Masanja Wewe Nawe Nipepo Wakuzimu Kama Wengine Yesu Hajatuambia Tusherekee Christmas niupuuzi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • Masanja Wewe Nawe Nipepo Wakuzimu Kama Wengine Yesu Hajatuambia Tusherekee Christmas niupuuzi

КОМЕНТАРІ • 11

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 17 днів тому +1

    Hana uchungaji wowote mwenye akili afaham hilo...asante sana kaka

  • @bellingtonlyimo6467
    @bellingtonlyimo6467 22 дні тому

    Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi huu. Kanisa limejazwa sana na mapokeo ya kipagani kuliko Neno la Mungu. Na mbaya zaidi mapokeo hayo ya kipagani yanaonekana kuwa ndio Ukristo.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 22 дні тому

    Akili kubwa sana

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 17 днів тому +1

    Labda anatamani kua mwanamke

  • @MuunganoChrisanth
    @MuunganoChrisanth 26 днів тому +1

    Isaya anasema piga kelele usiache ebu wambie hai maana wamekubuu ili wapate mafanikio kupitia watu Barikiwa sana kaka

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 26 днів тому

    X maxi ni upagani

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 23 дні тому

    Dunia ina watu wengi sana wanaotaka kujua ukweli wa Mungu maana hawaujui na waalimu wako wengi waongo.ni wachache sana wenye kuujua ukweli. Biblia umefunua kwamba Roho Mtkf ndiyo anatufundisha ukweli na kutukumbusha yote. Masanja ni mojawapo ya maelfu ya watumishi wasiojua ile kweli ya KiMungu. Yesu hakuwahi kusherekea siku ya kuzaliwa kwake hata kanisa la kwanza la mitume. Sikukuu ya chrismas ya iliwekwa na mfalme Constantine mwaka 336AD tarehe 25 dec ya kila mwaka na ikadhitishwa na kanisa la katoliki mwaka 356AD. Mungu ana siku.zake saba takatifu na hamna Christmas.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 22 дні тому

    Tunawatu wenye akili sana lakini wajinga wanalazimisha kutawala akili kubwa