MWAKINYO MBELE YA RAIS WA YANGA AMCHANA TWAHA KIDUKU/ANALALA LODGE ANAAMKA TUPIGANE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 181

  • @amoursalim7418
    @amoursalim7418 6 місяців тому +39

    Kuna watu wanachuki humu wanamchukia mwakinyo sana apewe maua yake 🎉🎉🎉🎉

    • @moyolameck555
      @moyolameck555 6 місяців тому +3

      Mimi Pia Nilikuwa Simpend Huyu MDIGO Ila Kwa Speech Ya Leo NAFUTA KAULI YANGU
      Ila @mwakinyo Sisi Walugulu Tuna Nzoso Na Wewe😅

    • @user-ym1es9nl8s
      @user-ym1es9nl8s 6 місяців тому

      Tumchukie yy kama nan ila ana itiker za kike uyo mwakinyo,aache maneno afanye kaz

  • @paulmwangoka
    @paulmwangoka 6 місяців тому +21

    yeyote nwenye mawazo finyu hawezi kumuelewa a nacho ongea mwakinyo

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 6 місяців тому +25

    Umeongea unwell mwakinyo we ndo number one Africa ❤❤❤

    • @MultiMbongo
      @MultiMbongo 6 місяців тому

      Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake Naona karibuni ataiva

    • @pharleserasto3114
      @pharleserasto3114 6 місяців тому +1

      Hpo umekanusha sio unwell sema well

    • @sefoo8084
      @sefoo8084 6 місяців тому

      Unwell😂 si uandike tu kiswahili

  • @user-rg8rr2vp1n
    @user-rg8rr2vp1n 6 місяців тому +17

    Mwakinyo ni brand kubwa wekeni dau linalolidhisha watu waingie kazini

    • @fahadalaba7710
      @fahadalaba7710 6 місяців тому

      Kipigwe Tuu faza, dau la maslahi liwekwe

  • @user-yf9zd2xz2m
    @user-yf9zd2xz2m 6 місяців тому +21

    😂😂😂😂 kaka unajua ngumi hongera sana

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 6 місяців тому +25

    Eng.Hersi is very smart...,jamaa anaongea points na kwa hekima kubwa dhahiri inaonesha ni kiongozi mwenye akiri iliyopevuka.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 6 місяців тому +30

    Kwenye kuongea point tu, mwakinyo ni namba moja jamaa anajua kunyoosha maelezo

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 6 місяців тому +2

      Kweli kbs mwamba yupo vzr

    • @naomysalumu1858
      @naomysalumu1858 6 місяців тому +1

      Sindomaan wengi wanamchikia 7bu anamsimamo tofaut na mabondia wengine

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 6 місяців тому +11

    Me nampenda mwakinyo nakufa haswa😢

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 6 місяців тому +9

    Sasa naaza kuelewa Mwakinyo

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 6 місяців тому +4

    Uyu jamaa anajielewa sana poa na anajitambua dau liwekwe mezani sawa yawepo mazunguma ya makibaliano ndio poa siyo eende tu kamaanaenda shambani kulima shida yetu mashabiki tunachukilia kila kitu poa afu pia uyu ni Star uwezi mchukua Chukuwa tu kisa 👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️💯💯💯

  • @PrincessZAmlima-qh1uq
    @PrincessZAmlima-qh1uq 6 місяців тому +7

    Inabidi Yanga irejeshe Ngumi club kama zamani

  • @thetas08
    @thetas08 6 місяців тому +4

    Wabongo tuna tabu sana mwakinyo.anaheshimisha ngumi za bongo period kwanini Kuna watu wanachuki na hawakubali kitu kinaonekana cheupe wengine wanadai cheusi hizi korosho acheni mwskinyo is the best in tz na ana malengo yake ya kimataifa mistake kutaka apigane ovyo TU kama chizi haiwezekani na jingine msilolijua mwskinyo anajielewa sana na kujiamini na malengo yake mtakuja jua baadae keepin goin on Hassan all the best. champ.

    • @fahadalaba7710
      @fahadalaba7710 6 місяців тому

      Achana nao hao Kaka, mbona Jambo lipo wazi kuwa mwakinyo anaweza ❤💯👊

  • @HemediOmar
    @HemediOmar 6 місяців тому +6

    Dah' jamaa anajuwa Sana kujitetea wallah

  • @MuanassaChabane
    @MuanassaChabane 6 місяців тому +11

    Mwakinyo🎉🎉🎉

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 6 місяців тому +5

    Ninakukubali sana Mwakinyo

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 6 місяців тому +4

    Safi sanaa champez ume tisha una akili sana

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 6 місяців тому +5

    Katika Africa mwakinyo ni namba ingine

  • @user-tg7qf4ei5n
    @user-tg7qf4ei5n 6 місяців тому +6

    Mdogo wangu Mwakinyo huyo Twaha Kiduku ni mtani wako kwa maana wewe ni mdigo yeye ni mluguru

    • @HusseinKibega
      @HusseinKibega 6 місяців тому

      Kumbe mwakinyo mdigo mwenzangu nakumendza sana kaka mwakinyo all the way from Kenya 🇰🇪 Mombasa

  • @happyacrestanzania6003
    @happyacrestanzania6003 6 місяців тому +3

    Eti mpaka leo Twaha chumbani kwake kuna chandarua!😀😀😀

  • @mengijagal8643
    @mengijagal8643 6 місяців тому +3

    Huyo mwakinyo fala kweli eti bondia bado analala kwenye net 🥅kwahiyo hujui Morogoro kuna mbu wengi sana 😂😂😂😂

  • @binwasiumbanga9256
    @binwasiumbanga9256 6 місяців тому +2

    Umetisha #mwakinyo

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 6 місяців тому +8

    Wambie Hassan,we sio kitumbua,Kama wanavyokuchukulia,achana nao na mapengo yao

    • @Chimamy5242
      @Chimamy5242 6 місяців тому

      😅😅

    • @subiramoshi2157
      @subiramoshi2157 6 місяців тому

      Mwakinyo acha uoga twaha alikutaka ukakataa. Juzix2 wewe ndo umemtaka. Sasa amekubali anasema promote ajitokeze tusaini. Ushaanza kusema. Twaha anakurupuka kukuhitaji. Mara hoo unapambano lingine kweli we ni mswahili.na unawaburuza wasiojielewa ..

    • @subiramoshi2157
      @subiramoshi2157 6 місяців тому

      Wewe ili waekewa tukuelewe.ungetuweka wazi.mashabiki kwamba kunapambano LA nje umepata kwahio.LA twaha lisubiri kwanza.lakini. umegeuka unasema wewe ndio.unatakiwa na twaha. We unamaneno yakike.namashoga zako wanaokusaport.

    • @subiramoshi2157
      @subiramoshi2157 6 місяців тому

      Wakati mwingine mashabiki.tuwe waelewa. Kwasasa utasema kati ya twaha na mwakinyo nani kamtaka mwenzake, mfano demu ulimtongoza akakataa we, ukatemana nae ukashika mambo yako. Mwaka umepita anatangaza anataka muoane. Mara. Unatangaza ndoa. Mara anasema nimepata bwana wa nje ..unakurupuka we, unatangaza ndoa yanini! sasa siushoga huo?? Acha hizo mwakinyo usimfwatex2 twaha na maneno.

  • @smartnyengo725
    @smartnyengo725 6 місяців тому +8

    Msenge anaijua thamani yake achaaa tu

    • @user-ks8rq5wp3z
      @user-ks8rq5wp3z 6 місяців тому +2

      Kbc kaka, maana anajua wenye mamlaka haki za tv watapata faida kubwa na je vp khc wao kama mabondia,,, Mpunga uwekwe wa kutosha ili kila mtu kati yao afaidike na hiyo fight... Marketing & Branding anaijua vizuri uyu jamaa

    • @sonicaghendewa9886
      @sonicaghendewa9886 6 місяців тому

      Duhhh😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      Hakuna akili hapa🙌

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 6 місяців тому +1

    Hasani nawewe unazingua kiduku wanini au uchawi ushamuingia we angalia mbele mwacha apambane nakatompa kwanza alafu ndo aje

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 6 місяців тому +6

    😂😂😂😂😂mwakinyo mchokozi sana chumbani kunachandalua😂😂😂😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 6 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @aladinho1352
      @aladinho1352 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 6 місяців тому +4

    Mtu apende anapotaka hakatazwi. Lkn kwa kweli tuache chuki binafsi. Tz Mwakinyo number one. Haki yake apewe na sio kwamba wengine hawajui au vp noo. Hassan anapigana kwa kujua na kujiamini na anakuwa katulia sanaaa ulingoni. (Kujiamini). Mtu kama huyu ata ikitokea kapigwa bc tunajua ni bahati mbaya au kakutana na mwamba haswa.

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 6 місяців тому +7

    😂😂😂😂 duuh aisee huyu mjinga ana maneno ya kukera sana

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 6 місяців тому

      Wewe ndiye KUMA YA NYUMA. Huyo ni international Boxer hao wengine wanatafuta kick tu.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 місяців тому

      ​@@gibsonjosephat6352anatania, haina haja matus mzee, ni mchezo tu na mabondia wana taniana, wana kerana,kawaida tu

  • @GamingLimbe
    @GamingLimbe 6 місяців тому +2

    Hiyo miwani ni kali sana 😮😮

  • @allysele4265
    @allysele4265 6 місяців тому +7

    Mwakinyo upo vizuri tatizo lako mdomo mwingi

  • @user-nv9jn7xc4f
    @user-nv9jn7xc4f 6 місяців тому +1

    Mwakinyo ndugu yngu unaweza

  • @ramshetmlawa6995
    @ramshetmlawa6995 6 місяців тому

    Dg hersi atakufundisha kuishi nawa2 na maneno yakuzunguza kwenye media au au xem zawatu bondia mzr ila unajisahau xana

  • @user-qm7rn2ov7r
    @user-qm7rn2ov7r 6 місяців тому

    Wanamchukia Kwa mafanikio yake mdogo wangu Wana chuki Sana na mwakinyo

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 6 місяців тому

    Mimi ni shabiki wa Simba deeply ila Rais wa Yanga ana akili sana anajua kuchunga maneno yake

  • @WilliamEzekiel-hv9li
    @WilliamEzekiel-hv9li 6 місяців тому +5

    Ety chumban kwake bdo kunachandarua😂😂😂😂

    • @ZakayojrZ
      @ZakayojrZ 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😅

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej 6 місяців тому +2

    Champeeez 🔥🙌🦅 mdomo lazma unalinda brand kama Wilda tu👋

    • @yasiniselemani8672
      @yasiniselemani8672 6 місяців тому

      😅😅😅wilda amechoka kapigwa Tena na Joseph parck😅😅

  • @upgo6112
    @upgo6112 6 місяців тому +1

    Mwoga TU ..wew

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 6 місяців тому

    We kiduku atakuu wewe kama unaweza sign mkataba taratib zitafatwa

  • @harrisntibuhera8201
    @harrisntibuhera8201 6 місяців тому

    hassani unautani wa ngumi😂😂😂 nyumban kwake Kuna nini naomba msikilize mwakinyo 😅😅😅 international champion

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 місяців тому

    Jamaa ana zarau huyuuu daah

  • @Officialabshry
    @Officialabshry 6 місяців тому

    Mwakinyo yuko very brave natamani hata kujua level ya elimu yake...... Anamajibu Mazuri sana

  • @user-zd5pc5nc9c
    @user-zd5pc5nc9c 6 місяців тому +3

    Ila mwakinyo,,,,,,!

  • @user-bs1jg5rh4r
    @user-bs1jg5rh4r 4 місяці тому

    😂😂bondia. Chumbani kwake hadi Leo kuna chandarua 😅😅

  • @highcancara1993
    @highcancara1993 6 місяців тому

    Siyu yule mwanajeshi sema yule bondia

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental 6 місяців тому +2

    Yanga inangumi pia ktk nembo zake

  • @user-vw5gy9mv6r
    @user-vw5gy9mv6r 6 місяців тому

    etii shuka ya kulalia haieleweki😂😂😂😂😂

  • @sngrafx
    @sngrafx 6 місяців тому

    Punguza chochoko Kama unajijua Kuna taratibu

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 6 місяців тому +6

    HERSI UPO SAWA MKUU HAPO TZ WAPO WATU WANA UBAGUZI WA KIMIKOA TAIFA LAZIMA TUUNGANE

  • @PendoNyemba
    @PendoNyemba 6 місяців тому

    Wewe muoga..kama boxer pigana na twaha acha janja janja.broo

  • @ibrahmwendy919
    @ibrahmwendy919 6 місяців тому

    Mwakinyo wewe ni bendera ya Taifa kwa boxing... keep it up bro

  • @officiall_aslam4873
    @officiall_aslam4873 6 місяців тому

    Jamaa anajielewa

  • @franciskomba8057
    @franciskomba8057 6 місяців тому

    Kwel kabisa

  • @user-bh1rq6se9c
    @user-bh1rq6se9c 5 місяців тому

    Chandarua😁😂

  • @chiddybwax7749
    @chiddybwax7749 6 місяців тому

    Mwakinyo is 1🇹🇿

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 місяців тому

    Mwakinyo mshamba tuu

  • @tinomzungu8070
    @tinomzungu8070 6 місяців тому

    Mungu akiamua hakuna wakupinga

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 6 місяців тому +1

    Mwakinyo 🔥🔥🔥

  • @user-vj6dt7ff6w
    @user-vj6dt7ff6w 6 місяців тому

    Nmeskia kitanga hpo. Kma ni ivy mimi simuwezi.

  • @barakamasai2397
    @barakamasai2397 6 місяців тому +2

    Good 👍

  • @salymkingungo5229
    @salymkingungo5229 6 місяців тому

    Choko tu huyo

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 місяців тому

    Hersy ana akili nyingi sana!

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 6 місяців тому +2

    heris 💪💪

  • @RichWise671
    @RichWise671 6 місяців тому +1

    #Champz🙌🙌🔥

  • @hassanmarejeta-iu9ru
    @hassanmarejeta-iu9ru 6 місяців тому

    Kinywaji cha biharusi Leo yupo kujipendekeza kwa utoporo anataka kuwaimbia taarabu

  • @johnmtatiro2160
    @johnmtatiro2160 6 місяців тому

    Unajua kukera sana

  • @salehematongo4058
    @salehematongo4058 6 місяців тому

    Mi nashangaa sana kama unaangalia kalia yako basi achana nao watu wasio kufaa lakini sio kila mala unawazungumzia kukaa kimya jibu tosha sio kelele nyingi alafu wakikubali unakimbia kwa visingizio achana nao kaa kimya

  • @user-gg4kw6le3b
    @user-gg4kw6le3b 6 місяців тому

    Mwakinyo ni kweli ana mafanikio sawa ila anadharau hiyo mm ndy imenifanya nisiwe shabiki yake nitashabikia bondia ambae yuko chini kimafanikio lakini hana dharau📌

  • @YussufJumaOmar-pe8yg
    @YussufJumaOmar-pe8yg 6 місяців тому +1

    Mwakinyo kakonda saana

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 6 місяців тому

    Champezzzzzzzzz🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 6 місяців тому

    Big up Mwakinyo

  • @mejachen5363
    @mejachen5363 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂 kazoea kupigana ijumaa

  • @macklinaklesent-pf4kj
    @macklinaklesent-pf4kj 6 місяців тому +6

    Usije ukasaau tena begi mana unasingiziaga vifaa umesaau nyumban umbwa wwe

  • @robartifabiani
    @robartifabiani 6 місяців тому

    Wakina dula wanataka ngumi za chooni

  • @kilimoufugajipesatv5751
    @kilimoufugajipesatv5751 6 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂chandarua

  • @mwalimuomari9981
    @mwalimuomari9981 6 місяців тому

    Kwa mimi nimezoea maneno na matusi ndio maongezi yao

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 6 місяців тому

    Noma sana

  • @Bahat_rama
    @Bahat_rama 6 місяців тому

    mwambie huy asichanganye mpir ngumi

  • @user-po8pk3ej9x
    @user-po8pk3ej9x 6 місяців тому

    Me bn mwakinyo simuelewi kwa kweli

    • @protaspeter5371
      @protaspeter5371 6 місяців тому +1

      Kanye, unaanzaje kumchukia mtu ambae hakufahamu, nyie ndo watu mnaofanya ionekane kweli binadamu katokana na nyani!

  • @user-po3ev2zh9s
    @user-po3ev2zh9s 6 місяців тому

    Saw kaka tupigie mtoto wa ddc uyo akuna bondia mule

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 6 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 6 місяців тому +2

    Ndondi zinataka Tambo, mwakinyo pia anataka sana kuheshmisha boxing, kumuelewa ni kazi sana.

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 6 місяців тому

    Unajua mwakinyo fundi sanaa wahizi kazi tusimchukie jamaa KAWAHI SANA KUJITAMBUA WATU HAWAJARAAA😂😂😂 chuki sasaaa😅😅😅

  • @morandikaroli2774
    @morandikaroli2774 6 місяців тому

    Tulijua tu huwez kukubal unachojua wew ni kuongea tu

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 6 місяців тому +1

    Mwakinyo hahaha😂😂😂😂

  • @allybobsaith
    @allybobsaith 6 місяців тому

    HERSI MFUNDISHE DOGO JINSI YA KUONGEA

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk 6 місяців тому

    Mwakinyo ana ogopa kupigana na twaha mamaee

    • @AbdillahiLulinda
      @AbdillahiLulinda 6 місяців тому

      Huyo mlala kwenye chandarua wako hamuwezi champez wewe

  • @user-of5gm5rx6o
    @user-of5gm5rx6o 6 місяців тому

    Uyo jamaa ana taarabu nyingi snaa muoga

  • @user-kd6xn7ux4v
    @user-kd6xn7ux4v 6 місяців тому

    hamna bondia apo labda mipasho2

  • @Simulizizamuvi
    @Simulizizamuvi 6 місяців тому

    Msela mohoga huyu

  • @johnmtatiro2160
    @johnmtatiro2160 6 місяців тому

    Jamaa anajua thamani yake sana

  • @official_thedon
    @official_thedon 6 місяців тому

    Waandishi wa habari wachochez

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 6 місяців тому

    Mwakinyo mbangunjungwa sikonkodonko naiyeee

  • @omaralwy8786
    @omaralwy8786 6 місяців тому +3

    Huyu ni Boxer lazima amtambie mpinzani wake
    Na lazima awe na maneno ya shombo
    Sasa mlitaka awe na maneno laini????

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 6 місяців тому

    Punguza kuongea sana sasa pimbi wew taarabu nyingi michambo kama kungwi bob

  • @ramadhanidhahabu9509
    @ramadhanidhahabu9509 6 місяців тому

    😅😅😅heti kama nihivyo simuwezi 😂😂 chamapz

  • @user-lr3qy2ew6h
    @user-lr3qy2ew6h 6 місяців тому +2

    Eti bondea mpaka sasa hivi chumbanii kwake kunachandaruaaa 😂😂😂😂😂

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 6 місяців тому +2

    Hersi,team No failed

  • @KulwaMbappe-zp4rd
    @KulwaMbappe-zp4rd 6 місяців тому

    😅😂

  • @AbdallahShamte-mp1iu
    @AbdallahShamte-mp1iu 6 місяців тому

    Hersi unatuangusha sasa unatumia vibaya brand ya Yanga huyo muache ajipromote mwenyewe na jeuri zake sio jina la Young Africans

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 6 місяців тому

      Tumia umoja umeangushwa wewe sisi wengine tumesimama acha ushabiki wako kwenye mambo ya msingi team twaha mbwa

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 6 місяців тому +1

    Fact tupu🔥🙌

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 6 місяців тому

    Ee mwamba