Mambo Matano Haya Ili Moja Ukilifanya Kwa Umakini Linafungua Rizki Kwa Haraka Zaidi // Sheikh Othman

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM UA-cam @QiblateinOnlineTv)
    🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
    INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
    FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
    TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 7

  • @HabibaHaret-e9b
    @HabibaHaret-e9b День тому

    Mashaallah mola akuhifathy

  • @san-africacare7638
    @san-africacare7638 Місяць тому

    Ahsante Sheikh kwa Elimu hii, Allah akujalie kheri na baraka Ameen

  • @MimahYaseen
    @MimahYaseen Місяць тому

    Tunashukur shekh kw darasa hakika nimekuelewa mola akujalie elimu zaid ya iyo na akupe mwisho mwema pia akujalie maish mrefu

  • @chikuiddy9946
    @chikuiddy9946 Місяць тому

    Mashallah sheikh nimekuelewa

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому

    Hivi sheikh huwa hauna mada zingine zaidi ya hizo? Hebu tupe faida bna katika fani nyingine kama fiqh

    • @san-africacare7638
      @san-africacare7638 Місяць тому

      Anzisha wewe chanel yako Ufundishe Fiqh si kila mtu anatakiwa kufundisha Fiqh... Hasad tu

    • @MimahYaseen
      @MimahYaseen Місяць тому

      Hah