Wakristo na waisilamu nani wameokoka leo kitaeleweka kivumbi moto unawaka mchana.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 69

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +2

    Masha Allah sheikh salim mafundisho mazuri hadi rahaaa

  • @Idysalim
    @Idysalim Рік тому +4

    Salim walahi you made my night😂😂 eti uliangalia kati yako na sanamu ukaona wewe ndo mjinga. SubhanaAllah wenye akili watumie, its a matter of using common sense, lakini wape mafunzo,: Allah Guides those that he will

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому +2

    Maashaallah shekh salim mungu akupe afya njema na azidi kukupa ujasiri..kuna andiko ulilolitoa kwamba kafiri hafai kuoa muislamu mpaka asilimu ila kwa hekma na ulivyo teka nyoyo za wakristo haikuwaudhi inshaallah mungu awaongoze katika hakki

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Рік тому +1

    MASHALLAH shekh wangu salim wew ni mwalim mzur sana na ALLAH akuzidishie elimu zaid uendelee kuwafunza awo wanaojiita wakristo INSHALLAH

  • @ZaiSwalehe-q8v
    @ZaiSwalehe-q8v Рік тому +3

    Mashallah shekhe mungu akupe umri mref.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому +3

    Shukran masheikh wetu kwa kazi mzuri ya dawaah mafunzo mazuri kabisa wataelewa tu

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +7

    Oops leo nimechelewa kuwai Assallam aleikum mashekhe wetu nimefurahi kuwaona tena 😊😊Allah azidi kuwaandikia mema kila mkiingia na mnapotoka kwenda manyumbani wema iwatangulia kila mahali inshaAllah mbarikiwe sana mashekhe wetu amiin pepo iwe kwetu sisi ummati mohammad SAW na sote waislamu dunia nzima na nyinyi mnaotangaza dini ya Allah awaongoze kwenye neema zake

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Aameen ameen ameen sote

    • @mwanamtotosaid702
      @mwanamtotosaid702 Рік тому +1

      Allahumma Aamin 🤲

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому +1

      @@salimdaawah123 Assallam aleikum shekhe wangu nimefurahi kwa mafunzo mema lakini nina swali nina dadangu aliolewa na akazaa watotowawili wanaume sa ikafika wakati wakachana na dadangu akaolewa na mume mwingine ambaye anawapenda sana hao watoto lakini shida ni kuwa yule mume wa kwanza amekataa kushuhulikia watoto mpaka kesi ikaenda mbele alikata akasema hawezi shuhulikia watoto ju huyu mume atakula so alikatas kabisa mambo ya watoto Alhamdullillah huyu mume wa pili amekuwa mwema sana kwa watoto na mke wake anawapenda sana kama wake mpaka wamezoea kumuita baba na wanampenda kushida baba yao mzazi wakona miaka 9kabla kuonana na baba yao na yuko hai pia yeye aliowa na ana watoto na huyo mke wake alikuja na mtoto wa baba mwingine sa itakuwaje ju baba alikata watoto na huyu wa mume wa dadangu aliwapikea kama wake na pia alizaa nae watoto watatu lakini habagui wote ni wake hukumu kama hii itakuaje ju akona mifungo na ameahidi kila mtoto atampa mbuzi moja ajifugie iwe raslimali yake watoto wote sa nataka kujua hukumu kama hii unaweza tatuaje kuhusu hawa watoto na baba mzazi wao ebu nisaidie nimueleze dadangu cha kufanya ju mafundisho ya leo nimeskia mtoto harithi kwa mume mwingine sasa tufanyaje na baba yao amekata kushulika

    • @mohamedhozi8110
      @mohamedhozi8110 Рік тому +1

      @@zakiaanwar677 asslkm..mi kwa mtazamo wangu na ufahamu wangu nkama alivyo elezea shekh kwamba huyu baba ikiwa atawalea hawa watoto hawawezi kurithi kisheria isipokuwa kwa imani yake tu akitaka kuwagawai chochote kwa mapenzi yake haijakatazwa ni kupenda kwake lakn hajalazimishwa na sheria kuwa awarithishe ssa nkama hivyo alivyo wagawia mbuzi ni kupenda kwake sio makosa lakn sheria haimlazimishi

  • @roselyneanguluomollo
    @roselyneanguluomollo Рік тому +4

    Nashukuru saana ,,ningependa saana kuingia katika wuislamu🤲🇰🇪

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 Рік тому +2

    Mashallah. Barakallah fiq

  • @hurumajobuu9003
    @hurumajobuu9003 Рік тому +4

    Takbiriii Allah Akbar

  • @aliomar5954
    @aliomar5954 Рік тому +1

    Mashaallah ustadh Salim MUNGU atujaalie kheri nyingi sote inshaallah naona wakristo wanaanza kielewa 🤲

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Aameen ameen ameen sote tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +1

    Mashallah masheikh Allah awalipe kila kheri insha'Allah

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому +1

    MashaAllah mjadala umepanba moto , wallah uisilam ni raha , Alhamdullilah

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Рік тому +1

    Mashavallahy Sheikhe Salimu

  • @mesiabajaka4635
    @mesiabajaka4635 Рік тому +1

    Asalam alkum warhmatullah wabaarakatu, napongeza kipindi,japo kulikua na hitlafu,ya kukatakata picha,sijui ni kwangu au kwa kila mtu.Mnafanya kazi nzuri,Allah awalipe yalo mema,duniani na kesho Aakhera inshaAllah,na uwaambie kwakuamini kwao,uyo yesu wao,alizikwa na sanda,Maasalama.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому +3

    Walahy tunawaidhika sana hata sisi waislam.Nikikosa kuwaona japo siku moja naona kabisa siku yangu haijakaa vizur.ALLAH awape umri mrefu wahadhir wetu vipenz.

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 7 місяців тому +1

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah tunawapenda kwa ajili ya allah

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Рік тому +2

    MashaAllah!
    WaIslamu woteee, ni ndugu.
    MaProphets woteeeee wame toka kule MIDDLE EAST, na ni UZAA wa Iraqi ARAB Prophet IBRAHIM, na Iraqi Woman SA'RA na Egyptian Princess HAJAR.
    BIBLA ime sema UWONGO wakati ime ita PRINCESS HAJAR, kuwa ni "maid"!
    Ibrahim ata need a maid ya kazi gani wakati wali kuwa na SUFURIA Mbili katika MUD HUT yake!
    Kwani Ibrahim alikuwa na 6 BEDROOM MANSION ambao ina need MAIDS?

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 10 місяців тому +1

    Asalam aleyikum kaxi nzuri shekhe

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  10 місяців тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Рік тому +3

    Mafundisho Makali leo!
    Albin hako kwa glue leo.
    Prophets like jesus ONLY bring the TEACHINGS of God! Their job is NOT to transmit any HUMAN'S Prayers!
    Humans were CREATED by God, THEREFORE PRAY directly to GOD.
    TabarakAllah Team Salim!

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +2

    Masha Allah 🥰

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +3

    Masha Allah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому +1

    Jamaa ako na kanisani, juu swali zake 😂😂😂😂,

  • @anuwarsalim9705
    @anuwarsalim9705 Рік тому +1

    Asslam alykm ustadh salim..kazi nzuri indeed .allah atawalipa in sha allah
    Kwa swali la kwann mkristo haez kuoa muislam .ni direct question na jibu lake lipo Quran 2..221

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +2

    Mashallah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому +1

    WANASEMA kamaaaa, jamaa ako na siri, mimi nitoroka kukua haqi.

  • @JumaMeamba-px5vc
    @JumaMeamba-px5vc Рік тому +1

    Kwasababu mwanamke ni dhaifu kukufata maramoja kuwa muisilamu

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam Рік тому +2

    Mashallah niko ndani kama kawaidi.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +1

    Leo watu wamekuwa wastarabu MashaAllah.

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +2

    Nimerudi tena mashallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +2

    Allah Akbar ❤

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +1

    Hao ndungu ndio wameleta umaskini nanjaa Kenya

  • @yia73
    @yia73 Рік тому +1

    Salim be careful my brother about zaka of wachungaji 😅😮. We don't want wschungaji to look for you 😅

  • @Naw89
    @Naw89 Рік тому +1

    Muhadhara ulikua wafurahisha sana yaan kama hawaelewi ndio hawawezi elewa tena
    Tunawakaribisha katika uislam

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Рік тому +2

    Half Gospel church, AU NUSU MKATE church⛪?

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +1

    Sheikh salim eti mimi ndio sina akili 😂

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +1

    Zaka ni 2.5 kwa mwaka

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @JumaMeamba-px5vc
    @JumaMeamba-px5vc Рік тому

    Shehe Salim muisilam wa kiume anaweza kuowa mwanamke wa kikiristo ila mwamke awezi kuolewa na mume wa kikiristo

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Рік тому +1

    Aslmam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh sheikh aii hapo kuolewa na watoto tufanyaje sasa kw hivyo asitunzwe na baba wakambo 😢😢😢

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kurithi ndio imesema kutunza na kusomesha anawenza kama ako na uwezo

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Рік тому +1

      @@salimdaawah123 tusha elewa I was asking on their behalf Alhamdulillah nliolewa na mtoto na Alhamdulillah anamtunza kama wake

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      @@sheemaryam masha Allah

  • @josephmuthami4710
    @josephmuthami4710 Рік тому

    Kwani hawa wa christo hawajui bible😊

  • @hurumajobuu9003
    @hurumajobuu9003 Рік тому +2

    Masha Allah

  • @Naw89
    @Naw89 Рік тому +1

    Muhadhara ulikua wafurahisha sana yaan kama hawaelewi ndio hawawezi elewa tena
    Tunawakaribisha katika uislam

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 Рік тому +1

    Masha'Allah

  • @Naw89
    @Naw89 Рік тому +1

    Muhadhara ulikua wafurahisha sana yaan kama hawaelewi ndio hawawezi elewa tena
    Tunawakaribisha katika uislam

  • @Naw89
    @Naw89 Рік тому +1

    Muhadhara ulikua wafurahisha sana yaan kama hawaelewi ndio hawawezi elewa tena
    Tunawakaribisha katika uislam