Sheikh Khamis Suleyman - Ukimuota Askari Police Ktk Hali Hii Jiandae Na Haya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 2 роки тому +7

    Tatizo lako uendagi kwenye point Moja Kwa Moja,wengine wakristu hatuelewi kiharabu

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤shukuran shekhe na mungu akulipe kila la kheri kwako

  • @xeeyithotyixeeyi
    @xeeyithotyixeeyi Рік тому +4

    Shee uko vizuri lakini shida yako nikwamba unaacha kulenga like kiricho lengwa unakuja kukifanya mwishoni si hayo maerezo mengine ayatupendezi sisi tunakuwa na Nia na tunachokiuriza tu

  • @grantmulla3144
    @grantmulla3144 Рік тому +6

    Unatafsiri njozi au ni ummul juma hutuba?

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 10 місяців тому +3

    Shekh unaanzia mbali Sana ungeenda kwenye point

  • @Nnassor123
    @Nnassor123 Рік тому +4

    Ukitafsiri nenda kwenye lengo usiongee sana

  • @jimmymwakibinga754
    @jimmymwakibinga754 3 роки тому +26

    MB za tabu basi tunaomba uwe unaenda kwenye point moja kwa moja

  • @MosesMwita-u8v
    @MosesMwita-u8v 9 місяців тому

    Ok sawa

  • @haimahaima9135
    @haimahaima9135 4 роки тому +6

    Nashaur mnapotoa somo kma hvi muwe mnatuambia na jinsi ya kujikinga na hzo blaa dua gni tuombe na kipi tufanye kuepukn na hlo ttzo

  • @IbrahimAwesu-mz4tb
    @IbrahimAwesu-mz4tb 2 місяці тому +1

    Sheikh weye asaa unachosha kwasababu huendi ktk point unazunguka sanaaa. ilo ndo tatizo lako.

  • @zulfasalum7060
    @zulfasalum7060 3 роки тому

    Ishallah 🙏

  • @ريزةالقحطاني
    @ريزةالقحطاني 4 роки тому

    Shukurani sana sheikh

  • @issaalamry6664
    @issaalamry6664 4 місяці тому +1

    Ustadh punguza kuuthubitia ulimwengu kuwa umehifadhi hadithi, Quraani, Kulalimia, fupisha, ogelea. Mada ya tafsi ya ndoto unayotaka kututafsiria.

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 4 роки тому

    Alihamuduliliah sheikh

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 роки тому +2

    Yaan mpk unafika nusu bado tu ujaenda kweny main point duuuh!

  • @khalidhemed5617
    @khalidhemed5617 3 роки тому +2

    Acha maneno mengi nenda kwenye point

  • @mwajumazuber7542
    @mwajumazuber7542 3 роки тому +2

    Mimi nimeota askari ananikimbiza nikajificha sehemu ya wazi tu lakini hawakuniona wananipita tu maana ake nini

  • @aminaathumani4156
    @aminaathumani4156 4 роки тому

    Mashaalah

  • @MngerereMngerere-gp9bq
    @MngerereMngerere-gp9bq Рік тому

    Vyema

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 3 роки тому +5

    Tatizo hajibu maswali.

  • @abdallahmangayamba1510
    @abdallahmangayamba1510 Рік тому +2

    unasubilia had bas

  • @mwaminmussa9461
    @mwaminmussa9461 Рік тому +1

    Nenda kwenye point wewe

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Swallallahu alayhi wasallam

  • @tatusungura7864
    @tatusungura7864 4 роки тому +2

    mimi niliota nakimbizwa na Askari wengi kwakuwa nilimuua mwanamke wa mume wangu je hii inamaana gani?

  • @Anastadhi
    @Anastadhi Рік тому +1

    Mmh mambo tele

  • @harunigaluza6950
    @harunigaluza6950 4 роки тому +4

    Je kama umemuotea mtu wako amefatwa n asikari

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 10 місяців тому

    Nimeota nimepoteza pesa na nikaenda polis kushtaki polis nikaja nae nyumbani na nikawa nahisi ndugu yangu kazichuku mamana aliniazima beg lake nihamishie vitu vyangu wakati nikiwanakumbukumbu hiyo line roho yangu aina imani na huyo ndugu yangu na nikawa nahisi labda mimi ndiyo nilizisahau pesa kwenye lile beg? Hii inamaana gani

  • @fatmanassor2746
    @fatmanassor2746 Рік тому

    Sheikh mm niliota mm mwenyewe ni mwanajeshi ina maana gn

  • @luluedibily
    @luluedibily 2 місяці тому

    Nimeota nimembeba mwanangu tunaviuka rami kunamapolisi wengi wamebeba bunduki mimi nikawapita maaskari wale nikiwa nimebeba mwanangu uku nasema kwa nguvu lailaha illallah tukawavuka wale maaskari mpaka tufika nyumbani maana nini

  • @greatiq4649
    @greatiq4649 4 роки тому

    Asalaam alaykum, Sheikh na wote munao mfuatilia!
    Kuota unaomba kibali kwa askari kupita ngome yao(ambayo ndo njia rahisi) ila wakakataa vile sina kitambulisho cha Uraia. Nikapata nafasi nikaiba sare ya askari mmoja nikavaa. Ila wakanibamba vile sikuwa na viatu(nilikuwa peku) wala kofia. Askari kanzu akataka kunishtaki. Nilipo jieleza na kumuomba anisameh nisiingie matatizoni akakubali na kunisaidia kupita na kutokea upande mwengine (nchi nyengine).
    Ndoto ya kumpiga mbwa na akawa mpole na kama ananishangaa kwanini nimempiga!

  • @lilianrichard9065
    @lilianrichard9065 Рік тому

    Shehe nimeota nipo shule mwanafunz mwenzetu kauwawa sasa nalazimishwa mm kuwa nimeua na askali wa kike ndo alikuwa ananilazmisha kes ni seme kuwa nimeuska

  • @MwanaidRamaha-td1hl
    @MwanaidRamaha-td1hl 3 місяці тому

    Nenda kwenye mada

  • @lilianrichard9065
    @lilianrichard9065 Рік тому

    Nipe tafsir tafathar

  • @mamyruu1828
    @mamyruu1828 4 роки тому +2

    Mi nimeota naitwa na Askari nikamfata maana yake nn shekhe

  • @hamadalfarsi5303
    @hamadalfarsi5303 4 роки тому

    Jee ukiota unaona askari ana kamatwa na polisi

  • @chrislacarin4332
    @chrislacarin4332 4 роки тому

    Shehikh mimi nimepatwa na ndoto niko niani kuna maman alikuwa na mwanae kuka kuwa mtu aka mu uwiya mwanae akarudi nyuma akilala mika sana alafu majeshi wengi wakaja naku anza kimbiza kila mtu alie kuwa kwenye njia ata kama hujuwi yalio pitikana pale wana kufata wamoja waka nikimbiza nilipo choka nika wopoteya nanika chituka je nini tafsiri

  • @zamzammohammed9240
    @zamzammohammed9240 4 роки тому

    Ikiwa umeota dua zafanywa kulaani Askari maanake Nini sheikh

  • @shabaniramadhani657
    @shabaniramadhani657 4 роки тому +1

    Sheikh tufundishe namna ya kupata ufunguo wa kusoma ayatul qursiyu kwa kutumia majina

  • @mwanaidishibe9275
    @mwanaidishibe9275 4 роки тому

    Mimi leo nnaota nnapata ndege elikopta inamaana gani..

  • @johnjoseph763
    @johnjoseph763 2 роки тому +1

    Hamna kitu wewe, stori nyingi sanaaa.

  • @mtumwamtoo3199
    @mtumwamtoo3199 3 роки тому

    Shehe ukiota upo ktk mapambano

  • @hamadalfarsi5303
    @hamadalfarsi5303 4 роки тому

    Nino langu moja la juu upande wa kushoto lime katika vipande vipande ndotoni nini maana yake