Microfinance riba yao ni zaid ya 3.5% wizar ya fewdha na mawasiliaon ziangaliwe kwa kina kalynda wamedhulum 100% watz wote hkun mtz aliyerudishiw pesa zake
😅😅😅😅 mh. Nape hivi kitu chenye madhala kwa wananchi unakiruhusu vip kwanini uruhusu shida hizo kwa wananchi?? Wengi hawana hiyo Elimu ya mikopo wanajikuta wanakurupuka
Kwani hili Bunge lenu la mchongo halina sheria za kumchukulia hatua yeyote anayesema uwongo? Watu wanapotosha mambo kwa makusudi halafu hawapati adhabu yoyote? Hili bunge limekuwa kama soko tu la Kariakoo, no sense. NAPE na Kaka yake Mwigulu.
Bora mmeona hilo
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 soko linajiendesha lenyewe mawee nihuzuni
Microfinance riba yao ni zaid ya 3.5% wizar ya fewdha na mawasiliaon ziangaliwe kwa kina kalynda wamedhulum 100% watz wote hkun mtz aliyerudishiw pesa zake
Soko linaamua masuala ya riba ni huzuni😢😢😢😢😢😢😢 mawee
Hakuna majibu sahihi kila kitu munaweka siasa,inasikitisha sana,spika sijaelewa hata we hujaelewa ila mnalindana,duuu,daraa,hiii ndiyo Tz ya ccm
Wananchi wa tz hawamuelewi waziri wa fedha hata kidogo
Spika sikuhizi nakuelewa sana ila majibu ya Mawaziri hao wawili pasua kichwa wala hawatoi hoja za kumlinda mwananchi hawaeleweki kabisa so sad😢
Na sisi wa boda boda tunakopa wapi zaidi ya kausha damu, kw sababu hatuna sifa kwy sekta rasmi.
😅😅😅😅 mh. Nape hivi kitu chenye madhala kwa wananchi unakiruhusu vip kwanini uruhusu shida hizo kwa wananchi?? Wengi hawana hiyo Elimu ya mikopo wanajikuta wanakurupuka
Huyu bwana asaidiwe. Sikuweza kusikiliza hoja yote. Anazunguka tu kuelezea mambo yanayojulikana, bila ya kujibu hoja!
😂 majanga
mawaziri wezi kama sio wez ni mazuzu