1. Ni rahisi sana kufikia maamuzi yasiyo sahihi - irrational decision. 2. Unaweza kufanya mabayai bila kufikiria. 3. Unaweza kumchukia/kumnunia mtu asiyehusika. 4. Kuna kuongezea maadui wengi kuliko marafiki. 5. Kunung’unika au kulalamika kunakupunguzia furaha.
1. Ni rahisi sana kufikia maamuzi yasiyo sahihi - irrational decision.
2. Unaweza kufanya mabayai bila kufikiria.
3. Unaweza kumchukia/kumnunia mtu asiyehusika.
4. Kuna kuongezea maadui wengi kuliko marafiki.
5. Kunung’unika au kulalamika kunakupunguzia furaha.
Kwa kweli najifunza mengi ubarikiwe sana
Kwahy dr Chris mauki mkipigiwa cm ili mtu umushauri mpk atoe hela jamn😢😢😢😢😢
Na je kurudia kumwambia mtu kosa lake ili ajirekebishe marakwa Mara ni manung'uniko
Asante mkuuu maaana umeniponya mm
Mungu akubariki sana kaka chriss mauki
Naomba kuuliza hivi ukimtania mwanaume wako kwa upendo akakasirika na kukutukana na kukuambia maneno makali inamaanisha nini
Asante sana doctor umenisaidia sana
Shukran kwa mafunzo dr.
Huyu ni mie 🤦🏾♀️
Ahahahahahahahhahahahaha naiman umejfunza sasa
@Chris Mauki Dr. Habari, naomba namba yako kuna mtu anahitaji akupigie. Asante
✍️
Shukrani Dr.itreally helps me...
Naitaka hii mana na mm nimoja wapo hahahahaah
If a man is the one ending conversation ,you the one texts or calls him and he is busy almost all the time does it mean I should quit hanitaki?
Move on