JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лип 2021
  • HOW TO PRAY IN THE AFTERNOON
    There are many things that God has closed in a certain time or season. In this lesson we learn how the day (noon/afternoon) has many good things if we understand how to use it. Also in this lesson Apostle Mtalemwa explains TWO KEY POINTS TO PRAY DURING THE DAY. Follow this lesson to learn more.
    (Swahili)
    JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA
    Kuna mambo mengi Mungu ameyafunga katika muda ama majira fulani.
    Katika somo hili tunajifunza jinsi mchana ulivyo na mambo mengi mema endapo tutaelewa jinsi ya kuutumia.
    Pia katika somo hili Apostle Mtalemwa anaeleza MAMBO MUHIMU MAWILI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.
    Fuatilia somo hili upate elimu zaidi.

КОМЕНТАРІ • 347

  • @farajimohamednganilohi7001
    @farajimohamednganilohi7001 2 роки тому +2

    Namshukuru sana Roho Mtakatifu ananisaidia kukuelewa hata ukizungumza mambo mazito yeye unisaidia kuyaelewa. Na hakika nayaona matunda yake. Nakupenda sana Baba yangu wa Kiroho.

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 роки тому +9

    Napenda unavyo fundisha kwa umakini mkubwa thank you so much Man of God.hata mm 2018 nilisha jibiwa mchana one day nilikua mgonjwa ajabu but Mwenyezi Mungu akaniletea doctor after spending the all day in church praying. I have a testimony.

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi Рік тому +1

    Some nzuri barikiwa Apostle

  • @sesiliasamwel5024
    @sesiliasamwel5024 5 місяців тому +1

    Apostle ubarikiwe nimeinuka tena

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 3 місяці тому

    Uliishanipandisha viwango Hadi nashindwa kueleza barikiwa zaidi ya sana❤❤❤😊😊😊

  • @dottomkuchu5890
    @dottomkuchu5890 2 роки тому +1

    Yaani Apostle umenitoa ktk Giza Nene kumbe mchan ni mzuri Kwa maombi Mungu akutunze milele

  • @mamasharon7753
    @mamasharon7753 2 роки тому

    Mungu napokea mchana WA Leo🤲🤲🤲🤲💥💥💥💥🤲🤲🤲🤲

  • @lydiamkungu347
    @lydiamkungu347 2 роки тому +1

    Mungu uwe pamoja nami

  • @iranyibutsearnaud4278
    @iranyibutsearnaud4278 2 роки тому +6

    U are a real man of God 🙏 .u build me up with this word I am sure I will come back to comments on the same post with testimonies .

  • @halimarashid3728
    @halimarashid3728 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi napona na mafundisho yako

  • @msokelesijali7909
    @msokelesijali7909 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kukutunza mtumishi

  • @mytomorrowmambo626
    @mytomorrowmambo626 5 місяців тому

    Unanibariki sana kwa mafundisho,Ubarikiwe sana mtumishi

  • @jenifadaniel7752
    @jenifadaniel7752 Рік тому

    Amina! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri na maombi

  • @IsakaShauri-qu4xo
    @IsakaShauri-qu4xo 5 місяців тому

    Ameen nimebarikiwa sana na mafundisho Mungu akubariki sana mtumishi

  • @hopelema3893
    @hopelema3893 Рік тому +1

    I wish uje kanisani kwetu naguswa sana na mafundisho yako.Mungu akutumie zaidi na zaidi

  • @millcentsamali6793
    @millcentsamali6793 Місяць тому

    Hakika huu ni ufunguo wa magumu yetu!!!mchana ni Nuruu
    Barikiwa mtumishi wa Mungu Mwenyenzi

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 3 роки тому +3

    Katika mtumishi anayejua kufundisha neno aisee you are the best.Mungu aendelee kukuinua son of major prophet.apostle mtalemwa number one in Tanzania.

  • @yudarenatus5316
    @yudarenatus5316 2 роки тому

    Mungu akubariki Sana chief apostle mtalemwa

  • @faridaeliud6360
    @faridaeliud6360 Рік тому

    Amina mtumishi nami naami mda huu napokea kizazi kipya

  • @jacklineikoki6653
    @jacklineikoki6653 Рік тому

    Oooh yes barikiwa Sana chief unazidi nibariki mtumishi

  • @mrsnzilomgisha2687
    @mrsnzilomgisha2687 3 роки тому +1

    Chief wa watu. Hakuna somo unalofundisha nisikuelewe.... barikiwa sana Apostle wangu. Zaidi ya yote nakushukuru kwa utabiri wa mtoto wa kiume na nikampata kweli.

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 11 місяців тому

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @gracelymgimwa-jt6nw
    @gracelymgimwa-jt6nw Рік тому

    Namshukuru Mungu an kumtukuza kwa uwepo wako Chief unafafanua neno kwa kiwangu cha juu sana,Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 роки тому

    Napokea kwa jina la yesu amen

  • @Msovelo9017
    @Msovelo9017 2 роки тому +1

    Asante sana apostle

  • @ruthnyanza1887
    @ruthnyanza1887 Рік тому

    Nabarikiwa Sana na mahubiri haya Mungu akuinue.mtumishi watu wajue kuishi maisha ya kumtegemea .Mungu Ame

  • @johnmsiage7580
    @johnmsiage7580 3 роки тому +1

    Amina ww ndie baba wa kiroho ambae unawaongoza watoto vizuli

  • @RoseUrio-bl3dm
    @RoseUrio-bl3dm 8 місяців тому

    Ameen, ubarikiwe sana...nabarikiwa na mafundisho,Mungu akubariki

  • @anguraecalistus1509
    @anguraecalistus1509 Рік тому +1

    Am blessed...pray for me. I need Jesus in my life. Mimi ni kafiri. Pray for me hili mungu aniokoe

  • @esthercharles2210
    @esthercharles2210 3 роки тому +2

    Asante sana Chief Apostle Ufunuo mkubwa sana huu,hakika nimepata somo kubwa sana.

  • @harriethkinjoli5459
    @harriethkinjoli5459 2 роки тому

    Mungu akubariki Apostle kwa mafundisho mazuri

  • @eustacelubazibwa3101
    @eustacelubazibwa3101 11 місяців тому

    Hongera mtumishi..mungu awe nawe daima

  • @wigomwenyeflevazake7913
    @wigomwenyeflevazake7913 2 роки тому +1

    daaaaah nimekupenda breee apostle ubarikiwe sanaa una mafuzo mazuriii mnooo really touch my heart

  • @clairemuchai623
    @clairemuchai623 2 роки тому

    Aimen mtumishi Mungu akubariki

  • @basmartmapinda9321
    @basmartmapinda9321 2 роки тому

    Umebibariki Sana kwa neno la Mungu

  • @annajoseph425
    @annajoseph425 2 роки тому +1

    Asante Apostle kwani baada y kusikiliza mafundisho haya mchana wa leo kuna jambo Mungu amenitendea maishani mwangu

  • @meryezekieli8640
    @meryezekieli8640 5 місяців тому

    Amen mafundosho yamenisaidia kujua kuomba Kwa wakati mungu akubariki sana mtumishi

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 2 роки тому +2

    Mafundisho matamu.Courage Baba....

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 роки тому +3

    Amen Man of God MUNGU AKUTUNZE NAKUKUBARIKI

  • @marywafula2858
    @marywafula2858 2 роки тому

    Ooh yess nimekuelewa Mtumishi heee Barikiwa saana

  • @happysumia8756
    @happysumia8756 3 роки тому +6

    Amen Mtumishi ili Mtu akwelewe Lazima akusikilize hadi mwisho,,SOMO la Siri ya Asubuhi imebadili kabisa maisha yangu

  • @neemamlanda5862
    @neemamlanda5862 2 роки тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu nimeomba na wewe mchana wa leo naomba kupitia hapa naninamini mungu atatimiza malengo yangu amina

  • @nizselyluka2096
    @nizselyluka2096 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @neemashilangi3686
    @neemashilangi3686 2 роки тому

    Huwa najifunza sana hapa...Mungu awatunze watumishi wake.

  • @user-fb9ki2cy2e
    @user-fb9ki2cy2e 5 місяців тому

    Amen mtumishi

  • @ruthkiptoo9886
    @ruthkiptoo9886 2 роки тому +3

    Thanks mtalemwa for your teachings may God bless you abundantly.

  • @zainabukimaro5240
    @zainabukimaro5240 3 роки тому +1

    Asante yesu kunikutanisha na mtumishi huyu

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 роки тому +1

    Amina nimebarikiwa na hili somo nimeshukuku juu umeniponya ata yule mwanamke msinifu alikutana na yesu mchana kisimani

  • @dominickrwehumbiza7950
    @dominickrwehumbiza7950 2 роки тому

    Asante sana Apostle kwa mafundisho haya. hakika ili somo limenifundisha mengi na kunibariki. Mungu azidi kukuinua Apostle

  • @andrewgithaiga9956
    @andrewgithaiga9956 2 роки тому

    MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI I `VE LEARNT ALOT

  • @joycejumaa7181
    @joycejumaa7181 3 роки тому +3

    Asante mtumishi wa Mungu kwakunibariki na neno nashukuru kwakunifungua akili amfrom Kenya but now I am 🇸🇦nahitaji maombi Mungu tumbo yangu

  • @deogratiusdongwe6719
    @deogratiusdongwe6719 10 місяців тому

    Wonderful nimeongeza kitu 🙏🙏🙏

  • @marymwatsuma8137
    @marymwatsuma8137 3 роки тому +1

    Amen amen nmebarikiwa Sana asante mtumishi kwa muongozo

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 роки тому +1

    Pia mimi niko na ushuhuda mtumishi 🙏🙏.Baada ya kusikiliza mafundisho ya misukule part 1&2 huo wakati nilikuwa naumwa na miguu na mikono takribani week mbili.Hali ile ilinisumbua sana juu sikuwa na fanya kazi nzito sasa shida sijui ilikuwa wapi.Wakati wa mchana baada ya maombi nililala na nikiwa usingizi nilihisi upepo unanivivia sehemu ya miguu na mikono kuamka maumivu niliyokuwa nahisi hayakuwepo 🙏🙏🙏 .Hapo nilipokea uponyaji wakati wa mchana 🙏 kwa hakika Mungu ni mwema.Mafundisho yako yananiinua sana na Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi tuweze kufahamu zaidi be blessed The Man of God🔥🔥🔥

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому

    Asante sana man of God,am akenyan listening from Arabs countries..mimi nimuombezi nimejifunza kitu kutoka kwako

  • @alicekalemela7435
    @alicekalemela7435 3 роки тому +1

    Apostle kwa kweli mda hautoshi, nimekuelewa vizuri, Asante Sana kwa mafunuo

  • @kapologweeve442
    @kapologweeve442 3 роки тому

    Amen. Nimebarikiwa sana. Mchana

  • @ezrantare8978
    @ezrantare8978 2 роки тому +5

    Asante Apostle kwa kunipa maharifa ya kuomba maombi katika wakati sahihi na Aina ya maombi. Thanks Lord for your word given by your Servant Mutalemwa I feel blessed.

    • @user-mj8sl5rc7g
      @user-mj8sl5rc7g 5 місяців тому

      Asante Apostle Kwa mafundisho yako nabarikiwa nikiwa Kenya. Naitwa ev.Renson

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 роки тому

    Asante Mtumishi neno nimelielewa yan nilikuwa sijui masaa ya kuomba nilikuwa najiombea tu lakin sasa Mungu ananifundisha kupitia Mtumishi.

  • @bettymwanuke1424
    @bettymwanuke1424 3 роки тому

    Barikiwa sana appostle

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 3 роки тому +1

    Mtumishi Apostle Nabarikiwa Sana na Mafundisho yako Maana umenitoa mbali Sana Nakufatilia Kwa kuushika ujumbe wako Mungu akupe kipawa zaidi Katika huduma yako Man of God

  • @lulungunda354
    @lulungunda354 Рік тому

    Asante sana mtumishi ,nimeelewa maombi haya vizuri,

  • @DianaMwakibibi
    @DianaMwakibibi 23 дні тому

    Nimebarikiwa sana

  • @SirajiSoka-il7ec
    @SirajiSoka-il7ec 11 місяців тому

    Mchungaji hakika Mungu amekubariki

  • @bejishful
    @bejishful 3 роки тому +4

    Amen amen amen. Matatizo yote sugu maishani mwangu yameondolewa leo mchana na jua la haki linaniangazia, maadui zangu wote wamepigwa upofu kwa Jina la Yesu! Amen!!

  • @stellafety4332
    @stellafety4332 3 роки тому +1

    Amennn mungu mubariki mchungaji Wako asante nashukuru kwa neno soit béni

  • @joelsagide9607
    @joelsagide9607 Рік тому

    Asante opostole mutalemwa, mimi nilikua nimechoka na maisha kabisa lakini vile umenifundisha neno nimeamini kweli naitaji nafasi nyingine.

  • @eunicemarugu3595
    @eunicemarugu3595 2 роки тому

    Barikiwa sana apostle

  • @annekangaikathuni9523
    @annekangaikathuni9523 3 роки тому +1

    ...hakika mtumishi...waaa hufahamu wa juu zaidi...Mungu apewe sifa milele...nime barikiwa hekima ilioje waaaa.!!!!📢📢📢📢💯

  • @urbanusmutune8595
    @urbanusmutune8595 2 роки тому

    Mwalimu mungu akubariki

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 2 роки тому

    somo zuri sana la maarifa

  • @rithalukas4263
    @rithalukas4263 3 роки тому +1

    hakika huu ni Ujumbe wangu kutoka Kwa Roho Mt.
    Yesu Asante

  • @robertmwaipaya3738
    @robertmwaipaya3738 2 роки тому

    Ubarikiwe sana ndgu

  • @dieterfenn6773
    @dieterfenn6773 3 роки тому +1

    Amen napokea majibu kutoka kwa Mungu Asante mungu kwa uzima wangu na Baraka

  • @ruthnimanje7246
    @ruthnimanje7246 3 роки тому

    Ameen ameen nimejifunza

  • @faridaelias7137
    @faridaelias7137 3 роки тому +1

    Ameeeeen mafundisho makali sana..Mungu akutunze mtumishi wake

  • @monicajackisoni5865
    @monicajackisoni5865 Рік тому

    Amen man of God

  • @rachaelmkunda2742
    @rachaelmkunda2742 3 роки тому +1

    Asante Yesu kwa kunikutanisha na huyu apostle amenifingua Amina

  • @salomemahenge209
    @salomemahenge209 3 роки тому +1

    Asante Yesu niko nasikiliza somo hili mchana huu napokea majibu yangu

  • @lucylunani505
    @lucylunani505 2 роки тому

    Asantee akii mutumishii umeniguzaa, inaendana tu naa ndotoo chafu Sana bt hii maubiri ishawachoma

  • @pastorabellukumay6592
    @pastorabellukumay6592 3 роки тому +2

    Asante Yesu maana unaraise standard yangu ya Maombi

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    haki huyu apostle anajua kusaka bibilia

  • @neirhm6327
    @neirhm6327 2 роки тому

    Jina la yesu ni ngome yangu

  • @bishopalinanusweabisai899
    @bishopalinanusweabisai899 3 роки тому +1

    God bless chief
    ni SoMo mhimu Sana ninaona mafanikio ya maombi ya muda nimekuelewa Sana

  • @gracekanyanza4816
    @gracekanyanza4816 2 роки тому

    Asante mtumishi

  • @lylyekalendi2524
    @lylyekalendi2524 Рік тому

    Mimi ni congolaise , nakufataka sana , na nafurahisha na somo ginsi ya kuomba mchana , kumbe tunaomba mubaya njo maana hatujibiwe, nimefunjwa sasa Mungu akujaje tafsiri mtumishi wa Mungu amen

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 2 роки тому +1

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa hekima na ufafanuzi mazuri kwa masomo yako naomba namba ya simu ju niko Saudi Arabia na naomba usaidizi wako kwa maisha yangu kumbe niko nyumba kabisa naitaji kufundishwa

  • @joycemaxmillian4909
    @joycemaxmillian4909 2 роки тому

    Barikiwa sana

  • @ElishaMwashiuya-rz4dn
    @ElishaMwashiuya-rz4dn 11 місяців тому

    Amen nimeamin

  • @felestinekwamboka2873
    @felestinekwamboka2873 2 роки тому +2

    I have learnt alot from you may God bless you abundantly

  • @ELIUSRASSI
    @ELIUSRASSI 9 місяців тому

    Be blessed man of God

  • @user-gh6fj1dc9l
    @user-gh6fj1dc9l 6 місяців тому

    Hallelluya hallelluya 👃👃👃

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 3 роки тому

    Asante sana mwalimu

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 місяці тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ❤❤

  • @eunicemarugu3595
    @eunicemarugu3595 2 роки тому

    Ndugu zangu ninashuhuda kwa somo hili jana trh 11 mwezi 11 mwaka huu nilikuwa nikifuata somo hili nikiwadukani kwangu afu hari haikuwa nzuri kwa upande wangu ghafra nikapitiwa na usingizi huku simu ikiwa hewani nikamwona apostle kaja dukani kwangu akamhudumia mteja baada ya dakika chache nikashituka kutoka usingizini mda haukupita akaja mteja akanunua bidhaa ileile nilio ona apostle akiuza hovyo namushukulu sana Mungu kupitia mtumishi wake Mungu akamtumie kwa viwango vya juu zaidi

  • @doreennkya5524
    @doreennkya5524 2 роки тому

    Mungu anipe uwezo na Nguvu za kupambana na maadui zangu

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 2 роки тому

    Shetani alikuwa ananizuia kusikia hii kila siku nasema nitasikiliza niandike lakini Leo nimefanikiwa kusikia Kama mungu alivyonisaidia nguvu za gizaa wasubiri nikipata muda mchana ndo muda wakuwakomesha ufunuo wa Hali ya juu huu mungu akuinue apostle mtalemwa

  • @josephmutalemwa1461
    @josephmutalemwa1461 3 роки тому +2

    Hallelujah hallelujah praise be to God

  • @veronicawangari6108
    @veronicawangari6108 3 роки тому +15

    Mimi si mtanzania lakini mtumishi napenda jinsi unavyofafanua maandiko katika biblia nakutazama kupitia mtandao kutoka Kenya mungu awe nawe nyakati zote amina

  • @kavuthalinah514
    @kavuthalinah514 3 роки тому +2

    This has helped me to raise my standard of prayer. nagoja ni jue vile nafaa kuomba njioni na usiku.