SIKILIZA MAONI YA RAIA WA BARAKA KUUSU MABANGO YALIO WEKWA NA RAISI FÉLIX ANTOINE CHISEKEDI FATCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @lovirinaa
    @lovirinaa 11 місяців тому +2

    Vizuri sanaa

  • @AmisseMwenetombwe
    @AmisseMwenetombwe 11 місяців тому +2

    Léo ndo Miradi !!!! Alikua wapi!??? Tufungue Macho tuache ujinga.

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 11 місяців тому +1

    Izo Bango Ni propaganda achaguliwe tu.ila kiukweli Felix hato fanya chochote Baraka Kwanza Baraka Hai fahamu.

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 11 місяців тому +1

    Huyo rais wenu ni mwongo, hatofanya chochote hata apewe miaka 2000

  • @AmisseMwenetombwe
    @AmisseMwenetombwe 11 місяців тому +1

    Kama alituma, kwanini asiende kuchunguzwa!? Alikuja kutembea siku Moja hapo Fiz!?

  • @bayilungachico8533
    @bayilungachico8533 10 місяців тому

    Fatshi ata tengeneza Fizi tumu patiye wakati , vitu vita kuwa sawa kabisa

  • @ISAKWanjalamushimwenda-db9xd
    @ISAKWanjalamushimwenda-db9xd 10 місяців тому

    Iyo nikweli kabisa afatilie projet zake bila vile abata tumika tena
    Byote nibyamuzuri

  • @AkuluIbrahim-np9vj
    @AkuluIbrahim-np9vj 11 місяців тому

    Mimi naipenda. Congo

  • @Walkerstyle73
    @Walkerstyle73 10 місяців тому

    Wanaotufanyia makosa ni watoto wetu niwezi sana tena sana pesa zakufanya kazi ziko zinatolewa ila vijana wetu nibisuma vyamaajabu natena mutawachaguwa kwakuwadanganya tu

  • @henriette99
    @henriette99 11 місяців тому

    Fatchi anaweza towa pesa maisBa Gouverneurs batakula tena ile monnaie

  • @Sakala-xy3bb
    @Sakala-xy3bb 11 місяців тому +1

    Nalitumika miyaka kapi

  • @gracenagracetoujours8476
    @gracenagracetoujours8476 11 місяців тому +1

    AKUNA TERRICTOIRE IKO NA JENGEWA,,, FELIX HANA BILAN YOYOTE HII MIAKA 5 YOTE,,, AKUNA DON YOYOTE ILE ANA BALETEYA,,, JUU KWANZA ABAJUWIIII

  • @neeskpop
    @neeskpop 11 місяців тому

    Makosa mengine,ni wa Gouverneurs ndo weko wanakula pesa za miradhi mbali mbali.

  • @salehmnwemasumaili1051
    @salehmnwemasumaili1051 11 місяців тому

    Wemtangazaji kwanini unashindwa kupigania haki,uyo walukichwa hanajipya

  • @henryking6070
    @henryking6070 11 місяців тому

    Sisi wabembe tutamchaguwa Fatshi béton maana ni mzalendo na sisi wote ni WAZALENDO

    • @lovirinaa
      @lovirinaa 11 місяців тому

      Kweli

    • @gracenagracetoujours8476
      @gracenagracetoujours8476 11 місяців тому

      Weye mbembe uta mchanguwa, alikufanyia nini,,, sisi mpaka leo tuko nalipa pesa za masomo,,, ba bembe muache ujinga,,, baluba bali sema pouvoir ya Felix niya baluba,,, sasa uko nasema nini...

    • @EstaJeanette-nk7fj
      @EstaJeanette-nk7fj 10 місяців тому

      ​@@gracenagracetoujours8476acha ukabila. Hata hao waluba nao wanateseka hivyo hivyo. Wanasiasa wanatumikisha luga kama hizo ili kutu danganya na kutu gombanisha.

  • @AwezaeKishaba
    @AwezaeKishaba 10 місяців тому

    Mu mchague katumbi akuna kitu apo

  • @rashidikindu5434
    @rashidikindu5434 10 місяців тому

    Mchunge muone.nikikindi cha uchaguzi

  • @MsabaaMwenebokyo
    @MsabaaMwenebokyo 11 місяців тому

    Ndugu zangu nchi yetu hilikua kwenye shida kubwa sn lakini Rais wetu ametutoa mbali sn mimi nilikua naomba tumpe tumpe nchi kwa muula wa pili ili tuone atakachofanya🙏

  • @Walkerstyle73
    @Walkerstyle73 10 місяців тому

    Ata ahadi ya Kabila nyingi zilikuwa zinatoka shido vijana wetu niovyo ovyo sana awatumike ajili ya FIZI wanatumika ajili ile tunasema mukibembe nipatela tu

  • @henryking6070
    @henryking6070 11 місяців тому

    Acha ujinga usiongee usiyo yajuwa huyo rais ameitowa CONGO mbali wapumbavu ni ba gouverneur wetu ndo wanakula pesa zetu za maendeleo ya kwetu FIZI

    • @mauricemissi1390
      @mauricemissi1390 11 місяців тому

      Alitowa Congo mbali wapi ni nini ndo alifanya kweli nime amini sisi wacongomani ndo akili Atuna

    • @EstaJeanette-nk7fj
      @EstaJeanette-nk7fj 10 місяців тому

      ​@@mauricemissi1390 rudi myaka sita hapo. Wacongo hawakuwa hata na ota kama fasi kama fizi Pana weza onekana hivi.

    • @mauricemissi1390
      @mauricemissi1390 10 місяців тому

      @@EstaJeanette-nk7fj kwani fizi kuna nini dah nyinyi ndo madui na wachawi wa Congo kweli

    • @EstaJeanette-nk7fj
      @EstaJeanette-nk7fj 10 місяців тому

      @@mauricemissi1390 hakuna kitu kwa sasa hivi lakini ni Bora kuliko myaka ya hapo nyuma. Sasa wewe unge shauri tuchague na ni? Kunge kuwa mwingine Bora tungemchaguwa. Adui wa congo ni wa governor na viongozi wengine wanao kula pesa zenu. Pumbafu.

    • @mauricemissi1390
      @mauricemissi1390 10 місяців тому

      @@EstaJeanette-nk7fj tchisekedi pia adui hivi unajuwa watu wa ngapi wana kufa kila siku huku mashariki na yeye alisemaga akishindwa kuweka amani mashariki ya Congo Yani tuchukuwe ame failed na ndo hivi sasa kasha failed haja fanya chochote zaidi ya kusafiri na kula bata sana raisi shavu nene kama tako la mzee ana bowa sana Huyu jama ni bure mwengine achaguliwe tu

  • @gracenagracetoujours8476
    @gracenagracetoujours8476 11 місяців тому

    Mbandu yangu wabembe,, UYU FELIX IKO NA WADANGANYA NDUNGU ZANGU,,, MUTOKE MU DISTRACTION,,,, MUSI VOTE FELIX TAFAZALI,,, BA NDUNGU YANGU...HAFANYI KITU CHOCHOTEE BA NDUNGU

    • @EstaJeanette-nk7fj
      @EstaJeanette-nk7fj 10 місяців тому

      Kunge kuwa na mwingine Bora. Tunge chaguwa mwingine. Lakini kwa sasa hakuna mwingine aliye Bora.

  • @gracenagracetoujours8476
    @gracenagracetoujours8476 11 місяців тому

    Kama muna hipenda Congo musi pime ku vote Felix, kuazia 5ans ali bafanyiya nini?? Peuple Congo tuta kuwa wajinga mpaka lini????