Hivi ndio inapendeza kwa Mwanahalisi kuleta vitu mchanganyiko na sio kuganda zaidi na mambo ya siasa tu. Nimemkumbuka Athuman Momba ambae alipitia bendi kadhaa kama Dar International & Marijani, Vijana Jazz & Maneti, Bima Lee na Msondo Ngoma. Hongera sana
Hivi ndio inapendeza kwa Mwanahalisi kuleta vitu mchanganyiko na sio kuganda zaidi na mambo ya siasa tu.
Nimemkumbuka Athuman Momba ambae alipitia bendi kadhaa kama Dar International & Marijani, Vijana Jazz & Maneti, Bima Lee na Msondo Ngoma.
Hongera sana
Yangaaa rusi bandaweee nipeleke. Nyasaaaaaa umenikosha sana hasa kuipenda zaidi yangaaa
Ottu Jazz Band hakika walikuwa mahiri sana kila nyanja zote
Safi
Lucy bandawe hoyeeeeeee
Baba yake Lucy Bandawe alikuwa Mzee Bandawe Katibu Mkuu wa Yanga miaka ya 70!
Limejikomoa kama kamapapai 😏
Lucy niwewe ambae mama yako alikuwa anafanyakazi OAU?
Limama jitu lizama na Pini puani shenzi kbsa. Litakua lidangaji tu
Nyooo mdangaji unamjua wewe kama una cha kucoment kaa kimya
Kuwa na heshima ndg,
Urembo tu huo ndugu.Adabu ni muhimu sana
Pumbavu mdangaji nimama yako aliyekuzaa heshimu wanawake.
Acha ushamba wewe mtu wa bara ni urembo huo kama wewe hupendi wenzio wanapenda. Ndio nyie mnawanyoa vipara wake zenu