AMEN ...MUNGU NAOMBA NIONDOLEE MOYO WA JIWE NDANI YANGU,NA UNIPE MOYO WA NYAMA NIKAWEZE KUENENDA SAWA NA MAPENZI YAKO EEEH YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
Mungu alimimina roho yake kamili kwa Enoko,Eliya,Yohana mbatizaji, Musa,na wengine. Ila nashuhudiwa kabisa moyoni kwamba na hii y’a Mzee kulola ilikua moja wapo.
Hii Injili imepotea, haya ndo majira aliyotaburi Nabii Amosi, Amosi 8:11-12 [11]Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA. [12]Nao watatanga-tanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huko na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
AMEN ...MUNGU NAOMBA NIONDOLEE MOYO WA JIWE NDANI YANGU,NA UNIPE MOYO WA NYAMA NIKAWEZE KUENENDA SAWA NA MAPENZI YAKO EEEH YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
Mungu alimimina roho yake kamili kwa Enoko,Eliya,Yohana mbatizaji, Musa,na wengine. Ila nashuhudiwa kabisa moyoni kwamba na hii y’a Mzee kulola ilikua moja wapo.
Amen nimebarikiwa sana na mungu azidi kuwabariki pia
Nabii Justine kwa kutuwekea huyu mtumishi mkuu wa Mungu nimebarikiwa sana
Amina nimebarikiwa na mahubiri ya mzee Moses kulola je watanzania nani atajitoa kuhubiri injili kama Mzee Moses kulola? Mimi niko kenya
hakika nimebarikiwa
Hii Injili imepotea, haya ndo majira aliyotaburi Nabii Amosi,
Amosi 8:11-12
[11]Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.
[12]Nao watatanga-tanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huko na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
Kulola alukufa nani Alibaki akiubiri? Leteni jibu
Hi injili ni tamu,ombi langu kwa MUNGU anipe macho ya kutambua waongo na wakweli,wa shetani na wa Bwana.
Hakika Moses Kulola tumkatae,hata sasa tukingali kwenye ushindi wa BWANA YESU!
Usichukue kiki ya mzee wetu. Hakuwa anasema sema watu kama wewe. Ali mhubiri yesu na kuwaambia watu waache zambi. Sio wewe dogo mpuuziii
duuu shetani amekusumbua kabisa, pole sana😢