Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kwanza anataka kuanguka hajui kuendesha jamani milady umepoteza ubora wako
"" Oya milladiAyo ,Njoo unirekodi navoendesha bodaboda ,nitajifanya raia wa kawaida yani naigiza kama sio fisadi ,njo fasta""
Ngoja apate kura ashinde😂😂 kama utamuona anaendesha iyo pikipiko
ILA HIZI KIKI😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
So umejivalisha yebo yebo na pikipiki ili tuseme mwananchi wahali ya chini sio😂😂
huyo na makamab pamoja na kinana kuna siku wata tuambia jpm alikufaje
Huku tumemuona nchengerwa na baiskeli hapa Nawye njoo nami mnirekod nikiendesha bajaji
Hakuna uchaguzi ni uhuni wa ccm wezi wakubwa
Eti atamfundisha jinsi ya kuiba kura
Mwizi
Kwahiyo hajapanga hata foleni, 😮
Endelea kurekodi hata akiingia msalani, tutapoteza mb zetu kuangalia, maana Millard Ayo ndicho ulichobaki nacho, uchawa!
Jamaa amepoteza mvuto jimboni kweake
Kaole Sanaa group
Kwanin hajavaa vitu vya usalama kama helmet
Sidhani kama sheria inawahusu vigogo wa Chama hata kama ni wastaafu😊
Mwizi wa kura😂
😆😆😆😆
😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤....CCm juu
Nape ni tapeli kwa sababu hafuati sheria za barabarani,kw a ajali nyingi za barabarani yeye ni msababishi,mliona anaendesha pikipiki bila viatu na helmet?Hiyo ndiyo serikali yetu😢
Comed hizii
Kwanza anataka kuanguka hajui kuendesha jamani milady umepoteza ubora wako
"" Oya milladiAyo ,Njoo unirekodi navoendesha bodaboda ,nitajifanya raia wa kawaida yani naigiza kama sio fisadi ,njo fasta""
Ngoja apate kura ashinde😂😂 kama utamuona anaendesha iyo pikipiko
ILA HIZI KIKI😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
So umejivalisha yebo yebo na pikipiki ili tuseme mwananchi wahali ya chini sio😂😂
huyo na makamab pamoja na kinana kuna siku wata tuambia jpm alikufaje
Huku tumemuona nchengerwa na baiskeli hapa Nawye njoo nami mnirekod nikiendesha bajaji
Hakuna uchaguzi ni uhuni wa ccm wezi wakubwa
Eti atamfundisha jinsi ya kuiba kura
Mwizi
Kwahiyo hajapanga hata foleni, 😮
Endelea kurekodi hata akiingia msalani, tutapoteza mb zetu kuangalia, maana Millard Ayo ndicho ulichobaki nacho, uchawa!
Jamaa amepoteza mvuto jimboni kweake
Kaole Sanaa group
Kwanin hajavaa vitu vya usalama kama helmet
Sidhani kama sheria inawahusu vigogo wa Chama hata kama ni wastaafu😊
Mwizi wa kura😂
😆😆😆😆
😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤....CCm juu
Nape ni tapeli kwa sababu hafuati sheria za barabarani,kw a ajali nyingi za
barabarani yeye ni msababishi,mliona anaendesha pikipiki bila viatu na helmet?
Hiyo ndiyo serikali yetu😢
Comed hizii