Ni tabibu wa karibu; tabibu wa ajabu; na rehema za daima; ni dawa yake njema. Imbeni, malaika, sifa za Yesu Bwana; pweke limetukuka jina lake Yesu Hatufai kuwa hai, wala hatutumai, ila yeye kweli ndiye atupumzishaye. Imbeni, malaika, sifa za Yesu Bwana; pweke limetukuka jina lake Yesu. Dhambi pia na hatia ametuchukulia; Twenendeni na amani hata kwake mbinguni. Huliona tamu jina, la Yesu kristo Bwana, yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa. Kila mume asimame, sifa zake zivume; Wanawake na washike kusifu jina lake. Na vijana wote tena, wampendao sana, waje kwake wawe wake kwa utumishi wake
Ni tabibu wa karibu; tabibu wa ajabu;
na rehema za daima; ni dawa yake njema.
Imbeni, malaika, sifa za Yesu Bwana;
pweke limetukuka jina lake Yesu
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai,
ila yeye kweli ndiye atupumzishaye.
Imbeni, malaika, sifa za Yesu Bwana;
pweke limetukuka jina lake Yesu.
Dhambi pia na hatia ametuchukulia;
Twenendeni na amani hata kwake mbinguni.
Huliona tamu jina, la Yesu kristo Bwana,
yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa.
Kila mume asimame, sifa zake zivume;
Wanawake na washike kusifu jina lake.
Na vijana wote tena, wampendao sana,
waje kwake wawe wake kwa utumishi wake
That's true pia mm naamini yeye nitabibu
Umepakwa mafuta mazuri ya Roho mtakatifu. kwakweli nina hudumiwa sana kupitia huduma hii ya nyimbo za tenzi.Mungu azidikukutumia ubarikiwe.
Kweli kabisa Yesu Ni tabibu wakeli nimemthibitisha.. ubarikiwe mwimbaji kwa sauti nzuri..
May God continue using you i cant help but worship when i listen to you
Barikiwa mtumish Mungu ni tabibu la kweli
Ni kweli ni tabibu wa kweli
Am always blessed from Mombasani KENYA.
Nyimbo zako zinapatikana wapi tofauti na hapa youtube
Mungu ni tabibu wa kweli.barikiwa Sana mtumishi.
I can’t stop listening to this. God bless you Munga.
Amen. Kweli mungu ni tabibu wa ajabu. Barikiwa sana mtumishi munga.
Thanks thanks
A nice song be blessed Munga
Barikiwa 🙏🙏🙏🙏
Ni Jina la yesu pekee, ama pweke?
Ama ni mimi sielewi maana ya pweke bro!
am humbled...🙏🙏
All glory and honour be to God, ni tabibu.
Be blessed Munga for this confort song
Amen
,000000000000..00.00 @@mungaarnoldministries5898
you are blessed Munga..
Amen
Soul Music...
Blessings