Sharon angefuatilia huyo mtoto mwingine arudishwe. Hii tabia ya kuachia wazazi kulea watoto ni mbaya. The poor kid is suffering because of the parents mistakes.
Shalom umepata right person ukafikiria umefika..wacha huyo mwanaume aoe bibi mwingine uskie nduru kutoka kwa mwanako..swezi achia mwanaume mtoto wangu walai..innocent baby hana makosa😥😥😥😣
Kale kafuraha huwa nako nkiwa na mtoi wangu Aki cwezi achia mtu yaani unapika unakula hujui mtoto mahali yuko amepewa chakula ama amelala bila kuoshwa hapana
@@monyivam9821 sijui ka mi ndo fala bt people always learn from their mistakes, huyu Dem alipewa bol kabla hajaolewa, akaolewa akazaa na Martin, sahii ameolewa tena. Hii ni hesabu gani?? Kumaanisha alipatana na huyu jamaa mgeni ka angali kwa martin
Ladies of nowadays aki...saa juu umemove on umesahau mtoi wako? Hii ndo maana mi hufeel sitawahi oa aki...i dnt know who wil ever convince me. I fear alot
Waaaaaah Sharon please si ulikimbia sana jameni ....,,,,yes you might feel uko in peace but I doubt coz uyo mtoi still ni damu yako i wish ungemuendea atleast but nakuelewa may be the husband hatakubali mtoi mwingine kwa hau ,,,,,but peace I doubt for how long you will enjoy it the cry of the baby will always hault you
Sharon congratulations wwe ndio unaeza wanaume wajinga. Sahizi ssa ameona wwe nimuzuri wakati hauko kwake. Aoe mke rika yake hata wwe ulikuwa mdogo kwake.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sharon utaolewa mpaka Kiama, ujue huko unasema ulitaka mwanaume mwenye yuko serious, how do you know huyo yuko serious? Huko utapata mimba y tatu na mwanaume wa Tatu tena ufukuzwe uende tena kwa mwenye yuko serious wa nne, hangaik2 Sharon utajua hujui
This lady might be winning now but later be a big looser. Its good sometime to just take a break and love yourself. At 24 watoto wawili wa baba different na saa ii ako kwa ndoa ingine. 3kids with different fathers. By the time anafika 30 itakua balaa.
@@Gatheri1 Boom! Thank you. How many men do we know with multiple kids born to different women? Kwani iko nini? There is a lot of sexism and misogyny..judging women all the time. Kama hataki kurudi it's her decision. It's her life! Plus the man was abusive! While she was taking care of him and the kids!! Aaaiii..
Mrembo chukuwa mtoi ndo maisha itakuwa rahisi sana ...kuachia mwanaume mtoi ni balaa
You are silly
@@mystyjakanyango4079 mmmmh.....y
No 1 Representing gulf club Team 😜😜😜😜
Niko hapa pia
Team single mothers n comfortable angusheni likes tukitembeza viatu
💃💃💃ss ndo hao na haturingi😂😂
@@bernice.m.1356 sijakupata, unanidiss??? Ama unasupport????
@@roselineawinja6604 idiot
Maisha ya ndoa byeeeeeeeeee
@@roselineawinja6604 huyo anadusii ni nuku ati idiot
Sharon angefuatilia huyo mtoto mwingine arudishwe. Hii tabia ya kuachia wazazi kulea watoto ni mbaya. The poor kid is suffering because of the parents mistakes.
Mwanamke akikupenda a nakupenda na roho yake yote. Akiondoka ndio unaona dhamani yake.
Kila mwanaume mwenye analeta patanisho ako 29 years old. Uongo nayo.
Umeskia hio👂😎
Carol Carolyne. Musungu. Haha 😂
Na wanawake twendi four.
Hiyo age ndio iko na vichaa wengi😁😁😁😁
Team hamam mko wapi?
Tuko
✋✋✋✋✋
🙋Abiero hapa
Waluhya mjirekebishe jamani..maisha ya kupiga wanawake umepitwa na wakati. Sasa huyu Amepoteza mke wake hivyo. Pole bro
I'm a woman but though!!! This man was the right person for you!!!!! How can you get married and forget about your child????? You can't be serious!!!!
Gidi is A Real Mediator....... Big Up Man..👌
Umepata Mr Right ukasahau mtoi
Imagine aki..utaskia vile huyo mtoto atateshwa ns mama wakabo wah
Shalom umepata right person ukafikiria umefika..wacha huyo mwanaume aoe bibi mwingine uskie nduru kutoka kwa mwanako..swezi achia mwanaume mtoto wangu walai..innocent baby hana makosa😥😥😥😣
Relationshits manze they suck... Kama mimi hatutaishi na wewe unichape... Acha nikae single siwezi tolerate upuuus
Si ungesema umeolewa aki gidi u made my day
Kale kafuraha huwa nako nkiwa na mtoi wangu Aki cwezi achia mtu yaani unapika unakula hujui mtoto mahali yuko amepewa chakula ama amelala bila kuoshwa hapana
Wacha akae na wake kama alijukua hom mwenyewe! Move on my sister..
Sasa 20 minutes kungangana, ungesema wapatanishe mtu mwingine ,watu wengi wanataka kupatanishwa.
Ah mwanamke mwingine atakulelea motto chukua motto umlee Aki na anasema anafurahia na ajui mtoto wake anaishi Aje eeh
Jipe shuguli mwanaume
😂😂😂😂gidi ..umefanyishwa kazi mbaya sana...but sini life
Hi ya keo yawah,, ni moto siogei sana
weeeee na vile kunyamba mtoto ni uchungu itabidi nichukue watoy wangu kwa shida n raha nitaanguka na watoto wangu tu
WOMAN GO AND TAKE YOUR KID. THE KID NEEDS YOU.
Mtoto mtoto mimi siwezi Wacha nkufe nawangu
team gulf tuko wengi leo bt madam chukua huyo mtoi aki
Sharon wacha kutudharau alaaaa uluhya kweli😲😲😲😲
Kosa kazi ndo makosa yako ikue amplified!!
Nowdays women are so free l thank God for that
already ako na mzee wa tatu na mtoto wa pili na mwanaume tofauti na bado
Woi ,Fahari wawili wakipigana kila siku niwatoto huumia,😥😥😥
Hakuna kitu baya kumuonyesha unapenda mtoi wako kuliko mwenye uliomuoa naye hiyo inauma sana single mothers tutaelekea wapi?
Hapo ndo tumefikishwa
@@roselineawinja6604 only God will interfear but also this woman not cirius mtu anacha mtoi wake kwa huyo mwanaume that's not fare
@@monyivam9821 sijui ka mi ndo fala bt people always learn from their mistakes, huyu Dem alipewa bol kabla hajaolewa, akaolewa akazaa na Martin, sahii ameolewa tena. Hii ni hesabu gani?? Kumaanisha alipatana na huyu jamaa mgeni ka angali kwa martin
@@roselineawinja6604 life is hard sometimes complicated
@@monyivam9821 ya huyu msichana Sharon nayo, imepita hapo maisha Ni ngumu Sana bt Kuna ingine sisi wenyewe tunajitumbukiza ndani, ka hii ya sharon
Kaka jipange pole sana ole wako
sharon acha wowo hii ni dunia na ni duara..
Job ikiisha maisha ya mwanaume inashukua mwondoko mwengine. .......bibi anafaa kushapwaa period
Kanake ikiwa mi tangu nizaliwa budangu hajawahi nichapa, wee utaanzaje kunichapa????
wololo wololo hii ni ile mnasumbuana kwa miezi 5 kumbe mwingine ashaa oa oleka
Ma shaa Allah beautiful girl 🙏😄
Wao noma sana.
mambo mengi mda mchache😂😂
Yawah thoo wacha nikae single
Team Sharjah tuko area
Gidi give folks time to explain themselves...ama u add time to the show
Mm nashinda nikipiga nduru time iongezwe
Good afternoon. .Kwani nn inaendelea Jana watu mulipatanisha sauti ilikuwa down. PiA Leo sauti iko down unateseka kuwasikia
Sweet Mum wake mambo vipi
@@lilliannelima7009 Poa poa sana dear
Ladies of nowadays aki...saa juu umemove on umesahau mtoi wako? Hii ndo maana mi hufeel sitawahi oa aki...i dnt know who wil ever convince me. I fear alot
Hivo ndo wako, unapata mtu ako na almost 5 kids from different father's.hawatumii akili kabisa
Bt Kuna wenye wanajielewa, tafuta polepole wako
Wewe waogopa kuoa mimi naogopa kuolewa..
Mwangi, don't
@@mystyjakanyango4079 I'm waiting for your reply on idiotic reply
aki uiye endea mtoi sharon mtoto hana makosa ata kaa umepata bae mwingine usikubali mke mwenza akulelee mtoi plz
😂😂Sharon big up
U mean coz ulipata bwana mwingine hutaki huyo mtoto????
First one😅😅😅
Waaaaaah Sharon please si ulikimbia sana jameni ....,,,,yes you might feel uko in peace but I doubt coz uyo mtoi still ni damu yako i wish ungemuendea atleast but nakuelewa may be the husband hatakubali mtoi mwingine kwa hau ,,,,,but peace I doubt for how long you will enjoy it the cry of the baby will always hault you
Weee uluhyia mwingi, don't you know that you are spoiling luhyias name.
Sharon congratulations wwe ndio unaeza wanaume wajinga. Sahizi ssa ameona wwe nimuzuri wakati hauko kwake. Aoe mke rika yake hata wwe ulikuwa mdogo kwake.
Apo kuna mambo wacha 👂👂ndoa safari
Shame on u ,mbona akulelee endea mtoto wako ukae naye ili uwe ukijua chenye umekula ndicho amekula, kumbuka mama kwa mtoto ni mtu muhimu sana
Wooiiii...Martin unaboo..??
We si uyo mwanamke ako na mdomo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sharon utaolewa mpaka Kiama, ujue huko unasema ulitaka mwanaume mwenye yuko serious, how do you know huyo yuko serious? Huko utapata mimba y tatu na mwanaume wa Tatu tena ufukuzwe uende tena kwa mwenye yuko serious wa nne, hangaik2 Sharon utajua hujui
Mochiron, kweli kabisa
walai hajijali aki
Amejieka kwa oyoyo za Nairobi, za fom ni gani ukishawapa fom wanakwenda, atajipanga
@@roselineawinja6604 tena mjinga nambari moja, alafu Gidy leo ametuangusha anamtetea sana,
@@faithamaliaji4115 huyo atadharauliwa huko kwenye ameenda maana kazi itakwisha huko pia
mwanamke mdomo jamani I can't judge this guy but ukiona mwanamke anaacha mtoto wake ana roho kweli
Maisha ya sasa garama ndio iko juu ama
😂😂😂😂 sawaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣olololol gidi na ghost ati mnapoteza wakati but no poa mato tembeza kiatu sharon alipata mume
Wolooooo,mayooooo
😁😁😁😁😁kwisa martin
Anakaa sumbuku n anataka kusaidiwa
Daktari yawa
😂😂😂😂😂Gidi pole aki
Madem na pesa, woooi! Kazi imeisha kwa jamaa unamwacha kwa mataa?
Wah!
Man, let woman keep searching; she'll soon hit the wall with seven different baby daddies.
hapo umesema ukweli
wated years Gidi
Wewe mwanamke at least rudia mtoto, the dude amesema yuko tayari kurudisha mtoto.
Luhya men mambo ya kupiga mabb imepitwa na wakati. U bit her akuondokee. Pambana na hali yako..too late.
Waa
Wah
Shinda ya madem ni moja ati juu anagharamia mahitaji ya nyumba sasa anaona kaa ni kitu kuubwa alifanya
Hapa Martine ni looser am so sorry bro.
Ndoa eee
Ghai,,huyu mwanamke sijui n nn mbaya
leo niko number🤔🤔🤔
Beirut Lebanon in
✋✋
Beatrice Onyango hi too
kwny uku Beirut safaricom haifanyagi?
Haifanyi siz maybe Airtel but no call
Sharon nimekupenda bure,wanaume wajinga wanafaa kiboko kaa sharon
Exerctly ako on point but katoi😢
Headless idiot
Tina, utoto haujakutokea bado?
@@mystyjakanyango4079😝😝😝😝
@@mystyjakanyango4079 mysty dunderhead punky, t9 I'm waiting for u the other side, fastisha unanichelewesha
Sharon chukuwa mtoto wako uwalee wote pamoja.ww ndiye ulimbeba miezi tisa.
Tusaidiane kupiga hesabu itabidi apeleke wote kwa huyu jamaa mgeni, huyu msichana amechanganyikiwa kabisa
Mayooo mato wololo
This lady might be winning now but later be a big looser. Its good sometime to just take a break and love yourself. At 24 watoto wawili wa baba different na saa ii ako kwa ndoa ingine. 3kids with different fathers. By the time anafika 30 itakua balaa.
Murimi, you have said it right.
That's my worst fear sometimes wemen we have to lower our ego
Tumeona wengi viherehere kama Sharon now they are losers be carefull
Maisha si ni yake
@@Gatheri1 Boom! Thank you. How many men do we know with multiple kids born to different women? Kwani iko nini? There is a lot of sexism and misogyny..judging women all the time. Kama hataki kurudi it's her decision. It's her life! Plus the man was abusive! While she was taking care of him and the kids!! Aaaiii..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Gidy !!!!!!!
Lol ya Leo ni ♨️♨️♨️🔥🔥🔥🔥
Ha ha ha ,Sharon umeshinda, maisha ni safari, ungesubiri tu na mume wa kwanza.
Hahaha huyu Sharon alikuwa na huyu jamaa tangu kitambo, amemuoa aje haraka hivo??? Mlunje atembeze kiatu
sometimes is good kujipa time in order to make the right decision
@@faithamaliaji4115 😀😀😀😀
Lady are u talking about ua kid here.hell no mie with my kids tutakula sukuma hata bila salt.wake up woman enda uchukue ua baby
team gulf tuko wengi leo bt madam chukua huyo mtoi aki
Naomba kipindi iongezewe mda kidogo
Wah!