HOUSE GIRL EP 51 | S2 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 687

  • @busatitv
    @busatitv  9 днів тому +167

    Asante sana kwa Wewe ambae tumekuwa pamoja kuanzia season 1 mpaka sasa tunakaribia kufunga msimu wa pili... Asante sana kwa Sapot yako na usiache kuwa nasi.
    Shabiki yoyote wa Busatitv na Shabiki wa House Girl piga jipuge kwenye kifua maana wewe ni Shabiki bora zaidi na umechagua sehemu bora zaidi ambayo itakunoa ubongo wako 💪💪💪

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 9 днів тому +3

      @@busatitv MBARIKIWE NYOTE, Asante na Mungu awabariki wote, mnatufunza kutuburudisha MBARIKIWE Sana

    • @JenipherJohnson-xo1nt
      @JenipherJohnson-xo1nt 9 днів тому +5

      tunashukuru ila mtoeni Candy na Sania wanatukera

    • @Mwajei0fficialmwajei
      @Mwajei0fficialmwajei 9 днів тому

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 9 днів тому

      @@JenipherJohnson-xo1nt 😂😂😂😂 alfu kwenye nafasi yake ukae wewe 😂😂😂

    • @Tatufadhili-ud6se
      @Tatufadhili-ud6se 9 днів тому

      @@busatitv pia sisi tunawapenda tu sna mungu awaongoze kwa kila jambo 💪💪🥰🥰💞💞🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼

  • @JescaDenis-d2r
    @JescaDenis-d2r 9 днів тому +279

    Director watoe candy na Sania wanatuumiza mioyo yetu jaman kama kunamtu anaumia kama mm gonga like nyingi Ili jambo lifanikiwe😢😢😢

  • @AishaAbdoullah
    @AishaAbdoullah 9 днів тому +60

    Jamani tusaidieni utofauti wa Tasha na Zatiti ukwishe waowane Mana tunasubiri harusi kwahamu Ila vikwazo haviishi Mr Tasha na Zatiti mtayapita hata kai na zuuu walipitiya magomu zayidi yahapo wanaotaka Hawa wawili wavuke hayo mazaifu wagonge like hapo

    • @AlylenShitamu-tc2ng
      @AlylenShitamu-tc2ng 9 днів тому +5

      Mm hdi naskia kama naboeka na zatiti sasa asikubali kurudi kwa uyo mjinga juu alisha mupea talaka

  • @TeresaSefu
    @TeresaSefu 9 днів тому +49

    Mtateseka. Sana chiko na Dada ako😏😏😏

  • @RehemeAlfonce
    @RehemeAlfonce 8 днів тому +12

    Allah akuponye wewe unayeumwa na kupitia magumu mengi katika hii dunia 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @user-nb3to7db3e
    @user-nb3to7db3e 9 днів тому +189

    Zatiti usikubali wanaonamin zatiti atamkataa chiko gonga like

    • @DianaRumbanisa
      @DianaRumbanisa 9 днів тому +1

      Mapenzi upofuuu mayi dia

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 9 днів тому

      Zatiti arudi kwa chiko tu

    • @fathmambeyu8987
      @fathmambeyu8987 9 днів тому +1

      Hampendi chiko anampenda tasha

    • @user-mk6kq1sx5j
      @user-mk6kq1sx5j 9 днів тому

      Awezi kurudi mana alimpatia talaka tena 3 kidin inatakiwa aolewe achike na talaka akae eda ndo chiko amuowe tena​@@saadaally5705

    • @ZubedaShaban-fb2dl
      @ZubedaShaban-fb2dl 9 днів тому

      Zatiti usikubali kumrudia chiko

  • @user-yh5wy8lb5k
    @user-yh5wy8lb5k 9 днів тому +18

    Candy apewe mauwa yake jamn kajua kutuuma miyoyo uyu dada kama unamkubali candy anajua kuigiza weka like ❤

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 8 днів тому

      @@user-yh5wy8lb5k sana tena sana abarikiwe popote alipo candy na sonia wake japo wanajeruhi mioyo ya watu lakini wameuvaa uhalisia wa mabinti wengi wako kama hivyo,

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 9 днів тому +39

    Zatiti usijaribu kurudi kwa chiko kabisa...mr tasha ndo chaguo lako alikuwa na ww kipindi uko na machozi na maumivu yakudharauliwa❤❤❤

  • @EuniceWavinya-uf1cl
    @EuniceWavinya-uf1cl 9 днів тому +36

    Mwaendelea aje wezangu naamini mu wazima wote mungu hawabariki sana nahwazidishie miaka mingi ya kuishi hapa duniani yenye furaha.tuzidi kutazama housegirl ili tupate funzo

  • @ReginaAli-f3d
    @ReginaAli-f3d 9 днів тому +128

    Ambo wameboweka na Tasha kumuhamini candy like hapa

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 9 днів тому +43

    Kunasikumoja mtaona ndoa ya Tasha na zatiti lazima ndoa iwe wanaomini ilo gonga apa like

  • @SalhaMselem-s1s
    @SalhaMselem-s1s 9 днів тому +23

    Kama unaikubali hii movie gonga like apa 🎉🥳🥳

  • @yusterkapinga7102
    @yusterkapinga7102 9 днів тому +15

    Chiko na dada yako wote hamna akili mnashindwa kukubali kosa ni la kwenu mnaanza kupaniki, nyie ndo hamna kizazi mnaanza kumtusi mdada wa watu huyo sio wenu tena😏😏

  • @Dasa1_Tv
    @Dasa1_Tv 9 днів тому +44

    Ngoja ni comment kabla ya waomba like hawajaja

  • @LucyOzward
    @LucyOzward 9 днів тому +44

    Nimewai kabla ya waomba like . Naipenda sana hii movie

  • @NasraHumudy-ih5xl
    @NasraHumudy-ih5xl 9 днів тому +22

    Jmn mekwa wa kwanz naomben like

  • @josephinepeter706
    @josephinepeter706 9 днів тому +21

    Jaman nimewahi ila kunip like hamnip kwann lakin

  • @JoelNtivuguruzwa
    @JoelNtivuguruzwa 9 днів тому +6

    Number one munipe likes hapa kabisa nawapenda sana kutoka Rwanda capital of African security

  • @HyasintaWisdom
    @HyasintaWisdom 9 днів тому +13

    Wa2 wawe wanakoment Mambo yaakili et directar watoe cand na zatit muv itanogajee hahahah ay bhn wanao Amin candy atatapeliw nyumba gong like 🎉❤❤🎉

  • @TimotheoNdonde
    @TimotheoNdonde 9 днів тому +9

    Tunao ikubari house girl gonga like

  • @jamesmusukwa229
    @jamesmusukwa229 9 днів тому +9

    Hii movie haina mpangirio mzuri wa scene yaani inaboa 😢😢😢😢😢😢😢😢 zatiti kila mda kulia tu

  • @LighySteven-gd8wo
    @LighySteven-gd8wo 9 днів тому +12

    Leo na mm nimewahi naombeni like aaaah dada chiko anamharibia tasha wa watu

  • @Elkhanamahenge
    @Elkhanamahenge 9 днів тому +13

    Wakwanza leo jmn mnaninyima like

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 9 днів тому +8

    Zatiti ukimrudia chiko umekwisha kumbuka matusi ya dada yake na pia Mungu amekupa mume sahihi Tasha ni mume wako kua na msimamo😢

  • @user-nb3to7db3e
    @user-nb3to7db3e 9 днів тому +13

    Wakwanza jmn like zang naomba

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 9 днів тому +9

    Huyo Rahma na kakaake waharibifu tu mbwa ao

  • @Qarim-kn7by
    @Qarim-kn7by 9 днів тому +61

    kama unaikubali hii movie gonga like

  • @Zaitunrashid-c7q
    @Zaitunrashid-c7q 9 днів тому +4

    Wow leo zatiti umenifurahisha sana hapo sawa nitaweka bando la mwenzi kwajili ya hii move

  • @JosephaSulle-yi4zr
    @JosephaSulle-yi4zr 9 днів тому +10

    Nimekoma matabe nimekoma mimi

  • @SarafinesimiyuMainq-iv5tw
    @SarafinesimiyuMainq-iv5tw 9 днів тому +13

    Wow afathsli

  • @user-hl7mo4pt2w
    @user-hl7mo4pt2w 9 днів тому +5

    jaman wat mpo makin duuuuu kwan mnakesha humu hum au aaah aya bwan

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 9 днів тому +5

    Candy yko nikali😂😂😂

  • @samuelbaraCh-9
    @samuelbaraCh-9 9 днів тому +6

    Hogera sana kaka rasoa,kai na wana busati tv wote keep it up guys we love you❤❤❤ plz like.

  • @Anna-me4kc
    @Anna-me4kc 8 днів тому +3

    Zatiti me sitakiiiii chiko umkubalieee sitakiii please zatiti angalia ombi langu 😢😢😢😢

  • @faithkalulu
    @faithkalulu 9 днів тому +3

    wa kwanza apewe likes

  • @CatherineChege-w5x
    @CatherineChege-w5x 9 днів тому +8

    Like moja tu 😢😢😢fron Kenya ni locked 🔒

  • @FaithJoshua-n8n
    @FaithJoshua-n8n 9 днів тому +9

    Wakwanza bila kuaribu mda

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 8 днів тому +2

    wanao mkubali tasha na zatiti gonga like hapa

  • @AishaNdunge
    @AishaNdunge 9 днів тому +4

    Jamani, huyu ndiye alikuwa analia kweli 😂😂😂😂😂😂😂 wifi mgani huyu😮😮😮😮

  • @user-ii3rb6uj7g
    @user-ii3rb6uj7g 9 днів тому +3

    Hapa kwa zatiti kuachana na chiko kupata tasha nimejfunza wake tuwe na msimamo mana zatiti akuyumba kurud kwa.chiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉wake tujifunzeni ex harudiwi

  • @asiakabingo7052
    @asiakabingo7052 9 днів тому +3

    🤣🤣🤣mmewahi kutoka hizo ngumi jamani Dha candy kiboko ameamua kuya timba na kwa masozi 😂 timu candy nasubiri like zenu hapa 😂😂

  • @RachelJoseph-dy2jh
    @RachelJoseph-dy2jh 9 днів тому +4

    Haya sasa naona vita inakuwa kubwa🤣🤣🤣

  • @JoyceYohana-on2gp
    @JoyceYohana-on2gp 9 днів тому +5

    Wakwanza leo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-mg7xx7ty1t
    @user-mg7xx7ty1t 9 днів тому +7

    Ambao awataki zatiti arudiane na chiko tujuane

  • @Rehema12
    @Rehema12 9 днів тому +1

    ❤❤❤❤

  • @ZUHURAOMAR-v2o
    @ZUHURAOMAR-v2o 9 днів тому +1

    Wa kwanza leoooo

  • @mauamshindo2558
    @mauamshindo2558 9 днів тому +4

    Yan mimi na kichwa changu kama tenga nikipata fundi aliemshonea wigi candy ntazalilika😂😂😂😂 mana cyo kwa weyi hiyo😂😂😂🙌

  • @onesmusfondo7679
    @onesmusfondo7679 9 днів тому +2

    Mr.Tasha,siku zote usionyeshe unyonge kwa mtu umpendae mzee...

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 9 днів тому +4

    Ngoja nikomend kabla waomb like awajafika😂😂😂😂😂

  • @asiamwachega
    @asiamwachega 9 днів тому +4

    Leo nimewahi jamani naombeni likes tunaoomba Tasha na zatiti wapate mtoto gonga like

  • @user-nx4po4fz1c
    @user-nx4po4fz1c 9 днів тому +4

    Zatiti njoo uchukuwe zawaid maana na mm sitaki kurudi kwa mtalaka Wangu ukikubali ukamuumiza tasha kuwa na msimamo kama wakwanhu wanaume tukiwa hatuna kizazi hawatuoni watu tukizaa sana tubajaza watoto inakubali uskubali

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 9 днів тому +4

    😂😂😂Alie mshonea candy Wivingi Mungu Anamuona kwakwel

    • @saidikikopa7357
      @saidikikopa7357 8 днів тому

      Sio kushona limewekwa tu naamini atajifunza kwa makosa kuigiza ni kioo cha jamii ivyo wanaokuangalia wanaangalia had rangi ya ktk kucha zako

    • @GraceDamas-g9p
      @GraceDamas-g9p 8 днів тому

      Nimemshonea mimi jmn nimekosea wapi

  • @buru1235
    @buru1235 9 днів тому +1

    Bibi am proud of you Mashallah Alf Candy n WiFi kazi kwenyu 😀😀😀fanyeni hiyo kazi hdi moja wenyu akose nguo😀and for you Zatiti Naomba umwelewe Tasha wallai

  • @LatifaAlly-xu8ng
    @LatifaAlly-xu8ng 9 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @IrineRingoine
    @IrineRingoine 9 днів тому +1

    Leo me wa kwanza duuh

  • @FATUMAPASKAL
    @FATUMAPASKAL 9 днів тому +2

    Mmmmh nimewah leo

  • @boyflany2836
    @boyflany2836 9 днів тому +5

    Mjua kuwahisha Radha ya mashabiki zenu

  • @kostengyamutokala8459
    @kostengyamutokala8459 9 днів тому +1

    Kongole sana satiti kwa kupenda ena 😅😅😅😅

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 9 днів тому +2

    Huyu bibiake zuu na babu yake wana vituko jamani wanifurahisha 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-rs6ue5pg7d
    @user-rs6ue5pg7d 9 днів тому +3

    Zatiti njoo Omani kpnz mwenzio yalinikuta nikakimbilia huku kwa sasa nawaza pesa na si mapenzi😂❤🎉

  • @CatherineChege-w5x
    @CatherineChege-w5x 9 днів тому +2

    Ila tasha na zatiti kitambo munaoana mtakuwa nahistoria aki nawependa sana 🙏

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c 9 днів тому +3

    Zatiti usirudi kwa Chiko baki Tasha mwanaume aliyetulia mstaarab lkn Chiko sio mtu sahihi kwako maana hata kama kutenda sio kosa kurudia kosa ndio kosa ila hata mwenyez Mungu anasamehe mtu ambaye amejutia kosa lake na anaungama kwa ukweli sio kuigiza.lkn hawa ni watu tu wa vita na kuchafua jinsi Rahma amejifanya analia kumbe unafki tu wanatumia sifa ety maana yake hata ukirud kwao hawataona umewasamehe na wakuzingatie wanajua tu sifa zao ndizo zimekurudisha hivyo hawataogopa kukuumiza tena.Mthamini Tasha maana hata uko hai leo yy ndio amesimama na ww kukutia moyo ila mwenyewe ulikua unajiua

  • @ElizabethOsimba-x6u
    @ElizabethOsimba-x6u 9 днів тому +1

    Nabaki kucheka sasa,mtu na wifi wake jamani,malombano ya nn sasa 😂😂😂😂

  • @joicejelomi
    @joicejelomi 9 днів тому +1

    Safi sana Zatiti umenifurahisha kwakweli kwa maamuzi yako mazuri

  • @AISHAFAAB
    @AISHAFAAB 9 днів тому +16

    Hakuna kuwasamehe hao zatiti

    • @Johar903
      @Johar903 9 днів тому

      Kweli kabisa zatiti usikubali kabisa

  • @WitnessMaile
    @WitnessMaile 9 днів тому +3

    Mungu Wang bonge tukunyema anapgana haoni ata aib??😅😅

  • @OfficialZuli-ve5kh
    @OfficialZuli-ve5kh 9 днів тому +1

    Na mimi nimo nazidi kufurahia house girl

  • @LatifaAlly-xu8ng
    @LatifaAlly-xu8ng 9 днів тому +2

    Wakwanza mm leo

  • @MaryMervin-n8v
    @MaryMervin-n8v 9 днів тому +1

    Jaman wa kwanza Leo naomba like❤

  • @ANNISTERROGGY-mq5bb
    @ANNISTERROGGY-mq5bb 9 днів тому +3

    Wa kwanza leo team tasha like

  • @EstherKadzo-yn3mk
    @EstherKadzo-yn3mk 9 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 9 днів тому +2

    Zatity oyeeeee raha ndani ya roho hapo Sasa chiko jipange Wacha a na zatity hongera

  • @radotyga
    @radotyga 9 днів тому +2

    Nahisi dili atalopewa Sania ni la kumtapeli candy kwenye nyumba

  • @DoreenKajila
    @DoreenKajila 9 днів тому +18

    Ila mnatuchanganya nani aligundua Sauti ya Dalali ni Mr Tasha like

  • @user-iv6yx5ot6f
    @user-iv6yx5ot6f 9 днів тому +2

    Napenda sana njinsi ambavyo hamuchereweshi

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 9 днів тому +1

    😢😢😢sijapenda kwann mnamfatilia zatiti

  • @SumaiyaAli-uq6xh
    @SumaiyaAli-uq6xh 8 днів тому +1

    Hivi kendi n sania mnatuelimisha nini maan hatuwaelewi maana mtu hufanya machafu kisha akabadilika lkn nyinyi imekuwa n wakosefu t

  • @MustyNgongo
    @MustyNgongo 9 днів тому +1

    Duuuh nyie noma yan cm ninyo lkn mshafika mia duu

  • @DeboraJems-zs7fr
    @DeboraJems-zs7fr 9 днів тому +5

    Mkaamua kutupunguzia dakika busati jamnii mnatunyima Raha

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 9 днів тому +1

    Kwenda zako ww dadake chiko muache zatiti na Tasha waowane zatiti usikubali kurudi nyuma kabisa

  • @LovenessElisha-kh4gp
    @LovenessElisha-kh4gp 9 днів тому +3

    Sania na kendi ata awainogeshi hii mv jamani si muwatoe mikundu hao

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 9 днів тому +1

    Ole wako zatiti uludi kwa chikooo😂😂😂😂

  • @ankohb
    @ankohb 9 днів тому +1

    team mr.tasha gonga like

  • @franktodory
    @franktodory 9 днів тому +1

    wifi wa zatt anachamba uyu duuuh 😂😂😂😂

  • @SalimoAli-t2p
    @SalimoAli-t2p 9 днів тому +2

    Zatiti wewe ni nzuri sana awendani na chiko isipokuwa mestre tasha

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 9 днів тому +2

    Jamani mambo moto kendy sania atakusaliti wewe nahiyo Hati ya nyumba utapigwa bonge lajambo

  • @user-ig3wo3td2x
    @user-ig3wo3td2x 9 днів тому +1

    Uyu bibi jamani kavaa nguo ya malaica 😂😂😂

  • @user-qe6cg5sl2h
    @user-qe6cg5sl2h 9 днів тому +2

    kazi nzur sanaa team busati❤❤

  • @farajamachilika8414
    @farajamachilika8414 9 днів тому

    😂😂😂ambao hatutaki zatiti aludian na chiko like hapa

  • @JosephaSulle-yi4zr
    @JosephaSulle-yi4zr 9 днів тому +1

    Amna sehemu mnaweza weka candy na sania jamani

  • @PapiaDeogratiusMpangaje
    @PapiaDeogratiusMpangaje 9 днів тому +1

    Kumbe watu hamujaenda kazini leo du

  • @ElizabethMumbi-c6x
    @ElizabethMumbi-c6x 9 днів тому +2

    Mr Tasha Sasahiv ameanza kuniboa badilika haraka kabla sijakasirika kabisa 😂😂

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 9 днів тому +3

    Macho yangu yananiambia zatiti kafanana na Nifa😂😂😂😂

    • @prettyney3812
      @prettyney3812 9 днів тому

      Hapana yaan hata kidogo hawafanani

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 9 днів тому +1

    Jamani watazamaji wenzagu nawapendaa sanaa❤❤❤❤❤ Mungu azidi kuwa nanyi..

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 9 днів тому +1

    😂😂😂😂😂 yaani mtu umekujaa kuomba msamaha hafu unaaza kumchamba mtuu ilaa rahma na candy mtakujaa kufaa midomo wazi😂😂😂😂

  • @zahraali5113
    @zahraali5113 9 днів тому +1

    Jamani nyie mnaolalamika candy na sonia watolewe, ngoja niwachambie kitu hao ni kama chachu lakini pia kuna wanawake wenye tabia kama zao na ndio maana ya kwamba kuna wanawake wenye heshima kama zuu na zatiti alafu kuna hao na wote wapo dunia hii hii, kwaiyo mwanamke mwenye tabia kama za soni na candy wanatakiwa kubadilika ili wawe wake bora kwenye Jamii inatuzunguka 😂😂😂😂 tujifuzee jaman sio mnalalamika watole sasa wakitolewa kwenye nafasi yao nani ataingiza 😂😂😂😂😂

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 9 днів тому +2

    Unajidangaja San ww d yake chiko p Moja na kk yako mkaye Kwa kutuliy Tena mtuache n zatiti wetu n Tasha wetu hila zatiti anapitia magumu San wallah Hila mungu yup p Moja na ww zatiti

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 9 днів тому +3

    Kama umeona mapenzi ya zatiti natacha atakua magumu tujuane kwenye like 🎉❤❤

  • @MariaHussen
    @MariaHussen 9 днів тому +2

    Yaan mda mwingine mnakera mtupereke kwawengine hao hatuwataki kend na Sania tumewachoka twamtaka Tasha na zatt bas

  • @user-es7pv6nf5r
    @user-es7pv6nf5r 9 днів тому +3

    Leo wa kwaza 🥰🥰