Itachukua mda mrefu sana kwa chama kutoka nje ya chama kinachotawala kuchukua utawala na uongozi wa kidemokrasia ya nchi kwa kukosa hoja,viongozi wapo kila sehemu ila upinzani bado kwa kujenga hoja za kulinda maslahi ya wengi...
Jina lako peke yake linaonyesha Una kiwango gani cha kufikiri hivi ujua Tanzania ilipata Uhuru baada ya kutawaliwa na wakoloni Kwa muda gani haki haiji siku moja
@@silvesterrichardhelenya1319 Hoja ni kwamba Wapinzani wanafanya siasa za matukio badala ya kutuonesha sera, falsafa na itikadi zao. Pia ikumbukwe Watanzania walisema hawahitaji vyama vingi 1990's.
Ccm hatuitaki lakini hatuwezi wakabidhi nchi wauni, wabongo, wazushi na matapeli ,Nb hampo kwajili ya taifa Bali kwajili ya matumboyenu inahitajika waibuke watu seriously wanaotaka kuisaidia nchi syo hicho chama Cha waongo na wauaji
MM NILICHOJIFUNZA CHADEMA WANAMUOGOPA MAKONDA KISIASA YULE JAMAA ANA MBINU ANAJUA KUCHEZA NA AKILI ZA WATU SASA EBU ONA UNASEMA MAKONDA NI MUUAJI KWANN MSIFUNGUE KESI MAHAKAMAN?
Kwani chadema imeua wangapi ? Kama ccm nao waanze kusema juu ya mauwaji yenu Tanzania itakuwa wapi? Lema kama ni kweli kwanini msifungue kesi Kwa ushahidi uliokamilika kuliko kuzungumzia Kila kitu Kwa hisia tu .
Lema tunampa kura kma wataiba waibe
DUU!! MACCM SHIDA SANA
Wewe lema ulipaswa kua magereza pia,ulivyokua unanyonga watu na Kuwaibia magari?!,damu za watu pia zinakulilia .
Makonda akisema ninyi ni watoa taarifa mnakataa unaogopa nini kuweka wazi ushahidi juu ya makonda kuhusika kwa Ben saanane
Chadema ndicho chama chaki ❤
Ondemba upo vizuri lakina lema bado hana point hapo
Hi
Itachukua mda mrefu sana kwa chama kutoka nje ya chama kinachotawala kuchukua utawala na uongozi wa kidemokrasia ya nchi kwa kukosa hoja,viongozi wapo kila sehemu ila upinzani bado kwa kujenga hoja za kulinda maslahi ya wengi...
Jina lako peke yake linaonyesha Una kiwango gani cha kufikiri hivi ujua Tanzania ilipata Uhuru baada ya kutawaliwa na wakoloni Kwa muda gani haki haiji siku moja
@@silvesterrichardhelenya1319 Hoja ni kwamba Wapinzani wanafanya siasa za matukio badala ya kutuonesha sera, falsafa na itikadi zao. Pia ikumbukwe Watanzania walisema hawahitaji vyama vingi 1990's.
Wewe hujielewi hata kidogo baada yakuongea sera za chama
Mh mungu simana na watu wako
We 2025 handika 0 jiji LA arusha ccm mbele kwa mbele
Daaa!!
Ccm hatuitaki lakini hatuwezi wakabidhi nchi wauni, wabongo, wazushi na matapeli ,Nb hampo kwajili ya taifa Bali kwajili ya matumboyenu inahitajika waibuke watu seriously wanaotaka kuisaidia nchi syo hicho chama Cha waongo na wauaji
Walimuua nani na kama walishawahi kuua, action ilikuwa ni nini kwa watawala, yaani chama tawala.
Kenya mbona wanagoma pia
Lema ni mwanasiasa Anaetetea tumbo lake hivyo sio kingine , Hawa wakipata mamlaka watafanya manyago zaidi hawapo seriously kabisa
Anachosema ni uongo?
Makonda makonda makonda makonda makonda mnamuwaza ila mwamba natamani aje kuwa raisi ni maombi yangu hayo kila siku
uyu hanaga hoja yoyote ya maana
Hawa wanamuogopa makonda
Makonda ndo nani kwani bashite Hana jipya tena ataanguka
We Lema wewe ulikuwa mwizi wa magari na muuzaji wa madawa. Mbona hujanyongwa? Chuki zenu binafsi haziwezi kuwafanya mshinde uchaguzi.
Aa
MM NILICHOJIFUNZA CHADEMA WANAMUOGOPA MAKONDA KISIASA YULE JAMAA ANA MBINU ANAJUA KUCHEZA NA AKILI ZA WATU SASA EBU ONA UNASEMA MAKONDA NI MUUAJI KWANN MSIFUNGUE KESI MAHAKAMAN?
Ivi.nyie.maeem.nivilsza.yaani.hamjui.aliyofanya.makondakweli.alafu.makonda.anjuasiasa..zasanaatu.ndo.maana.mimi.simuelewi.naona.kama.anigizatu..ila.chamatawa.ccm.imelala.ndio.maana.ccm.makonda.inafanya.vizuri.sindio..vilaza.oyeee
Shida hujuwi kiswahili
Kwa nn wakati makonda yuko kimya ya sanane yalikuwa kimya kainuka ndio ya sanane yanaibuka mbona tunakosa la kuongea tubadirike tuache chuki binafsi
Kwani chadema imeua wangapi ? Kama ccm nao waanze kusema juu ya mauwaji yenu Tanzania itakuwa wapi? Lema kama ni kweli kwanini msifungue kesi Kwa ushahidi uliokamilika kuliko kuzungumzia Kila kitu Kwa hisia tu .
lema ni kilaza wewe na chamachako ndio mupewe nchi?