FILAMU - MVUVI part 2

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 160

  • @fredrickcharles4650
    @fredrickcharles4650 4 роки тому +15

    Walioipenda hii movie gonga like hapa tujuane

  • @ibrahimramadhani86
    @ibrahimramadhani86 Рік тому

    Asanteni sana kwakutupa mafunzo kupitiaa njiaa ya filam mungu awezekuwajaliaa kipaji chenu kiweze kusonga mbele

  • @tumafreedom6kenya375
    @tumafreedom6kenya375 3 роки тому

    Mama ni mama jemen Hakuna kama mama tu wampenda mama zetu

  • @babynadymchala8656
    @babynadymchala8656 4 роки тому +6

    niceeeee yn bonge la filamu bigap sana picha nzur sn

  • @rogersodero3897
    @rogersodero3897 Рік тому

    Esha Buheti napenda jinsi unavyo cheka sauti yako inapunch flani ya nguvu sana ,Nice movie

  • @chataboetz2600
    @chataboetz2600 4 роки тому +2

    hizi ndio aina za film zinazotakiwa katika jamii hongera wahusika kazi. nzuriiiiii👏👏👏

  • @khamismohammed6994
    @khamismohammed6994 4 роки тому +8

    Maashallah,,,hongera zenu washiriki wote hakika ni funzo kubwa kwa wazazi,,,,hakika tusameheane tunapokoseana

    • @ibrahimramadhani86
      @ibrahimramadhani86 Рік тому

      Asanteni sana kwakutupa mafunzo kupitiaa njiaa ya filam mungu awajaliee kipaji chenu kiweze kusonga mbele

  • @rebekamwakatobe3803
    @rebekamwakatobe3803 4 роки тому +4

    Jaman sio Siri nimeumia Sana,, Hadi machozi yamenitoka kwakweli movie nzuri Sana Hongereni Sana Actors..

  • @fatmaabdoulmadjid2050
    @fatmaabdoulmadjid2050 4 роки тому +3

    Inasikitisha sana na inamafunzo ilo ni funzo kwa wazazi wachezaji wamecheza poa sana
    Imeniliza kweli hongera sana

  • @nuweirali3376
    @nuweirali3376 4 роки тому +1

    Aki mumejaribu sana big up movie nzuri INA mafunzo kwl

  • @dennisnyagah7493
    @dennisnyagah7493 4 роки тому +3

    Kazi nzuri kweli mlio ifanya.... movie yenyewe inamafunzo mengi.... tunangonja mlifanye part 3... hongera zenu

  • @epmarkchami2536
    @epmarkchami2536 Рік тому

    Mov nzur sna

  • @user-nu9ip9en8i
    @user-nu9ip9en8i 4 роки тому +3

    Movie nzuri jamani hongereni sana washiriki wote inamafunzo mengi. Mwisho wa ubaya aibu. Na machungu ju.😭😭

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 4 роки тому +6

    Esha Buheti nimekuheshimu mamaangu umenitoa machozi.Asante

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Mtihani kwakweli wazazi wetu pungu zeni kiburi

  • @maisaramaulid4668
    @maisaramaulid4668 4 роки тому +11

    😥daaa nzur sn ila waruguru tujuwane hpa

  • @AbdallahLiumaku-dt5sn
    @AbdallahLiumaku-dt5sn Рік тому

    Inasikitisha sana hiii muvii atari

  • @MareraMarera-vf7tx
    @MareraMarera-vf7tx 3 місяці тому

    Nimeipenda

  • @salmaabdallah6109
    @salmaabdallah6109 4 роки тому +2

    Movie mzuri sana,, imenifanya nilie sana

  • @mumyally5901
    @mumyally5901 4 роки тому

    Funzo 👨‍👩‍👧👨‍👩‍👧hadi machozi esha congratulations

  • @obamaally1298
    @obamaally1298 4 роки тому +1

    Mama ni mama tu Leo nimezidi kuendelea kuamini respect kwa mama kalunde

  • @nyiravumeradiana9670
    @nyiravumeradiana9670 3 роки тому

    Gyamani movie mnayoceza inanizalilisha

  • @seikombulwa792
    @seikombulwa792 4 роки тому +3

    Laa jamani tutajifunza mengi kupitiya filamu hi I tuyaone kwa wengine ila yasitukute haya na sisi kesho tutakuwa wazazi tafauti zetu tusiziingize kwa watoto wetu uchubgu utabaki kwetu

  • @izackyupendo9086
    @izackyupendo9086 3 роки тому

    kazi nzuri kabisa wasanii wetu mungu awazidishieni ubunifu wa kazi

  • @twahaanyoni9368
    @twahaanyoni9368 4 роки тому

    Mko vizur sana mnafundisha jamii good
    Jobu bong move👊👊👊👊

  • @abuudachi3986
    @abuudachi3986 2 роки тому

    Mnajua aysee!, pamoja sn...

  • @mwanauluhassan4712
    @mwanauluhassan4712 4 роки тому +1

    Kweli mume jipanga sana hadi nimelia

  • @barakamwamkonda2749
    @barakamwamkonda2749 4 роки тому +2

    Duh mlikaaa,huruma tupu na huzuni,matokeo yake ni mafunzo makubwa kwa jamii

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb Місяць тому

    Wazazi kunachakujifunza

  • @zee2teacher941
    @zee2teacher941 3 роки тому

    Katika movie bora kabisaa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 Yaani Inasikitisha sana sana. Waigizaji wote 👌👌👌👏👏👏👏👏👏 Yaani hii movie instahili kupata view nyingi zaidi

  • @mromaboy1106
    @mromaboy1106 3 роки тому

    Ah mchezo umeisha vibaya kisenge yan

  • @isheali546
    @isheali546 3 роки тому +1

    😭😭😭imeniliza sana hii movie

  • @yusuphchakupewa7273
    @yusuphchakupewa7273 3 роки тому

    Movie nzuri sana hongeleni sana washiliki wote mungu azidi kuwapa nguvu msonge mbele hakika ina mafunzo mengi

  • @estermdaku1180
    @estermdaku1180 4 роки тому +6

    mwisho wã ubaya aibu

  • @zakasaid5399
    @zakasaid5399 4 роки тому +3

    Kwa kwel movie ninzuri xna hongereni mmeweze kuicheza

  • @witineskikiwa1906
    @witineskikiwa1906 4 роки тому +2

    Jaman Hadi nimelia namkubali Sana esha buheti👏👏👏👏

  • @rechomutuku3591
    @rechomutuku3591 3 роки тому

    Hongera sana Esha ww ni shujaa nimeipenda sana

  • @lucyadam2249
    @lucyadam2249 4 роки тому

    we kalunde umeniliza jaman bora mama yako angekua grace mapunda ungefurah mamii

  • @seikombulwa792
    @seikombulwa792 4 роки тому +1

    Mungu alituleta hapa duniani tuje kuujaza ulimwengu na bado ulimwengu uko wazi kisha tumeletewa msimo wakutowa uja uzito siju ewe dada yangu ambaye unajihusisha na kutowa nafsi ambayo hukuiumba wewe ivi kweli ulala na unasinzia???? Na umekwisha jiuliza ile nafsi ulio itowa ilikuwa inafanana aje????

  • @abdalahmsemwa1106
    @abdalahmsemwa1106 4 роки тому +2

    Iko vizur sana inafundisha

  • @usher1094
    @usher1094 4 роки тому +2

    Awawazeeeee nishida kabisaaaaaaaa

  • @twailikhamisi6423
    @twailikhamisi6423 5 років тому +12

    Nc leo nimekuw wa kwanz lik zen

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 роки тому +3

    Jamani mtoto yuwauma kisha sana mtoto si nguo ntaombamtu

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 4 роки тому +4

    Hasira hasara👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤

  • @fatimambarak9474
    @fatimambarak9474 3 роки тому

    Move zuri esha buetha hongera sana

  • @msshadiza409
    @msshadiza409 2 роки тому

    NIMEUMIA SANA NIKIWA KAMA MZAZI JAMAN NAPENDA KUWAMBIA KITU WAZAZI WENZANGU TUJIFUNZE SANA KUPITIA HILI MIMI SINA MENGI YA KUSEMA NAWAOMBEA KIPAJI KIZIDI ISHAAANLAA

  • @salmaniyonkuru1402
    @salmaniyonkuru1402 3 роки тому +1

    Yani nizaidi ya uchungu duuh.Mungu awazidishiye kipaji maana nimeliya mpaka nahisi kweli kumbe movie hhhhh.

  • @sophiarubambimpala5854
    @sophiarubambimpala5854 4 роки тому

    Muniru napenda Sana movie zako unajua Sana sema Esha buheti umejichubua Sana had unaboa.

  • @maryamdotto5739
    @maryamdotto5739 4 роки тому +3

    Mmh nimetoa uchozi akiamungu wazazi tuangalie

  • @rahmaramadhan7537
    @rahmaramadhan7537 4 роки тому +2

    duh imeniliza mno ni nzur inafundisha

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 4 роки тому +3

    Nice movie.. washirika wameubeba ualisia wa movie...❤️❤️❤️❤️❤️ ongerani

  • @huktyasnaty9115
    @huktyasnaty9115 4 роки тому +3

    Naona watu kuangalia comment mmelia au vip ngoja niangalie nimeangalia kumbe tuna wa China Tanzania tena wazeee atariii

  • @seikombulwa792
    @seikombulwa792 4 роки тому +4

    Nguo ya ndani ukiwa uliinunuwa mwenyewe basi ivae na usimvulie yoyote utamvuliya ule atakaye kununulia Nguo higo na ukikubali kuivaa basi na kuivuwa kwa ajili yake haitokuwa shida

  • @consolathamathew1585
    @consolathamathew1585 2 роки тому

    Movie ni nzuri na inafunzo kubwa ,mwisho imenihuzunisha Sana😭😭😭

  • @fatumamkupasy9563
    @fatumamkupasy9563 4 роки тому +1

    kali sana Aiseeee

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 роки тому

    Nzuri sana Asant nyinyi wote

  • @bernadethamasasi1104
    @bernadethamasasi1104 4 роки тому +2

    Dah mwisho hadi sio poa

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 роки тому

    Hata mm sikubali kuona penzi langu likihangamia kwa mtu nimpendae,Muniru na kalunde wamekolea katika penzi zito mno hila kwenye familia kuna mtiani mkubwa je itakuaje!!!!?

  • @estermdaku1180
    @estermdaku1180 4 роки тому +5

    ïla dü ïnatia huruma

  • @hamadnassor1676
    @hamadnassor1676 4 роки тому +1

    haya mazee yanachekesha kweli

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 3 роки тому

    Unaweza kukuta ugonvo🤔wenyewe wa mashamba

  • @sayunyonah4614
    @sayunyonah4614 4 роки тому +2

    Dah eise mnajua kuigiza mpaka nmetoa machoz

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 5 років тому +4

    Iko vzr sana inafundisha👏

    • @cathealex8106
      @cathealex8106 4 роки тому

      Move nzur sana hongereni kwa kweli nimelia sana

  • @sssaminasaidaaamashaalah3291
    @sssaminasaidaaamashaalah3291 4 роки тому +1

    Wazee wana roho gumu duuuh

  • @hidaykilasa7721
    @hidaykilasa7721 3 роки тому

    Mashallah huzuni na kufrahi sehm .😁😁😁

  • @fatumaamwantumu9165
    @fatumaamwantumu9165 4 роки тому

    Duu inahuzunisha sanaa hongereni

  • @monasalim5958
    @monasalim5958 4 роки тому +1

    Wee Esha wee mbona umeniliza mwenzio

  • @happkipoya4043
    @happkipoya4043 4 роки тому

    Daaah nimetoa chozi inauma sana

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 4 роки тому +2

    Mamzi yako ndo. Matokeo ya kesho.

  • @obamaally1298
    @obamaally1298 4 роки тому

    Congratulations Milo unaweza

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 4 роки тому +3

    Nagar😁😁😁😁🔥😘nzuri

  • @umisidi1816
    @umisidi1816 4 роки тому +1

    Nimenipunga kwa woooo mabuda wakali sura wabuzii

  • @fredrickcharles4650
    @fredrickcharles4650 4 роки тому

    Duuuh huyu qamilo anajua kuigiza jamani,, sio pw

  • @faimajuma9719
    @faimajuma9719 3 роки тому

    Nice

  • @wajustincadeau5303
    @wajustincadeau5303 4 роки тому +4

    imeniliza sana jameni

    • @happypa2027
      @happypa2027 4 роки тому

      Nimepend san kimavaz muendeleley iv nimetizam had nimeliy ik vizur san ❤❤❤

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 4 роки тому +2

    Nzur

  • @selekondo9832
    @selekondo9832 4 роки тому +1

    daa wazee watemi kishenzi yani

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 4 роки тому +1

    Wazeeee wengne kumbe nuksi et jamanieeeee??

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 3 роки тому

    Inauma sana mpaka machozi yani mwaika😭😭😭😭😭

  • @michaellubuva6710
    @michaellubuva6710 4 роки тому

    Mmmmmmmmmhhhh Co pouwah

  • @lindaziti7545
    @lindaziti7545 4 роки тому

    Inaliza Sana wallah wazazi acheni ivo

  • @user-yo2dj7cf3z
    @user-yo2dj7cf3z 4 роки тому +2

    Iko vinzur san

  • @user-sk2xr7yv3h
    @user-sk2xr7yv3h 4 роки тому

    Kweli hiyi movie inanitowa machozi😭😭😭

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 4 роки тому

    Esha Buheti heshima yako dada

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft 4 роки тому

    Eti wijukuu hivo vibwengo !!!

  • @mudytelela2162
    @mudytelela2162 4 роки тому +5

    Namalizia na sehemu ya pili hii nijue kinachojili

  • @halimashaha8442
    @halimashaha8442 4 роки тому

    Mashaallah uyo samaki nampenda

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 роки тому

    Nice movie..... Hasira hasara😭😭😭😭😭

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @didadida9291
    @didadida9291 5 років тому +4

    Inapendeza move

  • @seikombulwa792
    @seikombulwa792 4 роки тому +2

    Kumywa maji uipumzikishe roho yangu naamini kama uko unasoma msg hiyi nina imana muwili wako uko unasisimka na kama umekwisha pata cai ya asubuhi basi chakula ya mchana na jioni huiwezi kupitiya mdomoni

  • @mohamedbakari1613
    @mohamedbakari1613 4 роки тому

    Duu ikopoa kinyaama

  • @danielimikaeli1408
    @danielimikaeli1408 3 роки тому

    Hatalisana inafundisha mno

  • @saadasaada4790
    @saadasaada4790 4 роки тому +2

    Nimewapenda sana mumecheza kijasili sana

  • @happkipoya4043
    @happkipoya4043 4 роки тому

    Hawa wazee cjui wananini jamani

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 4 роки тому

    Mashaallah mukovizur san

  • @user-yj2qc6cw3q
    @user-yj2qc6cw3q 2 роки тому

    🥰😛💞💕

  • @salmaniyonkuru1402
    @salmaniyonkuru1402 3 роки тому

    Yani hiyi movie ni moto wa kuoteya mbali yani sijawayi kuona kama hiyi.yani nduguzangu siyo siri mnastahili pongezi zote. Hiyi movie inamafunzo ambayo yanatuhusu binadamu wote na inatubidi tubadilike ili kuokowa matatizo yabadae.

  • @sophiarubambimpala5854
    @sophiarubambimpala5854 4 роки тому

    Asanten Sana mmetufundisha kitu

  • @yassinm69
    @yassinm69 4 роки тому

    Esha Buheti unaweza