Zanzibar haikufuta uanachama wake Umoja wa Mataifa kwa kauli ya Katibu Mkuu wa Kwanza wa BLM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 2 роки тому +6

    Tusichoke wala tusisite kudai kwa namna yoyote lie kupigania Haki na Utu wetu Wazanzibari hadi MMungu atakuwa pamoja nasi in sha Allah. Dhulma Husda Chuki Ubabe Ukatili haujawahi kuishinda Haki. Tusikate tamaa. Kila mmoja kwa Uwezo na Nafasi yake aipiganie Nchi yake. In sha Allah tutafuzu

  • @mansourahmed216
    @mansourahmed216 2 роки тому +3

    Mbele kwa mbele hakuna kurudi nyuma, inshaallah iko siku tutagombka

  • @talibmuhsin5221
    @talibmuhsin5221 2 роки тому +1

    Historia safi kabisa ya Zanzibar lkin dah! Kweny vitabu tunamezeshwa ujinga

  • @khadijakhamis1382
    @khadijakhamis1382 2 роки тому +2

    Hakika sisi Wazanzibari ndio tuliopata hasara, kweli ipo haja ya kuunga mkono hoja hii ya Sheikh Salum.

  • @Binfuad
    @Binfuad 2 роки тому +1

    asante sana mzee

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 роки тому +1

    Good reminder

  • @rastafare878
    @rastafare878 2 роки тому +1

    Napenda kumsikiliza ili kufahamu ukweli zaidi

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 роки тому +1

    Maneno yako juu ya mstari Baba ni kweli kabisa . Ukweli utabakia ukweli

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 2 роки тому

    Zanzibar kipindi cha Utawala wa wafalme WAGENI kutoka Oman 12 hapana aliyewahi kwenda UN na kupata Kiti mpaka Mapinduzi ya ASP 1964

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 2 роки тому

    Naamin hakuna refu lisokua na mwisho iko siku

  • @adamally404
    @adamally404 2 роки тому +1

    Mashaallah mzee umeongea kweli bila ya chuki zidi ya binadam wezio sasa jamani wazee ndo hao wanarekebisha makosa angalau kwa kosema ukweli basi tuwaunge mkono kwa vitendo hususan kwa wale wenye madaraka muwe wamoja ktk kuwaunganisha raia

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому +1

    Dahhh
    Jamani amkeni nyie wazanzibar
    Mbona mlala sana nyie

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 роки тому

    Sasa tunafanyaje??

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому +1

    Kiti chetu tunakitaka wenyewe wazanzibar
    Watanganyika tafuteni kiti chenu

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 роки тому

      Kiti chao wanacho wamekigeuza jina tu wanakiita Tanzania

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 роки тому +1

      😃 Eti nini tunakitaka wenyewe

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 роки тому +1

      @@nailamohd7693 kistuli chetu🤣

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 роки тому +1

      @@misscoast3174 😅😅Khatari wenyewe tunakidai au vp @Pavillion Cry

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 2 роки тому +1

      @@nailamohd7693 eheee waache utapeli wenyewe tunakitaka

  • @fafanua
    @fafanua 2 роки тому

    Ikitaka kutawala milele....basi uiuwe elimu na afya na biashara.

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 2 роки тому

    SALUM RASHIDI sacha uwongo wewe mwenyewe ni wafuasi wa Abdulrahman Babu ukamfuata UMMA PARTY Macomredi

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 роки тому +1

    Tunataka mamlaka kamili Zanzibar

    • @fuadshell5188
      @fuadshell5188 2 роки тому

      Zanziba ikipewa uhuru wake na mamlaka yake.Garantee muda wa miaka miwili itajengeka kwa pande zote.Uchumi maendeleo,usafi,utalii,barabara ndio usiseme itakuwa japan or singapore

    • @fuadshell5188
      @fuadshell5188 2 роки тому +1

      Wazanzibari halisi wanasubiri fursa hio.wanashindwa kuyatimiza kwa sasa mpaka uhuru wao.

  • @venslausblaise507
    @venslausblaise507 2 роки тому

    Jidanganyenii tu...

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 6 місяців тому

    Muongo ni wewe Baraka Shamte unaejipendekeza kwa ccm ili upate kula lakini Yaguju hata uwatukane wapemba na wapinzani wote hutopewa hata ubalozi wa nyumba 10 maana wanakufahamu una nafsi chafu