Vingezo gani na sheria kuwapa uraia vp wale tuosema wamiaji haramu ndungu zetu wa Ethiopia 🇪🇹 nao wapewe uraia tena kwao kuna vita na shida kuliko mlio wapa
Simba ndio timu ya kwanza kufanya haya.. kama hujui tulimuombea uraia kibu denis na akapewa tokea 2020.. hao singida ndio walioiga.. kama hujui historia uliza sio kukurupuka..
@@SalvatoryMtunga halaf skia Simba hatujatangaza Wala kutamka popote kuwa tunataka kuwaombea wachezaji wetu uraia.. wewe na huyu mwandishi alitetumia jina la Simba kuuza habari yake wote hamna akili
Safi sana na karibuni sana Tanzania
Nimepemda sana hiyo , lete vipaji ongera sana wote mliopenda nchi yetu Tanzania
Safiii sana
Hii ndio Ubaya Ubwela, weka tuweke toa wembe wenbe nitowe shoka😅😅😅😅😅
Mnacheza na serikali, Wacha yawakute.. vimbelembele.. kwani kib si mkongo, wakati anapewa uraia nani aliiga
Wamuombee na Morrison
mm nataka pakome aziz na Diara
Vingezo gani na sheria kuwapa uraia vp wale tuosema wamiaji haramu ndungu zetu wa Ethiopia 🇪🇹 nao wapewe uraia tena kwao kuna vita na shida kuliko mlio wapa
Hujui kitu we ! Soma kwanza sheria za nchi na za kimataifa
@ zinasemaje
Wa Ethiopia sisi sio ndugu zao, kwa mujibu wao wenyewe wanavyodai,
Timu ya taifa itapatikana kwa ajili ya Chan na afcon
Wakati mnawaombea uraia tayari singida bs wameshakamilisha masuala hayo. Hivyo simba mmeiga kwa singida bs.
Simba ndio timu ya kwanza kufanya haya.. kama hujui tulimuombea uraia kibu denis na akapewa tokea 2020.. hao singida ndio walioiga.. kama hujui historia uliza sio kukurupuka..
Hakuna ubaya tukiiga bro😅😅😅😅😅😅😅😅
Kaige na wew sasa😂 uwe ata mrundi😂😂
@@SalvatoryMtunga halaf skia Simba hatujatangaza Wala kutamka popote kuwa tunataka kuwaombea wachezaji wetu uraia.. wewe na huyu mwandishi alitetumia jina la Simba kuuza habari yake wote hamna akili
Kwani singida walipoomba barua yao iliwekwa mtandaoni?
Yanga nao watakuja😅
Yanga na singida ni baba na mama mmoja
Heeeee live
"UBAYA UBWELA"
Asente mnyama omba omba wamelianzishaa na sisi tunaiga
Wakati kib anapewa uraia nani aliongea
Wakati Kibu anapewa uraia hakuna hata timu Moja iliyoiga, Simba acha uzumbukuku.
Kibu kazaliwa na kakulia tz ispokua wazazi wake walitokea uko nje hii imekua yatofauti wewe inawezakua zumbukuku usijue siasa za soka
Alipewa uraia na tff na wara sisi hatukumuombea uraia wara kibu hakuomba uraia 😂
Sisi tulijua kibu ni mtanzania na alikulia kigoma na alicheza mbeya city mda mref tu
Acha mihemko wewe,Kibu ameishi Tz kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 10 tofauti na hao wengine ambao hata mwaka mmoja hawajafika..
@NkondokayaJoe kibu sio kuishi kazakiwa tz ispokua wazazi wake ndo walitoka huko ugenini
Naomba kuuliza kwan kibu alitokea nchii ngani
Ni mkongomani