Masista wa Nadhiri za Maisha hongereni Sana. Wanajubilei wote miaka 25 na 50 hongereni Sana. Mwaya iliyoimba litania Safi Sana. Sauti tamu Sana. Mungu awabariki Sana kwa unjilishaji mzuri.
Hongereni sana wadogo zangu kwa kufunga nadhiri za daima, hongereni sana Dada zangu wapendwa kwa kufanya jubilei ya miaka 25, Hongereni pia Mama zangu wapendwa , Masister wetu mnaoadhimisha jubilei ya miaka 50. Hongereni wanachama wote. Asante Mungu kwa makuu unayotutendea kama shirika 👏👏🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hongereni sana wanadhiri na wajubilanti mungu awatunze kwa Safari ya msulubiwa.
Hongereni masista kwa jubilee na nadhiri za daima Mungu awatunze
Hongereni Sana mpiga kinanda kijana wangu hongera umeweza kunogesha
Masista wa Nadhiri za Maisha hongereni Sana. Wanajubilei wote miaka 25 na 50 hongereni Sana. Mwaya iliyoimba litania Safi Sana. Sauti tamu Sana. Mungu awabariki Sana kwa unjilishaji mzuri.
It was So wonderful day. God bless our congregation and our leaders.
Mungu azidikulibariki shirika la masister wa Mama yetu wa usambara,,💓🙏🙏🙏
Hongereni sana wadogo zangu kwa kufunga nadhiri za daima, hongereni sana Dada zangu wapendwa kwa kufanya jubilei ya miaka 25, Hongereni pia Mama zangu wapendwa , Masister wetu mnaoadhimisha jubilei ya miaka 50. Hongereni wanachama wote. Asante Mungu kwa makuu unayotutendea kama shirika 👏👏🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Nilikua na mm nimeweka nadhiri za daima juzi lkn m
Njia za Mungu hazichunguziki hongerni mabega zangu