@@FelistersMejumaa-xi2ge so what? Watu bado maskini wizi , stop those pompousity that has no any merits, haya Leo munaenda China to take loan kwa president ambaye hajasoma kama wenyu Africans mko navituko sana
@@FahadAbubakari-y3f It's hurt you so much,, I'm sorry, but that's the way Kenyans are, we are top no matter what,, you may want to deny it, but the truth is that Kenya is at a high level
Elimu ya kweli haipo kwenye vyeti Bali katika matendo,hakuna rais bora kuliko Ibrahimu traoré maana ndo rais bora Africa nzima ,kagame ni muuwaji ba kibaraka wa wazungu elimu yake haina maana
😂😂 ivi global mumekunywa nini kweli 😂😂 kagame hakusoma ata high school haijulikani kama aliimaliza degree alizonazo ni degree za heshima sio kwamba alizisomeya so kama mumekosa habari musianze kudanganya watu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Na mtoe taarifa ya Marais vilaza barani Africa
Mwee poleni wandishi
Raisi yeyeto atokae kenya awe Ruto ama walio pita hapa Africa yote kenya mashallah inaongoza kwa elimu big up my president🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘😘
Hiyo elimu imesaidia nini sasa? Ruto has been so worse ni mkora na corrupt,
@@FahadAbubakari-y3f Haija saidia kitu but kumbuka hapo Africa yote Kenya's president they are leading kwa elimu ya juu
@@FelistersMejumaa-xi2ge so what? Watu bado maskini wizi , stop those pompousity that has no any merits, haya Leo munaenda China to take loan kwa president ambaye hajasoma kama wenyu Africans mko navituko sana
@@FelistersMejumaa-xi2ge elimu ni results n reflections of intellectual actions Leo Kuna kipi out of hizo .
@@FahadAbubakari-y3f It's hurt you so much,, I'm sorry, but that's the way Kenyans are, we are top no matter what,, you may want to deny it, but the truth is that Kenya is at a high level
Luto mamalao haitendei haki kenya kwahiyo mamalao
Wasomi ni wezi tu