Nadhani mahajackiliza vizuri babu akimuelezea bibi zuu Hy Belinda tokea baba ake afe akakata mguu Yani kwa kifupi ametengana na familia yupo kivyake vyake na hata kwenye harusi ya zuu hakuwepo ndo maana hamjui shemeji yake jamani cjui mmenielewa
Bibi zuu kajuwa kumtishia kilamba jicho tu😅😅Kai umeumia sna pole 😅belina kashaleta vitio kwenye familia ya bibi zuu😅😅candy mmke bob Marley 😅nicheke kwa sautiiii😅😅😅
Mungu azidi kumbariki na kumpa kila lenye kheriii mwenye ata like na kusoma comment hii 😍😍
Nataman bibi zuuu awe bibi yang.amnyooshe upaea😂😂😂😂
Hapo bibi inabidi ajiunge na mpango wa kai na kiramba maana aliefanya mabaya ni mjukuu wake cjui atahukumu VIP inabid ajiunge nao😂
Lewo nataka like mwenye anaecukiya tabia za kendy anipe like nawapenda sana❤❤❤
Leo imerushwa tu nikaidaka like zangu jaman japo 3 sijawai pat😢
Natamani nilike mara mia
Wee kiramba jamani unatuvunja mbavu😅😅😅😅😅
Kumeaza kuchangamka busat🤝tuko pamoja mpaka kendy azae mtoto wa muun kama una kubali gonga like🎉🎉🎉
😂😂😂
😂😂😂
Kumependeza wallah
Hafu mtoto atafanana na bobumali
Kabsa
😊😊😊 Candy big up yani unakipaji kikubwa saana kwenye hi filam wewe ndiye unae nifuraisha na séné zako
Wale free WiFi pita hapa huku tunapika huku tupo na candy 😂😂😂
Humu ty
Hatucheki na wowote ni humu tuuuuu🥰🥰
Tupo weng tu mda wote online
Yan tupo tele 😂😂😂😂😂😂hatukosi dear
@priscakimburi-sl9ml tunajifariji na baridi la oman
Jmn tunasubiri next ep mpk sio vizuri hee
Haya kendi baba chrish anakuja na barua ya posa jitayarishe😂😂
Zuu jieke smart bn umeigiz mke wa mtu voh apo si dada wa kz tena
Wa kwanza jamen team strong 💪 mapema ndio best
Belinda ndio mwenye makosa coz alichukuliwa advantage ya ulevi wa kai ndio akautumia sasa yy ndiye msababishi.
Candy kazi unayo🙌🙌bibi zuu hongera 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
yaani team strong nawaona mmejificha kwa hamam mkiwatch hamfanyi shugul nyinyi pitieni apa
Nyooo tujifiche hammamu vipi
Nimo... pamoja sana
Candy 😂😂😂😂😂jameni mara zengine wanifurahisha,
Bi zuu ninakuomba usiseme ukweli utaalibu ndoa ya mjukuu wako
Kifundo kiliacha mguu😂😂😂😂😂we kibwengo sana
Kilamba utaniua mbavu ati nani kakukazia macho😂😂😂
Kwakiokoa ndoa ya ziri inabidi nimkubari kiramba❤❤❤
😂🤣🤣🤣naomba bibi atoe siri yote,alf nimemiss damasosi na kisa sana
Kai acha tabia mbya bb ameshajua
Kodi imeisha mala kod yako ikiisha mama mwenye nyumba
Kiramba, WWE unafaa kuitwa chiriku😊
Sania cheka tena
😂😂😂uyu kiramba namupenda kweri❤
Sania unanifurahisha kwa kicheko chako kwa candy🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂umeumia sana sana sana
😂😂😂😂😂😂😂kilamba ukwaju loo kazi unayo na bibi
Dadazanguni na omba like tafasalini
Ko hutaki za wakaka😂
Hio apo
😂😂
Hapa kwa zuu na belina kuna mafunzo makubwa sana nahivi dunia ndivyo inavyokwenda familia zimetupana sana haya ndio madhara yake ndungu kuowana
Alhamdulillah Leo nime rauka
Kendi akubali tu babake bobu marley😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mme notice hii season 4ndio tamu kushinda zote🎉🎉🎉
Kazi zuri naulisa dasosi Bado kujifunga
Candy na ujizi wake wakubebana na mawe kanifurahisha😂😂😂
Duh kumeanza kuchangamka xax mvua inanyexha na panapovuja tunapajua mnachelewexha xku hz😂
Nimewai❤
Uyo kai❤😂 mwenyew anashaangaa kwa uongo wk kilamb
Penzi jipya town candy and pweza😂😂😂😂,yetu macho
Na bibi hongera kwa kutunza ndoa ya mujukuu wako
😂😂😂😂😂😂😂 candy jaman babake yuafukuzwa na jiwe 😂😂😂😂😂😂
Halafu Sania nakupenda dadangu❤
Punguza ndombolo ya solo 😅😅😅😅kakula chuvi😢😢😢
busat hamuelewek kabis muvi dk ni chache maongez ni mengi af mbn hatumuon yule mke mwenzake na rahma japo jina limenitoka
Masoz
Kiramba hd nimejamba kwa kicheko😂😂😂😂😂
Kilamba bhana saanaaa😅😅😂
Kilamba wewe hujui bibi anaujua ukweli ila Sema tuu hapo hana chakuongea 😅😅😅😅
Jaman kwan huyo mtoto wa zuri amekua wakuachwa ndan peke yake jaman😂😂
Hii noma pamechangamka kweli jmn
Kilamba unajua kuwapanga🤣🤣🤣🤣
Kramba bb zuu anawaangalia tu ww Na Kai wako na uongo wenu huo😂😂😂😂
Wa kwanza leo naombeni like candy atakubali tuu kama mimba si ya kai
😂😂mm nampenda Sania sana 😂vile kanamenjoy SHOGAKE KADY 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 umeonaa eeh
ILA kiramba jamani ety Sana sana😂😂😂😂😂
Jaman mqmq kija kendy hutaki mboga za majani😀😀
❤❤❤❤ wa pili
Candy bwanaaa hahahaaa kaiiiii aibu naona mimi bibi zuu asante mungu akuweke bibi yangu🤲❤️❤️❤️🤣🤣🤣
Shida fanya ujifunguwe 😂😂😂😂
Kilamba we nimaaaaa😅😅😅
Nawapenda sana
Yanikilamba umenifurahish kaz nzur ❤❤❤
yaani wataumbuka hawa😂😂😂😂😂😂
Kirambaaaa bwana😅😅😅😅😅
Kilamba umekwishaaaa 😂😂😂😂
Na mm leo nimewahi🎉❤❤
Kazi nzur
Tulio Cheka n Sania muwe n Aman 😂
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣kilamba jamni kaumia sana ulikuepo ama chocha tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nachelewesha sana movie yetu
Nice movie 🎥❤❤❤
Kendy jamn ana vituko uyu dada 😅😅😅
Amina tena pesa mbona mu me kawuya ku tocha movis
Batazali nakuombea usahau kua unaumwa uanze kutembea vizuri aibu ikupate vizuri 😅😅
😂😂😂😂😂 mbavu zang mm jmn kiramb leo kitakuramb vizur umemsahau bib zuu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂kilamba kilamba hebu Tulia mana kila kitu bibi amechakijuwa
😂😂😂😂kilamba mbatazali tena
Ila khai 😂😂😂😂😂
Nawapenda sana busti tv mungu awabariki kwakaziyenu
Bibi hongera sana + candy wewe unanichekesha sana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂❤❤❤❤kiramba bwana acha ukorofi bas umenichekesha. Sana😂😂😂😂
Leo nimekuwa wa kumi na tatu nipeni like Zang jamanii
Jamahkumaennga❤❤❤😂😂
Jaman cendi ndo baba clish uto
Mmh jaman sasa mdgo mtu kaolewa halafu dada asimjue shemeji yake kweli kwaiyo zuu na belinda ni ndugu mama krish na baba krish wana hekaheka 😂😂😂😂😂
Wanatuvuruga
Belina sio shemeji ya dadake Zuu
Wapo wanaoishi hwajuani na ndugu zao adi matukio kama haya yatokee hii ndo dunia yetu sasa
Nadhani mahajackiliza vizuri babu akimuelezea bibi zuu Hy Belinda tokea baba ake afe akakata mguu Yani kwa kifupi ametengana na familia yupo kivyake vyake na hata kwenye harusi ya zuu hakuwepo ndo maana hamjui shemeji yake jamani cjui mmenielewa
@fatumazakalia-yx4kg sawa hatukatai na majina ya ndugu zake hayajui
Kilamba jamani mpaka nimecheka moakabmbavu zinauma
Kai amejua bibi zuu kajua ukweli
Hivi uongo wao kilamba na khai utafua ndavu kweli kwa bibi ya zuu kweli
Wakwanza mm Leo nipeni like zangu ❤❤❤
Canby unani furahisha😂😂😂😂
Candy Leo umenifurahisha unajua mpaka unajua tena
Zuu nae unatuangusha mwaya c uvae smart na utengeneze nywele 😅
Huku kumenoga jaman mkuje
Kwakweli mwanaume ni myama yani uyu ni Kai Leo anatembea ivio na anajua anaogopea 😂😂
Wakwanza leo🎉🎉
Mnachewesha sana movie yetu kutoka plz toeni kwa wakati
Bibi zuu kajuwa kumtishia kilamba jicho tu😅😅Kai umeumia sna pole 😅belina kashaleta vitio kwenye familia ya bibi zuu😅😅candy mmke bob Marley 😅nicheke kwa sautiiii😅😅😅
Wawooooo Bibi Zuu
Jmn njooeni kumechangamka uku