power knapsack sprayer: mashine ya kupulizia dawa na mbolea ya kumiminika (liquid fertilizer).

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 кві 2024
  • mimea kama wanyama hushambuliwa na magonjwa na wadudu waharibifu na hivyo kupunguza na kuudhiofisha mmea, na hivyo kuathiri mavuno na kusababisha njaa, hivyo mashine hizi zinaweza kutumiwa kupulizia dawa na mbolea ya kumiminika liquid fertilizer, tupigie kwenye namba 0750406919 tukuhudumie tupo Morogoro.
    sprayer # viwatilifu # mbolea # mashine za kilimo.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @macotv2197
    @macotv2197  3 місяці тому +1

    Love you guys, like, comment unaonaje hizi mashine, unatmyo kama hizi na VP performance yake na kama hjapata tupigie cm 0750406919.