Shoga hatak Silesi za mkate nawakwe jmn tuangalie namashog wengine wanabomoa nasokujenga tuwe makini nahilo kama umenielewa nilichomaanisha gong like 🤗🤗🤗
Nakupenda San busat tv np hp nishamaliza kazi za warabu Hila huu 🔥🔥🔥🔥🔥 usitaili zawad wallah Tena busat tv nip hap nimewai kabisa kiramba mchuzi wako pili ww
Kiramba mchuzi na babiyo mtajuta kwenda kwa kai bora msiende kwa ushauri wangu mtaenda kuyatimba ay ngoja nione nikaaye mkao wa kucheka 😂😂😂 mm mwana baba ake kai kazi anayo kwa mkwewe haponi hyoo baba kwa ali kama hii 🔥🔥🔥 kai kai kai kai 👍
Pongez wasanii wa busat hakika mnaweza hamjawah kufeli hili ni bonge la movie Allah awaongoz mzid kufika mbal in-shaa-allah 🙏 penda sana nyie kila leo mambo ni mapya. Hamchoshi wallah
Kiramba mchuzi kamba tatu ndyo baba wp pili mabonga kiramba mchuzi wako pili ww Kai nisaliy best yangu somoy Kai wako somoy ww hap umeyatimba Kwa hyoo mke wako wp zuu wifi yangu wa ukweli
duuh! mpaka najihisi kuingiya ndani ya tv nimulambe makofi uyo mwanamuke, yaani mbele ya baba mkwe wake anafanya visa kama ivyo, baba mkwe rudi tu kijijini baba, mwisho wa siku atavua hadi nguo mbele yako
Bonyeza link kujiunga group letu la WhatsApp
chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
Ep y4 vipi
Tuma EP ya nne
Leteni vitu aisei hii imeweza aki
Eka kando link...rusha all episodes...mnanichelewesha sannaaaa
Uyu dada jmn😂😂😂😂😂😂
Team Dada wa Kazi tujuane kwa Like
🙏🙏
mimi hapa
Niko apa❤
Niko😅😅😅
Mm
Kama umewajua Busati Tv kupitia House Girl gonga Like
🙏🙏🙏
Kilamba unalana we😂😂😂
Kilamba wanichekesha 😂😂😂❤❤
Mm
Ooooh very good
Shoga hatak Silesi za mkate nawakwe jmn tuangalie namashog wengine wanabomoa nasokujenga tuwe makini nahilo kama umenielewa nilichomaanisha gong like 🤗🤗🤗
Kulen kw macho🙄🙄
Mbona fupi sana jamani,wakenya 🇰🇪🥰🇰🇪🇰🇪 tujuwane
🥰🥰🙏🙏
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤ndani ya mjengo😂😂🎉🎉🎉🎉🎉pamoja busati hoyyiieeee ❤❤❤❤❤
Wamlambez 😂😂😂
Tupo site😂😂
KAMA UNATAMANI HOUSE GIRL INAPOSTIWA MARA 3 KWA SIKU GONGA LIKE
Sawaa
Kila cku
Ndo uzuri wa Busati yani hajui kuchelewesha watu kitu kimoja kinatoka kingine kiko njiani 🔥👌❤️🇧🇮
Yani hatupoi na hatuboi kabisaaa
@@busatitv❤
Ninafurahi kweri ningekuwa sijamariza kazi zawarabu ningepitwa❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰🥰💋💋💯
Poleee 🤣🤣🥰🥰❤❤
😅😅😅😅
Nakupenda San busat tv np hp nishamaliza kazi za warabu Hila huu 🔥🔥🔥🔥🔥 usitaili zawad wallah Tena busat tv nip hap nimewai kabisa kiramba mchuzi wako pili ww
Amin... Asante na pole na kazi, Karibu ufurahie
@@busatitv asnt san
Tuko wengi tumemaliza kazi za warabu tufarijike
@@FaridaFarida4 umeoneee
Tupo sana tu
Hakika hii movie kali,yaan kuangalia kipande hiki mpaka namaliza wamepanda views 300 na ushee❤..
Tunaomba mwendelezo jaman❤❤❤
Asante sana Mungu ni Mwema inshaallah
daah ila kuna marafiki wabaya jaman we soph unamshauri mambo gani hayo candy mbaka anamchukia baba mkwe wake
Umeona eeeh 😭😭😭
WiFi za bure tujuane japo kwa like hapa kuchoka na kazi za mwarabu ndio kujiliwaza Alhamdulillah
Kabisaa
Haaaa😂kumbe mwarabu kuna Wi-Fi za bure jmn
Kabisaa😂
@@HappynesJuakali-nh9cz 😄😄😄 sanaaa
Hah😂 unfurhisha
Kiramba mchuzi na babiyo mtajuta kwenda kwa kai bora msiende kwa ushauri wangu mtaenda kuyatimba ay ngoja nione nikaaye mkao wa kucheka 😂😂😂 mm mwana baba ake kai kazi anayo kwa mkwewe haponi hyoo baba kwa ali kama hii 🔥🔥🔥 kai kai kai kai 👍
Hahaha kwann eeeh
Ndio maana mim huwa sipendi marafiki wa mke wangu niwakute kwangu Kwan nao wanachangia kuharibu ndoa zetu
Lakini si wote jamani
Sio wote lkn wapo wengi
Nimemkubl San uyu kak mawenge an umbea mwingi napia rafik wa kweli utamjua kwenye shidaaa🎉🎉🎉🎉😢❤❤❤❤
Huyu rafiki au kikijuso mhmhmh kwl ndege wafanana ndy wanaruka pamoja rafiki chefu
🤣🤣🤣
Nimeijua chanel yenu kupitia hii move hongereni sana
Asante sana, Endelea kutazama na Movie zetu nyingine
Huyu jamaa anayejiita mpumbavu anaongea bilaa nukta
🤣🤣
Mashaallah kazi nzur Mwenyez Mungu awatangulie🙏🥀🥀🥀
Amen🙏
Nimewapenda hawa busati Allah awabariki naangalia from USA🎉
Tunakupenda mnooooo 🥰🥰🥰🥰
Nihatari mke wa Kay nibala daa hii ianamafunzo sana sana bingap kwanyote Kali mnoo
Asante sana 🙏
Team zuu tujuane kwa like 👍 hapa mm wa kwanza kutokea Kenya 🇰🇪
Waaah kai umenitoa chozi 😢😢😢ila simama kama mwanaume napia napenda busara zako huyo mkeo angempata kiramba ukwaju 😂😂😂😂😂😂😂pange waka 🔥🔥🔥🔥
Asante sana 🙏🙏🙏
Na2mai ndgu watazamaji munapata funzo ktka hii series ytu pendwa ya house girl....❤❤❤
🙏🙏🙏
Na Muimalize Msiiachee Njiani Kma Watu Wengine Uwanza Move Vizuri Ila Kumaliziya Wanashindwa
Itaisha wala usijali
Mko fasta mpaka nimewapenda❤
Asante sanaa
Pongez wasanii wa busat hakika mnaweza hamjawah kufeli hili ni bonge la movie Allah awaongoz mzid kufika mbal in-shaa-allah 🙏 penda sana nyie kila leo mambo ni mapya. Hamchoshi wallah
Asante sana Tunakupenda Mnooooo 🥰🥰🥰
Much Love From Burund ❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉
😍😍🥰🥰❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mansha Allah Kazi nzuri❤❤❤
🥰🥰😍😍
Dah kilamba ni noma anachekesha sana
Dada Zuu Njoo nikupe Dawa huyo Mke aondoke mwenyewe Nina Dawa za Mapenzi nitakupa na Dawa huyo Boss Kai atakupenda mwenyewe
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂dawahiyo nidawagani ama niurogi
@@estherezzy136 Ndio
Boss kai ashampenda zuu
😂😂😂😂@@estherezzy136
😂😂😂😂 baba wakai ana vyo muangalia mka mwanae walai anglkua muchawi naona angeli mgonga nao man dada kazidi tharau
Baba kachafukwa
Munaongea sana halafu movie nitamu na inaisha haraka
🤣🤣🤣
Umeonee wabey tu
😅😅😅😅
Umeona eee
Kweli nae duu kali iih🎉
Kao tatizo kubwa hana mke ana kipengele mke anakwenda uchi kwanza pili heshima hana hata ile moja hajui mme wl baba jaman
Kiramba mchuzi kamba tatu ndyo baba wp pili mabonga kiramba mchuzi wako pili ww Kai nisaliy best yangu somoy Kai wako somoy ww hap umeyatimba Kwa hyoo mke wako wp zuu wifi yangu wa ukweli
Hahaha kumbe kila Mtu ana wake daaaah
@@busatitv ndyo
movi kali mnoo naenjoy balaa hongeren❤❤
Kumbe huku kuna mazuri mashallah ❤❤❤
Nice work like that waiting part 4❤❤❤🎉
❤❤🥰🥰
Duuh Busati Hampoii🔥🔥kweli Burudani bila kikomo🔥🔥🔥
🙏🙏
duuh! mpaka najihisi kuingiya ndani ya tv nimulambe makofi uyo mwanamuke, yaani mbele ya baba mkwe wake anafanya visa kama ivyo, baba mkwe rudi tu kijijini baba, mwisho wa siku atavua hadi nguo mbele yako
Hahaha polee
Jaman house girl ana sket Moja?
🤣🤣🤣🤣
Bad ajapew mshahara
Wanawake wote kuwen kamaa zuuu. ❤🎉🎉🎉. Nampa mauaa yakeee
KAZI nzuri sana nimeikubali familia ya kilamba
Asante sana
Kai humu kapooza kama hayme wa kwenye primma Donna 😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂 yan ww
Kazi nzuri sana na wabongo mridhike vipandw vikiwa virefu ixhu vifupi navyo ixhu
😂😂ngoja wakachambwe huko wajute kaz mzur sana
Nakubali
🎉🎉🎉good job mungu aendelee kukupa ubunifu mtunzi 🎉🎉
Asante sana🙏🙏
So amazing movie ❤❤❤❤
❤🙏🥰
Kweli hii mumeniweza,mafunzo mazuri kweli.nawapenda sana❤kutoka 254kenya🇰🇪🇰🇪
duuh jaman leo nilijua mimi nitakuwa wakwanza lakini mmeniwahi ndani ya dakika mbili tu
Hahaha umewahi piaaaa
Kuna kitu nimejifunza nzur sn ❤❤
Asante sana usiache kutazama episode ya 4
Eeeeee mungu ule bibi apana vraiment😂😂😂😂
🙏🙏❤❤
❤❤❤❤Nawapenda sana❤❤
❤❤❤❤ nizur sana jaman ❤❤
🙏🙏
Mim .hapa nimewajuwa kupitia hous giri. Ndo Nisha bonyeza hiyo kengele ili nikule rah
Weeee kunywa Coke hapo
Show Iko on 🔥🔥 love you guys ❤❤
Acha ujinga...bro mwanamuke asikusumbuwe weye vp bro
Umeona eeeh
Waah movie tamu jamani❤❤❤
Asante sana🙏
😂😂😂😂😂😂Asante xn kaka eti babamke wangu atachelwa kufa😂😂😂😂 apo nahic utani umezidi hongereni xan busaty mnatufunza Allah azidi kuwaendleza vyema❤❤❤❤
Amina 🙏🙏
Hio ndio dawa yake much love ❤❤❤
🥰🥰🙏🙏
Bora dada wa kaz aolelewa bna huy dada anaroho mbaya sana
🤣
Wow beb sofy mtoto jmn sleem body
🙏🙏🙏
Kilamba alikuwa mtu mzuri 😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂😂😂😂 mbn udugu baba mkwe wa mpumbavu mwrnxangu
🙏🙏🙏
Piga kelele kwa house 🏠 girl wake♥️♥️♥️
Kazi nzuri hongeraaa zue
Inafunza sana hii house girl 😊
Asante sana🙏
Shoga ake kendi sijapenda 😂 we ni wakumshaur ushangingi mwenzio👌Nataman nikuone kwa mach yng Ivi🙄
🤣🤣🤣 unataka kumfanya nn eeeh
@@busatitv Nimpe maua yake 🤣 Kaz anaiweza Kimbau mbau mwiko wa pilau😝
Dwa ya mende kunguni virobotoooo😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣
All the way from 968🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Niliwahi kusikia kua wavaa vipini na cheni miguuuni sio poa
Kumbe eeeeh Asante sana🙏
Maneno yasiwe mengii bhanaaa bt movie tam😊
Asante itakua fupi zaidi
Jamani msicheleweshe basi msikatishe utamu 😊❤😅
Asante sana🙏
Kazi nzuri Sana 🎉❤
Yani hii niwanawake ya kukataa baba mkwe ni washenzi mm ningemtimua huyo mwanamke
🤣🤣
Wana tik tok tujuane kwa like hapa
Wapooo
Wakwanza mm jamani daah 😂😂
🤣🤣🤣
@@busatitvmulituma tu kwa groupe namm nilikua nazurula pale nikainasa moja kwa moja 😂😂
Nice Next Please
🙏
Mimi ningekuwa kwenye bodi ya filamu ningewapa tuzo, nyie mnajua ila tz wanatoa tuzo kwa kujuana au umaarufu
Mwangeze mwanangu nimekukumbuka sanA hongera uko viziri
Waaauuuuuu nimeipenda kwel movie hii 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzur san
🙏🙏🙏
Candy wenye mbaya pua imemzidia kisha anadharau kweli
Ivi wanaume mnayopitia shida katika ndoa kama hii inakuwa mmerongwa au kupenda 😢😢mimi siwezi kero za lave siwezi
Mhhh hayajakukuta ndo maana unakuta umempenda huelew
Maneno machafu umaliza upendo katika moyo mimi yamenikuta sanaTu
Dah wanawake kama hawa wachomwe moto sio kwa roho mbaya hiyo unashindwa kumuheshim baba wa mmeo 😢😢
Kuna jambo la kujifunza
Hapo umeongea kweli so Kwa roho mbaya
Kaka pole Huna mke unabalaa, Kun mke w malengo, ila Hy mkeo n wa starehe,
Umeona eeeh
Upore umezid kaza m2wangu
🤣🤣🙏🙏
Movie ni tamu ila mnaongea sana kwenye kipande kimoja
Asante tutalifanyia kazi
Dada zuu hapo ni kwako ule ni mpitaji😂😂😂
❤❤🎉🎉🎉 pokeeni maua yenu
Asante sana🙏
Movie n nzur Sana Tena inamafundxho lkn vipande vinakuwa virefu sana
Mke wangu umeshindaj 👍😢
🤣🤣
Mimi kuchelewa ndo samu yangu daaah nimefika ktk 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
Naki baba🎉🎉🎉❤❤❤❤
@@carolineoganda4277 mbuyande ntebingo engina♥️♥️
Nimewahi ama nimechelewa 😂😂😂
Umewahi jamani
@@busatitv afadhali leo nimewahi haki Asanteni sana
Mkaka ana good smile good lips
🤝🤝🤝
Sikiliza hay manen kaya
Umeona eeeh
Ivo ndio mume wangu ndamtambulisha
🤣🤣🤣
Nampenda sana mdada wa kazi ❤❤❤❤
🥰🥰🥰
Mke wa kilamba umechapia Pepo ya mwanaume ipo chini ya nyayo za mamake sio baba
🙏🙏🙏
I like this