SIRI YA MOYO season 5
Вставка
- Опубліковано 9 чер 2021
- #AmazonPrimeVideo #officialtraler #shershaahonprime #Wasafimedia #diamondplatnumz ##iyo #bongoflavour #bongomovie #newsong2021 #newfilm2021 #newtanzaniafilm #mkojani #napendamadem #kutombana #kufilana #kubakana #kigodoro #baikoko #ontrending #manara #simbanayanga #miladayo #globaltv #harmonize #official video #amapiano #americangot'stalent #netflix #sonyfilm #wmbfilm2021 #comingtoamerica #Musicworldwid #mkojani #alikiba #videocover
Kaz mzuri sn asnt sn mkojani na tunu pia brother kiza asnteeeeeee nime ipenda sn tn sn tuu
Uyoooo jamaa kizaaa hatoboi ni domo zegeee ilaaa best akeee mkaliii knomaaa kwenyee relation na mkojaniiii mhhhhhhhhhh punguza mbwembwe
Kazi nzuri sana hongereni
Asanta sana kwagitendo hiki!
Mashaallah muko vizuri iendelee
Kitu nimekielewa sana
Nakubali kaz
Ok mnatisha sana njaman
Tunu kaganda kma kupe😃😃😃
Safi sana kumbe wahenga husema kweli ukichelewa utakuta Mwana si wako
😂😂😂😂😂😂 kiiza hakutoboa
Waaaah imeniliza hii move but inamafunzo💖💖💖🙏🏼🥲
Nimeipenda kinyama mkojani lete ingine we mnyama Sana 🤝🔥 pamoja 🤝💯🔥 thanks
Waoh imeisha vizur stor imetulia..honger washiriki
Uyooo jamaa akeee kizaaa mkalii knomaaa kwenyee mahusiano ila kizaaa work done is equal to zero na ni movie kaliiii knomaaaa nomaaa
Kazi safi
Motooooo umewakaaaaa hiiii hapa
Kwann hamjaendeleza maana ni 🔥🔥🔥
❤🎉
Daah inagusa hisia sanaa,hongereni sanaaa kazi nZurii sanaaaa💪🏽💪🏽
Dah asee nakubali
Ikoapi nyigin
Kazi mzuri hongera sana🥰🥰kiza you done it well🔥
Hii kali sana imefika mpaka kwetu uku msumbiji
Ipo njema
sio siri mume weza tunu na kiza muko vzrii stry nzurii inagusa hisia myc work
Mbon imeisha mapema nataka part 5
Interested
Kaz nzur sana
Hongereni kwa kazi nzuri sana ♨️
Safi sana kazi nzuri
I like kali sanaaa
Kiza domo zege 😂😂😂
Mwendelezo jamani
Makapu alitaka mwenzake akose tunu
🔥🔥🔥
Bonge la kazi
Hakuna sehem ya 6 jomn
Waoohhhh nmepnda tunu kukutan n kizaa💞
Baby
@@masudaddycome niambie bby
Ngonya humiza matumbo ukisema wasubiri live mwenziwo ana kula kwa chunvi
Saf tunu karud kw kizaa
@@selemaniemanuel7591 mm pia nmefurahi Sanaa
kimeng'atana
Vita ni vita muula KAZI nyingine yaja
Aliekiona kicheko cha makapu mwisho tuungane kwa like
Poa sana
Bombocrat
12:12😥😥
Thanks
Kimeunana toeni nyingine mnajua sana
Samahani nauliza kwann huyu director anaitwa ngozi,, kajikwaa au hajatiwa sunna?
Hajatailiwa🤣🤣🤣
@@salmaansalafy7183 sio gozi ni ngozi tofautisha kati ya ngozi na gozi
@@waziriadam6481 ngozi ninini na gozi ninini? Mm sijui kutofautisha
Thank for given us good things god bless
Nakubali kaz
❤🎉