DIAMOND ALIVYO MSUPRISE ZUCHU KWA ZAWADI YA GARI/ MACHOZI YA FURAHA YA MTOKA/ ASHINDWA KUJIZUIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 781

  • @sabrinasbrn561
    @sabrinasbrn561 4 роки тому +18

    Zuchuuuu my love, I’m very proud of you. Unalia mpak na mm natokwa namajozi wallah......Daimond may Allah bless you more

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 роки тому +11

    Baraka za mama zimepokelewa Inshallah Mungu akupe maisha marefu uwasaidi na wengineo

  • @marycleo7165
    @marycleo7165 4 роки тому +15

    Blessings 🙏 diamond may almighty God bless you and your family,wcb and continue with the same spirit of empowering the youth aki kweli nimelia kwa furaha Sana Mungu akuzidishie milele

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 4 роки тому +51

    OMG! Diamond Platnumz and WCB Wasafi... you are the best thing that has ever happened in the African music industry, may God bless you always 🦁🙏🔥🌍🔥

  • @mrjq5044
    @mrjq5044 4 роки тому +78

    Zuchu seems to have come from a humbled background that's why she seems to pour tears of joy wen great things happen to her ,,big up zuchu

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 4 роки тому +12

    woow congrat zuchu u deserve it.from 254..... jah bless yaa

  • @yuleboemsafi3552
    @yuleboemsafi3552 4 роки тому +85

    CEO diamond mungu akuzidishie

    • @yuleboemsafi3552
      @yuleboemsafi3552 4 роки тому +2

      🙏

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Sinuoney choyo kwagar wala Mali ya muziki wao huo najikubali umaskini wangu pesa yakumsaliti muungu na dini yake namuoneya huruma pesa hiyo hawezi kwenda kuhiji

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Yanakuwa yakubslika kidini
      Hiyo pesa Yao diamond mama engeenda kama znz na dar kwasiku mara mbili
      Lakini wapii hainampango hiyoo hela zambi tupu

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 роки тому

      Hawezi kuhiji ale akinya tuu

    • @pesilinakilanda8716
      @pesilinakilanda8716 4 роки тому

      @@hidayabakar7026 usihukumu huwezi juwa Mungu kapanga nn

  • @kabilamalasy9964
    @kabilamalasy9964 4 роки тому +47

    Speech moja makini sana in my career... God bless u mum

  • @zainabrashid3247
    @zainabrashid3247 4 роки тому +3

    Ma shallah ongera Sana diamond mungu akupe nguvu daima na akuwekee Imani yako

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 4 роки тому +17

    Safii Saana Simbaaaaa 🦁 diamond Platnumz daah! Umenifurahisha sn kwa kumzawadia Zuchu Gari zuri.... Mwenyezi Mungu akubariki sn Ww na Maisha yako kwa Ujumla Uzidi kufanikiwa...

  • @sarahflorence1112
    @sarahflorence1112 4 роки тому +2

    Hakika Mondi Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki uweze kuendelea kuwainua vijana..hakika umefanya kazi kubwa na nzuri

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 4 роки тому +14

    Wow mashaAllah diamond anamoyo wakutoa...mkono sio wote jamani ...

  • @barakahkeysome6918
    @barakahkeysome6918 4 роки тому +17

    So heart touching, really emitional kwakwel, , Allah atupe mioyo yakusaidia tnapoweza Amiin🙏😭😭

  • @brotherbenson7912
    @brotherbenson7912 4 роки тому +4

    Diamond platinums my almighty father reward you abundantly ,keep changing the lives of people

  • @wayuaannastacia9657
    @wayuaannastacia9657 3 роки тому +4

    I shed tears as if am the one been given the vehicle.. Much love from Kenya😍 big up naseeb

    • @Kariminjagi07
      @Kariminjagi07 2 роки тому

      Me too..am crying tears of joy😀😀😀

  • @zaitunkeji5990
    @zaitunkeji5990 4 роки тому +19

    Now I know her mother. She a lovliy lady I like her. She said it in the video that she was happy to see her Duogher singing in superwoman video.

  • @terknuldin3061
    @terknuldin3061 3 роки тому +1

    Thank so much diamond am Tackie Nuldin from Uganda in Uganda artiste like u are very very few

  • @aminabakarimkopi8962
    @aminabakarimkopi8962 4 роки тому +3

    Mungu atakulipa Diamond inshaalah atakulipa mara mbili

  • @jacklinemwendewambua6756
    @jacklinemwendewambua6756 4 роки тому +3

    Mody my brother nakumbuka nikiwa shule primary 2010 nilitamani ipo siku nitakuja kutana na ww may almighty GOD bless you forever

  • @teimohamed7826
    @teimohamed7826 4 роки тому +51

    Omy wewe ulikuwa na kipaji kikubwa kilikuwa kinahitaji big push na leo ndio tumeona nn haswa ulitaka kifanyike Tanzania umetisha sana mzee baba

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому +4

    I magn machozi yamenitoke aki am so happy for her..Mashallah zuch😙😚😚😙😙

  • @georgehwgai562
    @georgehwgai562 4 роки тому +17

    we love diamond for his kindness, love from Sudan

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +8

    Nmekupenda sana mama umeongeaaa vizir Kwa mondi 😍😍

  • @Kariminjagi07
    @Kariminjagi07 2 роки тому +3

    Diamond knows how to say thanks akhii..zuchu has really stood with him in his music career..that's what friends are for

  • @norahmakrean525
    @norahmakrean525 3 роки тому +1

    Hongera sana diamond kwa roho ya kutoa Mungu azidi kukubariki

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 4 роки тому +4

    So beautiful and lovely diamond God bless you ❤️❤️❤️

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 4 роки тому +1

    Diamond Ntakushabikia mpka utakapo kufa love you So much Una moyo wa Busala sana Mungu akuzidishie

  • @ruthluyobya186
    @ruthluyobya186 4 роки тому +8

    Zuchu Congratulations, u made it.Diomond Be Blessed.

  • @ngalomc397
    @ngalomc397 4 роки тому +1

    Na mimi nimelia aisee mungu akubalik diamond

  • @CallmeFaithFaith
    @CallmeFaithFaith 4 роки тому +4

    Congrats Zuchu just continue to be humble and don’t be fake be realistic and whatever you do never forget people who helped you before and involve God in everything you do one more last thing never mix work with love,luxury or friends

  • @jescakahangwa5224
    @jescakahangwa5224 4 роки тому +4

    Jamani Mond wewe niwatofauti sana. Mungu azidi kukutunza upo les faida ya wengi, naamini iko siku nami utanitoa Barikiwa.

    • @stevenapolo4163
      @stevenapolo4163 2 роки тому

      Watofauti wapi wakati analipwa haki take zuchu, bila k angepewa gari.

  • @houseoftastebynaisy
    @houseoftastebynaisy 4 роки тому +7

    Tazanians are picking up on shows like music big up. Your neighbor🇰🇪

  • @hadassaifete9945
    @hadassaifete9945 3 роки тому

    Mungu habariki Daimond 🥰🥰🥰🥰🥰✌️✌️✌️✌️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 4 роки тому +1

    Hongera zuchu na Diamond kwa moyo wako Mungu akuzidishie

  • @erichfriday144
    @erichfriday144 3 роки тому +1

    Kwer mond dash ni mtu amizing

  • @kipitomkokoya4779
    @kipitomkokoya4779 4 роки тому +2

    this is simbaaaaa 🦁🦁🦁🦁🦁👏👏👏👏👏 kweli simba baba lao

  • @jamessumuni1364
    @jamessumuni1364 4 роки тому +1

    Daimond hongera kwa kuzidi kusupport vijana na kuipa sifa Tz kufahamika duniani kote.

  • @julietwatila8781
    @julietwatila8781 4 роки тому +46

    Diamond is always humble and down to earth no matter what people say...God bless him abundantly... Na Zuchu utaenda mbali

  • @daughterofziontv530
    @daughterofziontv530 4 роки тому +8

    Aki host wa wasafi napenda mtumie tu Swahili,
    Congratulations baby zuchu congratulations adija kopa,
    Congratulations all team wasafi Diamond God bless you

    • @gka9147
      @gka9147 4 роки тому +2

      Na sisi tunaomba uandike kwa kiswahili tu

    • @fraixcamtembei6809
      @fraixcamtembei6809 4 роки тому

      @@gka9147 saaaaafiiii😂😂😂😂😂

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      Pumbavu wewe usitupangie maisha

  • @marywaithera6443
    @marywaithera6443 2 роки тому +1

    I love you Diamond From Kenya

  • @abnizplatnumz5520
    @abnizplatnumz5520 4 роки тому +119

    Diamondplatnumz ni genious trust me

  • @masumkali3154
    @masumkali3154 4 роки тому +533

    Kama umemkubali diamond kwa alichokifanya gonga like kama zoteeee

  • @kipkiruisigei5450
    @kipkiruisigei5450 4 роки тому +12

    Surely diamond you've a big heart, may jah grant you a wife then

  • @esheahmed2201
    @esheahmed2201 4 роки тому +10

    Always ilove nasibu coz he have a good heart

  • @reycollection270
    @reycollection270 4 роки тому +8

    Waoooh my Diamond,keep it up..always.

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 4 роки тому +1

    Lily Ommy leo yuko na vibe sana #Tambweeee #wcb4life from USA

  • @ngagishow2614
    @ngagishow2614 2 роки тому +1

    Kbsa Diamond ni mtoto mzuri sana anaroho nzuri sana.

  • @tutumande1299
    @tutumande1299 4 роки тому +7

    Dan baby mamas say his stingy ...funny part after break-ups..... D we appreciate bosses dat promote der employees da way u do .....never feel bothered by haters words ...much love from Tumwagile sierra .M

  • @hadimaecha7749
    @hadimaecha7749 2 роки тому +1

    Amine ya rabbi mgu nambeni mayesha mema hunu duniyani na akhira insha Allah tanla

  • @fabiyolatylus7025
    @fabiyolatylus7025 4 роки тому +2

    Hata mm nimeliaaaa i loveee youuu zuuuchuuu❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 роки тому +1

    Sina la kusema Ila hii ni kubwa Sana Aiseee 🙏 mungu akuzidishie

  • @cadeaumcgomba7085
    @cadeaumcgomba7085 4 роки тому +1

    May God bless you Mr Diamond platinum for your job we love you so much.

  • @ritanofear4634
    @ritanofear4634 4 роки тому

    Am shading tear of joy....opps not my gift. Much blessings Dangote

  • @mercymuta1942
    @mercymuta1942 Рік тому

    Nibariki na mm Mungu nipate Gari yangu 2023

  • @aishadjumaphones8877
    @aishadjumaphones8877 4 роки тому +5

    Mungu musamehe diamond mazaifu yake.umupe humli mulefu.maana uyukaka yetu.anamoyowakipeke 😭😭🤲🤲🤲🙏🙏👉🇧🇮

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 4 роки тому +4

    MashaAllah! Nifuraha iliyoje ❤❤❤ Wcb 4life✌❤❤

  • @rajabibrahim3600
    @rajabibrahim3600 Рік тому

    Wapendanao. Zuchu. Na. Diamond🕳️💕❤️💖💝💓😘

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 роки тому +12

    Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz

  • @sumaidijeanvalentin1935
    @sumaidijeanvalentin1935 4 роки тому +8

    WCB ni moto fire daaah

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 4 роки тому +2

    Simbaaa baba lao chibu Allah akuongoze zuchu we noma

  • @therealabdulwahab
    @therealabdulwahab 4 роки тому +6

    DIAMOND IS THE LION OF AFRICA

  • @tiffahbby3697
    @tiffahbby3697 4 роки тому +3

    MashaAllah diamond mungu akutangulie inshaaAllah bt usimgeuze mke ukampa wake mtoto mana wee moto wakuotea mbali

  • @jacklinelawrence6093
    @jacklinelawrence6093 4 роки тому +197

    Nalia utafikili ni mimi ndo zuchu😭😭

  • @cathy3842
    @cathy3842 4 роки тому +19

    When God blesses you,learn to bless others too

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 4 роки тому +60

    Mama Ake zuch utashukuru mpaka uone hapatoshi ani tangu umeanza kushukuru nakusikia mpaka saut inakauka
    🤣🤣🤣

  • @mercyslim2043
    @mercyslim2043 2 роки тому +3

    Team Diamond we are here 😂🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Trx-rq6iw
    @Trx-rq6iw 2 роки тому +7

    He made her, for her and him. If there is a r/ship Diamond has invested in, it is this one. He saw the worth in this girl.

  • @AfricaYangu
    @AfricaYangu 4 роки тому +28

    Diamond ni yule boss ambaye kila mfanyakazi anatamani kuwa naye...

  • @adetonahsounkoura8038
    @adetonahsounkoura8038 3 роки тому +1

    Zuchu is à good person
    God bless you

  • @agneslackson7942
    @agneslackson7942 4 роки тому

    Hongera kaka Mondi kwa moyo wenye upendo Mungu akulinde

  • @andreamarysendala8202
    @andreamarysendala8202 4 роки тому +4

    Think about Queen Darleen too because to much gift one side can creat bad feeling to the other side.

  • @kathieake1639
    @kathieake1639 2 роки тому +1

    Diamond n zuchu match well as couple

  • @fabiyolatylus7025
    @fabiyolatylus7025 4 роки тому +1

    Nimeeeeeeeliaaaaaaaaaaaaaaaaa jmniiii this boss ubarikiwe mnoo jmn 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @willynkya
    @willynkya 4 роки тому +1

    Diamond Mungu akubariki sana sana

  • @nansikilovele1424
    @nansikilovele1424 4 роки тому +29

    Ahsante Hadija koppa, maneno mazur,ahsante bi Sandra! Maake nasibu! Ahsante babaake tiffa dailann nillan na nasib jr! Ahsanten w.c.b! Bac nmenaliza maneno yang na

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 4 роки тому +71

    Diamond is generous in everything from children to gifts,gonga kabisa baba

  • @bintiosama752
    @bintiosama752 3 роки тому

    God bless you so much Diamond unawasaidia wasanii

  • @dullahmudy2255
    @dullahmudy2255 4 роки тому +2

    Sure big up mwanangu kumpa mtu gari free in charge ni moyo saanaa..mtoto wa watu kafurahi sasa..platinum hawez feli

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 роки тому

    Amen Mungu akubar sana Diamond🙏

  • @mercydoe6099
    @mercydoe6099 4 роки тому +11

    Diamond ,, I tell you ,, you're the best,,, with all those things you do,,, you're transfixed to God and He will never leave yourside,,, big up simba,,,,,

  • @aisharaymond4399
    @aisharaymond4399 4 роки тому +2

    Can't believe u made me cry zuchu more love crew

  • @millychristophers4643
    @millychristophers4643 4 роки тому

    Wazi Diamond..appreciation iko juu

  • @kingptz8779
    @kingptz8779 4 роки тому

    Hongeraaa sanaaaa zuchu mungu awe pamoja naweeee

  • @eliudymwanamwene4422
    @eliudymwanamwene4422 4 роки тому +35

    Chiibu lakee blees up mwamba utalipwa n Mungu

  • @arounakone3396
    @arounakone3396 2 роки тому +1

    Simba tu es le meilleur ❤

  • @beingwambui729
    @beingwambui729 2 роки тому +1

    The mother spoke words of wisdom.....

  • @bwh7771
    @bwh7771 4 роки тому +82

    Milioni tano tano zenu za kiingilio juzi zimenunua gari mapema tu na mtoto kakabiziwa wcb noma sana kwakweli mondi mtu mbadi

    • @tourismtourism9204
      @tourismtourism9204 4 роки тому +1

      Anafurahi kununuliwa gari na huku ni jasho lake waswahili bahna yeye sasa anajua ni diamond ndio anampenda na amemnunulia gari

    • @esterpaul6314
      @esterpaul6314 4 роки тому +5

      @@tourismtourism9204 hujui kua brand hata ya viewers inatoka wcb

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 4 роки тому +7

      @@tourismtourism9204 wewe Ni mpumbavu. Tufanye unafanya kazi umeajiriwa Ila umefanya kazi kwa bidii ukapewa zawadi kwakua mfanyakazi Bora hiyo inamaanisha hupaswi kushukuru. Je asingempa kabisa?jasho lake kalipwa hiyo nizawadi abayo hakutegemea. Acha kufundisha watu roho mbaya na kiburi.

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 4 роки тому +4

      @@tourismtourism9204 watanzania tumezoa hivyo na nijambo zuri la kumpendeza Mungu kushukuru. Ndio maana tunanunua vitu dukani kwa hela zetu na bado tunasema Asante..

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 4 роки тому +2

      @@LUPPER. umeongea vzr sanaaa

  • @danmack1243
    @danmack1243 4 роки тому

    Nakubali simba 🦁🦁

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 роки тому +11

    Zuchu ni mkristo Amen Amen Tukutane Barabarani Zuchu kwenye Foleni usisahau kwenda Driving school

  • @rahimalewe2835
    @rahimalewe2835 4 роки тому +6

    Ya rabby Na mm nijalie nitimize malengo yangu nifurahi ulimwengu huu nakimbia lkn sijafika😢😢

  • @willypoet119
    @willypoet119 4 роки тому +1

    Kupeana ni moyo sio utajiri, Diamond hajaonyesha utajiri ameonyesha moyo. Binadamu tuige mfano wa huyu kijana mwenzetu. Diamond mwenyezi mungu akubariki

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 4 роки тому

      Ni biashara bro Hakuna bure hapo tangazo kuwavuta mashabiki tu Ila atakatwa Hilo gari..japo Ni vema kumpongeza diamond kwa kujitolea Ila sio bure ukisikia kesho mil600 ujue ndo hizo..

  • @Mtkpol
    @Mtkpol 4 роки тому +17

    This show is amazing❤❤❤❤
    Kenyan love🤞

  • @abdulsaid9612
    @abdulsaid9612 4 роки тому +17

    Joni jooo umeyakosa mambo haya

  • @Ahmed-bx2fu
    @Ahmed-bx2fu 4 роки тому +2

    Amen les invocations d une mère ça touche vraiment au cœur 🇰🇲❤️quelle générosité de diamond( alias Simba )

  • @ISAACLEVIS
    @ISAACLEVIS 3 роки тому

    Wasafi kweli bala dunia hii

  • @emillykarisa3187
    @emillykarisa3187 4 роки тому +1

    Mm nimeona tu huyo chali ametoka pekeake kumhug diamond mpka akaangusha kofia, salute bro you're courageous 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 4 роки тому +128

    Mimi SIHAMI WCB hatakama sitakuja kununua gar . WCB mpka kufa

  • @joharimaulidi9314
    @joharimaulidi9314 4 роки тому

    😭😭😭 kwakeli nimefirahi sana kama ndo mimi zuchu kaka nasbu mungu atakuzudishia mengi kukua na moyo uwouwo

  • @rickfourty3663
    @rickfourty3663 4 роки тому +1

    Well done boss sema mtoto mzur sana huyo anastail bmw bhana

  • @lydiaewers2969
    @lydiaewers2969 4 роки тому +4

    "A star is a star", May God Bless the work of your hands Papa Tee.❤❤❤🇺🇬🇺🇬🇺🇬