiwa
watashtuka 2027 Kalonzo atengezee chama yake Na Riggy G they talk more sense
Sense gani kwa water 🍉
@@khammadjeffa515 gen Z just want Ruto gone they don't want dialogue that is what Kalonzo said
@@ViceAdmiralVasilyArkhipov RUTO hakuna mahali anaenda before 2027, ambia water 🍉ache kujipea headache
What are we dialoguing about?
Position's?
You watu from Kisumu you mean Raila' is ever right? Continue serving your Master!!!!!
We are not boarding 😭
ODM taking advantage ya gen z
Hii ujinga mumeanza tunawangalia sana dialogue when we have lost lives in the hundreds
Cs have been fired without Raila efforts or dialogue wasitupange sisi ndio tunapanga
Talk to who??
Nusu mkatee hahahha,ni mazungumzo
This fools are representing who....
This all must be voted out... and recalled urgently including the once wise Jimmy orengo
Raila ndiye huwa anazuia changes sasa muachieni kizazi kipya kileta mfumo mpya wa uongozi nyinyi odm mnataka kuturudisha kwa game yenyu ya kuinjoy wafrika
Kizazi kipya kinaharibu zaidi
Dialogues deaths corruption and looting needs to end time for action is now
Hao upinzani ndo conmen number one. Those governors who have talked what av they done to their counties Ruto don't be lied to finish corruption and our country will be great.
Hatutaki dialogue
nyinyi wenye mnaongea negative apa coment section ndio goons mnataka country ikue mbaya ,,,tupatane street
Kumbe hawa awana habari kwa hata raila atumtambua sasa
Baas sahi wako wawili .. they can now talk to each other
God is not in this
He is trying to know the leader of gen z among the 150people he invited, zakayo know you,wajinga waliisha
Raila is a traitor
Ndio mpewe nusu mkate..
Rubbish
Raila anataka mukate nuzu, amerundisha watu wa nyanza nyuma ,siku ile RAILA atakufa Kenya itakuwa vizuri yeye ndio kiini cha shida kila wakati akishidwa.
You talk alot here because you don't understand the genesis of Genz,it was formed by opposition.
Yes Dialog is the best 🙏
Vinjana wapate kazi 🙏
Waache kuhangaika 🙏
Na raisi wetu Williams Samui Ruto a heshimiwe 🙏✋✌️👏