Sio eti ana-mind president (Ruto) ndio aongeze miaka tano, no. Anamaanisha kuwa wakati wa campaign Uhuru Kenyatta aliambia wakenya wamchague Odinga lakini wakakataa kumsikia Uhuru wakamchagua Ruto ambaye anaumiza wakenya kwa kupandisha ushuru kila siku. So anataka Ruto aongeze tena miaka tano ndio wakenya watie akili
@@Khalidniya380 He could have sealed the corruption loopholes. Our problem is not on the collection side but on the expenditure side. Na hapo ndio Ruto ameshindwa.
moti ni gari Boy wa chillie chillie is Octopizzo Ukibishana sana wanakutax ushuru- The Current Government Mlibanja sana hamtaki Uhuru- Meaning you were complaining you don't want Uhuru Kenyatta Kidungi- bunduki ocha ni kijijini wanajua you are a doctor Chocha niku-panga mtu ama danganya in a good way
Maneno mengine ni siyo Sheng ni kikikuyu! OCHA=Ushango= Kijijini SHENG Dokii= Daktari Mokii= Motor car ( from old English)= Gari Mbogi= Mob ( sijui eymology yake ni gani
Most of lyrics anatalk about kenyan life si madonga.... Kuongeza Miaka tano ni lazziness ya wake+ kkuvote wasee hawafai.... Vibes iko juu
Chocha..... hype
Moti ....... gari
Ocha ...... kijijini
Doki..... doctor
Ngwete?
Waambie hype na Kiswahili 😂
@@felixgathe gwete ni kuku
@@felixgathengwete ni fala
karao@@felixgathe
Dope reaction Van❤. Khaligraph Jones is the rapper in Africa and a genius lyrically 🌷🌸💞🎼🎼🎶🎶🎵🎵🎺🎺🎹🎹🎸🎸💖🇰🇪
Anice hit wow!
Iam here for OG.....🎶📈🇰🇪
Big up Isikaka Love from Kenya 🇰🇪 🤚🏼
You’ll be blown away by this artist Qwiss, the most talented trap artist in Africa.
Nakubali sana kaka tena sana kinyamwezi kabisa
We are here for OG
Cheki ule boy Wa chilly chilly analengwa😂😂🔥 OG is dissing Octopizzo🎱 kama unagitch🐐
254 to the world 🔥🚀
254........Kaligraph Jonnnneesssss🎉
Big up bro 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 your going far👊👊👊👊
More love from Kenya bro
@vanisikaka react to men can lie Vic west ft brandy maina ft ssaru...wapi likes zangu🔥
thanks for reacting to this 🥂🔥
Moti ni gari bwana wewe😂
Doki ni daktari😂
Kukanja ni kutoa ama kulipa😂
😂😂😂Og kills it everyday😂much love from 254
🎉🎉🎉 cool
Moti ni gari, big up for the reaction
Ocha ni kijijini
Sio eti ana-mind president (Ruto) ndio aongeze miaka tano, no. Anamaanisha kuwa wakati wa campaign Uhuru Kenyatta aliambia wakenya wamchague Odinga lakini wakakataa kumsikia Uhuru wakamchagua Ruto ambaye anaumiza wakenya kwa kupandisha ushuru kila siku. So anataka Ruto aongeze tena miaka tano ndio wakenya watie akili
What Miracles Raila would use to make life easy ?
wakenya watie akili aje wewe unaongea kwanza uko nazo 😌
Azimiolosers Hadi huku mnaekelea Ruto mashida zenu 😂😂😂
@@Khalidniya380 He could have sealed the corruption loopholes.
Our problem is not on the collection side but on the expenditure side. Na hapo ndio Ruto ameshindwa.
@@tbrucechebore Our problem is a governance problem. The way the country is being governed contributes much to our personal problems.
💥💥💥💥Fanya ya vannila na ya k2ga vanny
Respect og
254kenya all the way ❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂buda unauma nje kila kitu,yoooh!
Respect for all asuspect?
Broo unatuweka Sana .... you know what!!!
Kinyamweziii ki Vaniskakaa! Big up ndugu
baba ni raila
Umelalia 254 VannyBoy
Ameangusha ngoma ingine Leo inaitwa 8am in Nairobi.react to it
moti ni gari
Boy wa chillie chillie is Octopizzo
Ukibishana sana wanakutax ushuru- The Current Government
Mlibanja sana hamtaki Uhuru- Meaning you were complaining you don't want Uhuru Kenyatta
Kidungi- bunduki
ocha ni kijijini wanajua you are a doctor
Chocha niku-panga mtu ama danganya in a good way
kidungi is gangstaer...kujipin ni kuwa armed na gun
Respect The OG Budaaaaaa. 😂😂😂😂
bro please react to kung fu okello max .bonge la ngoma
Badmind kisirisiri anatengwa..Van
Chochaa-uongo
Ocha- kijijini
Dokii-dakitari
Motii-Gari
🇰🇪
Ocha ...... kijijini
Doki..... doctor
Chocha..... hype
Moti ....... gari
Uongo flani hivi ( chocha)
Moti....... Diga
Ocha .....kijijini
Doki...... Doctor
Chocha..... Hype
254 rep
Wewe umejichocha mwenyewe nyimbo imekupiga.
Eei😂 nacheka venye kumbe sisi pia wa tz hawaelewi lugha yet maze
Fanya ya KRG the don ft Konshens
VannyBoy acha Usenge....otile l, buruklyn boyz, ssaru, trio mio
Ocha ni mashambani ushago😂😂
Chocha n jokes
uko na kikundi.....chochaaaa
Van eeh naomba tumsikilize poa the og apo kwa vas one nkama inaingiliana na zile bifu za rap ya bongo na keny
Chocha ni hype.
Moti ni car.
O.G💪💪💯
Fika kenya boss ujifunze sheng kiasi
Vanny yaani cypher ya bazenga daddy hujaiona ama hujataka kuona?
Motoo..bado langu lile lile ..Uswazi ft Ebrange 😅😅
Reaction za urbantone zikam..,.Sean mmg, tipsy gee
Check out kenyan canadian based artist qwisss…. He’s fire🔥
isikaki ...moti ni shiny car
Maneno mengine ni siyo Sheng ni kikikuyu!
OCHA=Ushango= Kijijini
SHENG
Dokii= Daktari
Mokii= Motor car ( from old English)= Gari
Mbogi= Mob ( sijui eymology yake ni gani
Buda unajua vitu zetu mingi sana.. Itabidi Sasa tukutaftie Jina moja genje ya kikenya.
Chocha ni kuhype ama kudanganya
Ushago/ocha. Kijijini/village
Doki doctor
Benga ni genre ya mziki kenya
I thought Benga iko Bongo pia.....
Anamaanisha former president Uhuru Kenyatta😂😂
Sii Ochi ni O.Gee
Van Isikaka man, wacha kutuchocha ati hujui meaning ya Chocha
Yaani gari
Fanya ya KRG ft konshens
React to Nairobi by Qwiss
Chocha ni uongo
Ocha ni ushago
Chocha ni uongo na kujijaza
Chocha=' stop the caps'
Van nikama sheng ya hii song imekuchapa 😅
Kenya sanasana ni uongo uko na kitu fulani lkn hauna.
Chocha si ni kudanganya ama
HUJASKIA PALE MSEE WA PILIPILI ANALENGWA😃😃😃
Hatuendi maandamano
Baba into maintain kanyo kanyo- kijaka anaambi Raila(Baba) amaintain hapo hapo tu
Choncha Ni uongo
Kuchocha ni hali ya kuziungua ivi....
Watu walikataa kisikiza uhuru dhen baba ni raila odinga
Kanyo kanyo ni hapo hapo.
Morti ni gari
Kijaluo olundi ni mkundu😅😅😅
Chocha ni kujipa sifa za kizushi in the context used. But regularly ni kujisifu
Chocha ni uongo bana.
Baba ni nickname ya Raila odinga
van banah umesema hautareact to arbantone music
Into maintain kanyo kanyo lol
Qr 473x maria chek vnsskaka
kama hauna pesa kuna msichana unayemfukuzia anakuuliza kama ukona gari....
Chocha ni kuhype ama kudanganya uko nayo na hauna
Motivation 😂
Motii,n gari Van😂😂😂
motii ni gari bro
tuachieni🤣 wenyewe kiswahili chetu
Please react krg the don ft konshens
Ukijibizana mtaa itakudhuru
Chocha pia sometimes ni kujijaza
Chocha. Ni kuenjoy mtu ama kudanganya mtu
Vako
Motii ni Motorcar
Moto ni gari😂😂
ocha ni bara yani kijijini
Uhuru ni president.
Saa hii Ruto anatuumiza uku Kenya na taxes kibao.
Baba ni Raila
Ocha ni kijijini wanajua wewe ni daktari
motii ni gari
moti inamaanisha gari
Chocha ni kupandishia mtu
Motii ni ndai
Ndai ni gari