HOUSE GIRL EP 59 | S2 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Hot episode

КОМЕНТАРІ • 891

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r 4 дні тому +296

    Kama unaamini batuli ni shirika Moja na candy like hapa

    • @user-du1tg6jm3n
      @user-du1tg6jm3n 4 дні тому +1

      💯

    • @agnessezekiel
      @agnessezekiel 4 дні тому +1

      Katumwa huyo yaan zuu anatakiwa awe makina saaan make kaina amekatazwa namme wake kibendu yaan hapo zuu kitamlambaaaa

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya 4 дні тому +6

      Me sidhani ila ngoja tuone

    • @priscahmahenzo642
      @priscahmahenzo642 4 дні тому +1

      𝑀𝑚 𝑛𝑎𝑘𝑎𝑡𝑎𝑎 ℎ𝑣𝑦𝑜

    • @marymele9714
      @marymele9714 4 дні тому +8

      Bibi yupo subir limkute jambo

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 4 дні тому +218

    Toka niaze kuangalia house girl sija wah peea like leo nisipo pata like walah najinyonga😢😢😢😢😢😢😢

  • @zainabsabas1807
    @zainabsabas1807 4 дні тому +63

    Batuli katumwa Huyu Ila ata fell Bibi Zuu yuko tuna Muamni 😂😂😂

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 4 дні тому +1

      Huyu hajatumwa na candy ila nahis ni boss wake Kai nahisi

    • @zainabsabas1807
      @zainabsabas1807 4 дні тому

      @@nasrachimamy Huyu Mimi nahis ni Candy alafu Huyu batuli si rafiki na dada ake Zuu 😃😃😃

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 4 дні тому

      Kabis😂😂😂❤​@@nasrachimamy

  • @aminabakari607
    @aminabakari607 4 дні тому +155

    Sina imani na baturi kabisa, wanao kubaliana na mimi weka like hapa❤❤❤❤❤

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy 4 дні тому +85

    Uyu batuli Sina Iman nae Kuna jambo

    • @priscahmahenzo642
      @priscahmahenzo642 4 дні тому +2

      𝐴𝑝𝑛𝑎 𝑚𝑚 𝑛𝑎𝑜𝑛𝑎 𝑖𝑙𝑖𝑝𝑎𝑛𝑔𝑤𝑎 𝑖𝑤𝑒 ℎ𝑣𝑦𝑜 𝑖𝑙𝑖 𝑐𝑎𝑛𝑑𝑦 𝑚𝑝𝑎𝑛𝑔𝑜 𝑤𝑘𝑒 𝑢𝑓𝑒𝑙𝑖😂😂 𝑘𝑢𝑙𝑒 𝑛𝑘𝑜 𝑛𝑦𝑢𝑚𝑏𝑎 𝑘𝑎𝑡𝑎𝑝𝑒𝑙𝑖𝑤𝑎 𝑡𝑦𝑟𝑖😂😂😂😂

    • @user-gd8cx2ig9p
      @user-gd8cx2ig9p 4 дні тому

      😅😅😅😅waache wakutane na moto wa bibi zuu😂😂

    • @user-le8bg9md9c
      @user-le8bg9md9c 2 дні тому

      Uyo ni chawa wa Candy

    • @AbeliFfabiano
      @AbeliFfabiano День тому

      Mbona kama namwamini batuli au hamwoni kama kunafunzo fulani

    • @AbeliFfabiano
      @AbeliFfabiano День тому

      Naona kama ni imani ya zuri inapimwa

  • @agnesiluoga
    @agnesiluoga 4 дні тому +119

    Batuli katumwa ila kulingana na zuuu alivyo huyo dada atashindwa kumfanyia ubaya anaye amini like hapo

    • @user-gw3jh3lw4d
      @user-gw3jh3lw4d 4 дні тому

      Nakubaliana nawe hizo maroho zao zishindwe

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 4 дні тому

      Niko pamoja naye maana zuuli sio mbaya

    • @MauaNassor
      @MauaNassor 4 дні тому +1

      Tuko pamoja Bibi zuu yuko nyuma 😅

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 4 дні тому +132

    Km una amini batuli atamgeuka kendi baadae gonga like

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 4 дні тому +1

      Huyu hajatumwa na candy nahis hilo

    • @carolsuzycarol7741
      @carolsuzycarol7741 4 дні тому +1

      Hajatumwa na candy huyu ila atazuia mipango za candy za kuleta mtu fake hapa

    • @annnafula7476
      @annnafula7476 4 дні тому

      Hawezi ju namba amepeana tayari ni ya uongo

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij 4 дні тому +1

      Kwan waigizaji wenyewe wanasema wataigizaje 😢😢😢

    • @Teresia-bg9dt
      @Teresia-bg9dt 3 дні тому

      Huyu ametumwa na cedy

  • @LeahMendeli
    @LeahMendeli 4 дні тому +82

    Zuu jaman anahuruma sana ZUU maua yako ❤❤❤🌹🌹🌹

  • @AsmaRamadhani-ok6iv
    @AsmaRamadhani-ok6iv 4 дні тому +71

    Batuli kama hajatumwa na kendi bas katumwa na boss wa kai

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 4 дні тому +38

    Dah siku hizi nawah naomben like zanguuuuuuu❤❤❤

  • @MGASHATV
    @MGASHATV 4 дні тому +119

    Hii movie msije kuimaliza sasaiv kama upo pamoja na mm like hapa🎉

  • @ephraimndenga8988
    @ephraimndenga8988 4 дні тому +37

    Aliyegundua kuwa candy ndo anaongea kwenye simu tujuane

  • @ElizabethMokami-xb6cf
    @ElizabethMokami-xb6cf 4 дні тому +59

    Toka nianze kuwatch House girl sijawai pewa likes

  • @VeroNoel-u5y
    @VeroNoel-u5y 4 дні тому +23

    daah mm ndo sijawah pataga like ata moja 😢

  • @JOYCEMOHORIAMWITA
    @JOYCEMOHORIAMWITA 4 дні тому +30

    Kiramba wee nawe watuvunja mbavu

  • @BeatriceMvaty
    @BeatriceMvaty 4 дні тому +7

    Mh kilamba Kwa watu huondok😅😅😅

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 4 дні тому +63

    Daah Leo nimekuwa wakwanza naombeni like Zang please wanao his baturi hajatumwa na kend week lik😅

  • @Daftar-nc1lh
    @Daftar-nc1lh 4 дні тому +6

    Tulio choka kusikia maombi ya like nyoosha miguu juuu

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 4 дні тому +30

    Kama naiona season 3 hiviii.
    Wenye mawazo kama mimi like zenu please 🤪🤪❤️❤️🥰🥰

  • @Fatima34-px1qd
    @Fatima34-px1qd 4 дні тому +11

    Am fast person to watch from kenya but am currently in Oman

  • @rahmakwizera2518
    @rahmakwizera2518 4 дні тому +16

    Uyo batuli ametumwa na kendi zuu kuwa makuni mimi nahuzunika kumupokeya huyo mdada zuuh unarudi kwenye matatizo jamani zuuh akirundi kwenye matatizo mimi sita rundi angaliya hiyi filam

  • @suleyanderherrera9510
    @suleyanderherrera9510 4 дні тому +5

    Jaman watu wa house girl nipo kam upo gonna like hapo tujuane❤❤❤🎉

  • @DinaSamwel
    @DinaSamwel 4 дні тому +20

    Pamoja tena ikiwezekana tena waongezeke ambao watazaa na mizimu ya ngondee 😂😂😂😂😂

  • @SofiaSofia-nc9rw
    @SofiaSofia-nc9rw 4 дні тому +6

    Mm na amini batuli hajatumwa namutu yeyote wenye muna amini kama mimi munipe Like ❤❤❤❤❤

  • @AnastaziaKimaro
    @AnastaziaKimaro 4 дні тому +18

    Kai mbn mama k ajapendeza kichwani jaman, mpambe mpka candy aone wivu😅

    • @user-ii3rb6uj7g
      @user-ii3rb6uj7g 4 дні тому +2

      𝐌𝐣𝐚𝐦𝐳𝐢𝐭𝐨 𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐢 𝐤𝐞𝐫𝐨

    • @AnastaziaKimaro
      @AnastaziaKimaro 4 дні тому +1

      @@user-ii3rb6uj7g hahahaha uwo ni ubaili na siyo kero , hahahahahahaha

    • @AnastaziaKimaro
      @AnastaziaKimaro 4 дні тому +1

      Mimba yenyewe imempenda haumwi mara Kwa mara , kaumwa mara moja tuu , icho ni kidume kinakuja au tunasenaje wamama tuliopitia Hali hyo...🤗🤗

  • @NsabiyumvaEvelyne
    @NsabiyumvaEvelyne 4 дні тому +27

    Batuli mwongo sana uwo sana

  • @AnastaziaKimaro
    @AnastaziaKimaro 4 дні тому +20

    Uyu mpumbavu, mpumbavu mwenzie Yuko wapi, mbn haonekani😂😂

  • @GreatestSwordsman
    @GreatestSwordsman 4 дні тому +22

    Majina kdg private kilamba ukwaju 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt 4 дні тому +28

    Zuu işije ikawa mtego WA shetan candy

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 4 дні тому +10

    Batuli huwezi fanikiwa kabisa mana kai anampend zuu sana na tuko na bibi yetu atakupa kimbora mpak ukome wewe❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 4 дні тому +11

    Mhuu jamani hata mm nimeisi huyo baturi ni timu keddy kama hupo pamojaa nami gonga like yako

  • @farajakandonga3994
    @farajakandonga3994 4 дні тому +35

    Wanao amini batur na candy ni shilika moja tugonge like bas

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 4 дні тому +10

    Huyu batuli n nyoka kuna kamchezo anacheza n cendy weka like km tupo pamoja kumchukia batuli

  • @ZainabuKabache-tx7tu
    @ZainabuKabache-tx7tu 4 дні тому +12

    Batuli atakuwa katumwa na boss kama unaamini gonga like hapa

  • @PhilesKavai
    @PhilesKavai 4 дні тому +5

    Isije kuwa msaada wa kai kumuowa tena uyu batuli😂😂😂😂

  • @SwaidathThabith
    @SwaidathThabith 4 дні тому +5

    Ilaa kirambaaa jamani😄😄 anavyoongea na mama ake batuli anamuonesha utahis yupo nae ana Kwa ana🤭 but kurambaa nakupenda na mjinga mwenzio Yan Kaa matahila vile😂

  • @JucéliaManuelHonezio
    @JucéliaManuelHonezio 4 дні тому +20

    Leo nimewai naomba like jaman 🇲🇿

  • @ZubedaShaban-fb2dl
    @ZubedaShaban-fb2dl 4 дні тому +23

    Wanao amini batur sio mtu mzuri tujuane

  • @DinaSamwel
    @DinaSamwel 4 дні тому +16

    Tuko pamoja mpaka batuli aharib mapenz ya jamii na zuu kwa huruma ya zuu

  • @HalimaKibwana-by6pl
    @HalimaKibwana-by6pl 4 дні тому +11

    Leo zamu yangu wekeni like apa japo moja tu

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 4 дні тому +5

    jaman mbona baba kai haonekan nambie wadau kama unajiuliza kama mm gonga like

  • @user-bn4zg3yl4c
    @user-bn4zg3yl4c 4 дні тому +11

    Batuli katumwa na Boss wa Kai

  • @djbngudukwimba5682
    @djbngudukwimba5682 4 дні тому +18

    Kitambo sana mzigo ushachotwa

  • @user-lz8kb9ds8k
    @user-lz8kb9ds8k 4 дні тому +7

    Huyu dada wa kazi isijekuwa ametumwa na candy 😢😢😢😢😢😢zuuu kaaba makini na ndoa yako dada

  • @bongoswahiliplus
    @bongoswahiliplus 4 дні тому +17

    Oya team zuu like zang

  • @PatrickKimaro-do3lj
    @PatrickKimaro-do3lj 4 дні тому +34

    yaan dk 3 tu coment zaid ya coment 40 yaan nyie hata kuangalia hamuangalii nini kinaendelea mshaomba like

  • @mercychepkirui5791
    @mercychepkirui5791 4 дні тому +3

    Bakulit 😂😂😂ama sijui batuli kama unaamini ametumwa na Cady like bac 😢😢😢😢

  • @estherwamboi7683
    @estherwamboi7683 4 дні тому +4

    Jaman zuu wacha kumuabisha boss kai hebu jiweke vzur kuwa tofauti basi kidogo na life ya house girl na wife ya mtu bwana kapendeza bibi kichwa mambo ingne 😂😂😂huyu batul namshuku sana katumwa huyu

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 4 дні тому +5

    Aliegundua kuwa candy ndokaongea nakiramba kweny cm mikonojuu ,ila tunaomba Bibi zuu asaidie kwahili bila Ivo zuu atapatashida Sana batuli alitumwa na candy

  • @everlinenjuguna2281
    @everlinenjuguna2281 4 дні тому +6

    Huyo ni nyoka mmekaribisha jamani,,,kundi la kendy hilo

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 4 дні тому +1

    Zuu jitaidi kukaa smart jamanii mbali na heshma na nidhamu uliyonayo kwa mume wako basi mwanaume pia anapenda uwe smart huo ndo ukweli.

  • @ZulfaMaganza
    @ZulfaMaganza 4 дні тому +5

    Ongezeni muda vipande viwe virefu jamani khaa

  • @AliceCharo-wz9oz
    @AliceCharo-wz9oz 4 дні тому +8

    Nimewahi leo😂😂team oman tunaotazama hku tunakula cha mchna tujuane

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 4 дні тому +8

    Na mm naomba like nimekuwa wapili leo❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AnastaziaKimaro
    @AnastaziaKimaro 4 дні тому +12

    Candy asije kumshawishi batuli kufanya mabaya jaman uwiiiii nitamwambia ngonde amloge....😂😂

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 4 дні тому +2

      Huyu batuli anaweza kua ni Mungu amemleta mapema ili Candy akipanga house girl wake wa mchongo awe ashakosa nafasi😂😂😂

    • @riziki6863
      @riziki6863 4 дні тому

      Hata mm nashuku Ivo huyu batul wamemueka kuzuia Candy ila acha tuone@@نيجي-ن1د

    • @AnestaDerickius
      @AnestaDerickius 4 дні тому +1

      Tumwambie b zuu

    • @AnastaziaKimaro
      @AnastaziaKimaro 4 дні тому

      @@نيجي-ن1د kwa kweli ila Sasa candy ashindwi jambo anaweza kumshawishi na maneno kuntu batuli akaingia mkenge

    • @AnastaziaKimaro
      @AnastaziaKimaro 4 дні тому

      @@AnestaDerickius hahahahahah Kwa kweli bi zuu fanya jambo mapema, mtu mzima dawa na unaona mbali

  • @user-dp3fv2kh4l
    @user-dp3fv2kh4l 4 дні тому +4

    Wee kilamba huyo mpumbavu mwenzako yuko wapi toka nianze kufatilia hii movie sijawahi kukuona peke yako mahali bila mpumbavu mwenzako❤❤❤🎉🎉

    • @christinewanga7385
      @christinewanga7385 4 дні тому

      😂😂😂✅

    • @user-ii3rb6uj7g
      @user-ii3rb6uj7g 4 дні тому +1

      𝐀𝐦𝐞𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐭𝐚 𝐬𝐮𝐫𝐩𝐫𝐢𝐬𝐞 𝐳𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐞𝐩𝐢𝐬𝐨𝐝𝐞 𝐲𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐟𝐢𝐤

  • @hamisichau8975
    @hamisichau8975 4 дні тому +3

    Wanaoamini kwamba batuli amekuja kuvuruga mahusiano ya kai na zuu weka like hapa

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 4 дні тому +3

    Zuu nakushauri umwambie bibi akutabirie hyu da ni mtu mzuri ama la ❤❤ 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

    • @Fatuma-x7j
      @Fatuma-x7j 4 дні тому

      Kama hakuja kwa uzuri bibi atajua hata asipo ambiwa

  • @EsterVuriva-bl6mb
    @EsterVuriva-bl6mb 4 дні тому +3

    Mnataka zuu ajiwekeje mnaosema hajiweki vizuri mlishaona mjamzito akawa smart Jmni mmh na yupo nyumbn haendai Kazini apake wanja naavae koko Au avae sendo na mini akae na laptano

  • @Janetyz-j4u
    @Janetyz-j4u 4 дні тому +2

    Zuuu nowadays anapendeza dah❣️🥰🥰

  • @Pili-n3l
    @Pili-n3l 4 дні тому +11

    Naomba like

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 4 дні тому +2

    😂😂😂nakukubali Sana kilamba🎉🎉 ila naiman mipango ya baturi itagonga mwamba ataambulia aibu apo

  • @bongoswahiliplus
    @bongoswahiliplus 4 дні тому +10

    Alikunyanganya simu😂😂😂

  • @DokasiaLugenza
    @DokasiaLugenza 4 дні тому +1

    Team ya candy mpo
    😅😅😅😅😅😅

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 4 дні тому +3

    Waomba like siwapi ila wanao comment kuhusu nchezo unavyo kwenda ndio nawapea like❤❤❤❤❤❤❤❤ maana hawanifanyi kuchoka kusoma comment zao

    • @user-ii3rb6uj7g
      @user-ii3rb6uj7g 4 дні тому

      𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐦 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐜𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐥𝐢𝐤𝐞 𝐮𝐭𝐚𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐭𝐮𝐮😊

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 4 дні тому +3

    batuli katumwa na bos wa kai 😂😂😂😂😂😂😂lakn hawatofanikiwa

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 4 дні тому +3

    Jamani bibi aonyeshwe kuhusu uyu batuli asije kuwa katumwa jamani😢😢kuaribu furaha ya zuu sitapenda kabisaa

  • @user-iv4sv9lv3z
    @user-iv4sv9lv3z 4 дні тому +10

    Zuu mbn nahisi Kam kitakuramba Kam unakubaliana na mm like hapa😂😂

    • @NeemaMariana
      @NeemaMariana 4 дні тому +1

      Umesahau kama bibi zuu yupo 😁😁😁 atatabiri chapu

  • @PriscalMummy
    @PriscalMummy 4 дні тому +5

    Leo nimewahi mapema Leo ❤❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪 nawapenda nyote 😊

  • @Idmmuedacente
    @Idmmuedacente 4 дні тому +5

    Dah hongera sana muzee mbarikiwwe na Bwana ❤❤❤❤🎉

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 4 дні тому +4

    Huyo batuli inawezekana kabisaa katumwa na candy haiwezekani apite mageti yote aje agonge hapo hivo zuu kuwa makini sana katika hilo...

  • @ShakilaHassan-q7u
    @ShakilaHassan-q7u 4 дні тому +3

    We zuu acha huruma zako z kishoga ngoja akuchukulie mume ama akuharibie nyumba umbwa ww zuuu nakuchukia kwa huruma zko z kishoga nkt! Umenithi sana 😭😭😭😭

  • @AjuwayeTano
    @AjuwayeTano 4 дні тому +6

    Naomb hata like tano to

  • @JaphetBetham-ib6xo
    @JaphetBetham-ib6xo 4 дні тому +5

    Duu kwa leo nimejitaid.!! San

  • @emilianaammy-lo9nt
    @emilianaammy-lo9nt 4 дні тому +3

    Uyu Batuli,,,,, jmn familia ya Kai kuweni nae makini

  • @DanielMwasha
    @DanielMwasha 4 дні тому +8

    Jamani wakwanza mimi hakuna Ubishi leo nimecoment ikiwa second 5

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 4 дні тому +5

    Mm apa ni wakwanza 😂😂naombeni like na musiniulize like km nauza😂😂

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 4 дні тому +8

    Wow nimewahi Leo 🎉🎉🎉

  • @aishamahiza
    @aishamahiza 4 дні тому +4

    Huyu batuli huyu zuu awe makini tu jaman😢😢

  • @user-qj9sn5ge3b
    @user-qj9sn5ge3b 4 дні тому +3

    Ah jmn nhis km ni sison ya khindi haiishi😂😂😂

  • @AgnessDama
    @AgnessDama 4 дні тому +3

    Candy anashka pua alielie kumchanganya kiramba ukwaju😂😂😂😢

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 4 дні тому +1

    Wadau wenzangu tusijali tupokeni batuli kwa kiroho safi lkn tujiamin kwamba bibi zuu yup pamoja na ss zuu usijlai bibi yup pmoja na ww kiramba mchuzi kampenda mshangazi batuli

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 4 дні тому +8

    😂😂😂 Sasa huyu kilamba upwaju yan unaongea na sim na vitendo😂😂😂 na mtu hakuon

  • @EzekielKyara-i1x
    @EzekielKyara-i1x 4 дні тому +1

    Ngonde kimamula anawamaliza tu. Shenzi😂😮

  • @RizikiStadza
    @RizikiStadza 4 дні тому +2

    Nimekua wakwanza Leo ila siombi like zenu nikuwatakia ijumaa njema kwa waislamu wenzangu na wale wa church pia msijali nawasalimu kwa jila la yesu na muwe na siku yenye mafanikio

  • @KhadijaMdee
    @KhadijaMdee 4 дні тому +10

    Gonga like tujuane

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 4 дні тому +1

    Sina Imani na batuli zuu kuwa makini ila hawezi kuharibu ujauzito wa zuu mizimu inslinda huo ujauzito 😊

  • @ZuensNamara-ih2mi
    @ZuensNamara-ih2mi 4 дні тому +1

    Nais katumwa na boss Ake Kai

  • @user-iv6yx5ot6f
    @user-iv6yx5ot6f 4 дні тому +1

    Yani batuli kama umetumwa nakendi umegonga mwamba hapo siku utakapo kutana nabibi ndo utajuta

  • @valentinembwika2321
    @valentinembwika2321 4 дні тому +8

    Wakwanza nipeni like

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 3 години тому +1

    Kama unaamini batuli amekuja kuharibu gonga like ukisonga

  • @taimmy245
    @taimmy245 4 дні тому +6

    Kwan mwaishi humu😂😂😂

  • @ToshaMwema
    @ToshaMwema 4 дні тому +2

    Movie nzuri fanyeni mmalize tunataka zingine muvi toka busat samahani

  • @MwajumaOnesmo
    @MwajumaOnesmo 4 дні тому +1

    Nyie chisa kaota nini uko chini😂

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 4 дні тому +3

    Ushauri wangu mtafute mganga mwingine wawe wawili mmoja mkali sana mwingi wakawaida ili kushindanisha nguvu zao na wanacheza kipande cha kwenda kwa wanganga wawe wana waganga tofauti huyu akilogwa huyu ana mtibu au bibi zuu asime kipande cha kusaidi na watu wanao longwa isiwe ana saidia tu family yake

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 4 дні тому +4

    😢😢😢😢huyu batuli katumwa na candy maana story yake sielewi

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 4 дні тому +4

    Tunaoamini huyu dada wa kaz katumwa na cand gonga like hapa

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 4 дні тому +8

    Leo wikendi imenda vizuri sasa

  • @GreatestSwordsman
    @GreatestSwordsman 4 дні тому +8

    Rahma kwa mganga tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona candy aliwaroga kila kukicha masaibu

    • @JescaYusuph-m4y
      @JescaYusuph-m4y 4 дні тому

      Hahaaaaaaaa kidume cha mbegu kimekatwa kisu na rahma nan kamuona chisa jaman buku na mia mbili imekatwa wooooiiii😂😂😂😂😂😂😂

  • @AvillaKabunga
    @AvillaKabunga День тому +1

    Hakuna litakakotokea Kuna bibi yetu so tusiogopeee Kam una Iman likee