Vigezo Vya Kuchagua Rafiki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 182

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 роки тому +13

    Duh! Kwa maelezo haya, mke wangu tu ndo rafiki wa kweli. Maana yeye anafurahi nami nikiwa na furaha, anahuzunika nami nikiwa na huzuni na ananistahi nikoseapo.

  • @boniphacedaud5160
    @boniphacedaud5160 2 роки тому +2

    Bro yes nimekuelewa san juu ya malafiki nimekutanana nachangamoto ya lafiki anaependa kupokea tuu nasio yeye kutoa brother jower Thanks so much

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 роки тому +1

    Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kusikia mafundisho Haya(Zaburi 32:8,Isaya 48:15-18,Warumi 8:26-28.Yehova Rapha, EL-SHADDAI, JEHOVA JIRE & EL-OHIM . JOEL NANAUKA Asante Sana (WAKOLOSAI 4:1-18"11", MWANZO 3:20-24)

  • @abubakarykhalphan381
    @abubakarykhalphan381 3 роки тому +1

    Ahsante nashkuru kwa darasa lako ilakulingana navgezo ulivo viorozesha kwaupandewangu sna rafki kabbisa

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 роки тому

      Ninao wapigaji tu naachana nao

  • @birih8801
    @birih8801 2 роки тому

    Thanks am Kenyan but I have Tanzanian friend of 5yrs of friendship yaani namshkru mungu Kwa ajili yake live long healthy happy life tumetoka mbali na Kwa uwezo wa mungu tutafika mbali

  • @JasmineMilima
    @JasmineMilima 6 місяців тому

    Rafik wa kweli ni baba na mama yangu ndio wenye furaha na maisha yangu 😊

  • @lydiaseventy5509
    @lydiaseventy5509 2 роки тому

    Kwa kweli rafiki yangu ni Mume wangu
    Asante hili somo nzuri sana Ubarikiwe

  • @winniejuma6631
    @winniejuma6631 2 роки тому

    Asee me bado hapo sijapat rafiki msiri ahsante sana Kaka nimeelewa vizir

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 3 роки тому +3

    Maranyingi watu tunaowajua twawachukulia kama marafiki, mwishoe twajakuwaona ni wanafiki, thanks for your class.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому +1

      Ni kweli kabisaa...pamoja sanaaa

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 3 роки тому

    Asante kk uko vizuri mi Bado natafta rafiki Mungu naomba nionyeshe

  • @simawaziri8647
    @simawaziri8647 2 роки тому

    Asante kwa kutufundisha kweli elimu haina mwisho

  • @bakariathumani2488
    @bakariathumani2488 3 роки тому +2

    Duh mie nadhani ninae mmoja tu ambaye pia ni ndugu yangu...

  • @aimeekungwa2701
    @aimeekungwa2701 3 роки тому

    Una nibariki Sana kakayangu, iyi ni mabo ambayo nipitiya Sana mu maisha yangu, alafu na anzaka ku jiuliza pengini ni mimindiye mubaya

  • @japhetmkumbwa4864
    @japhetmkumbwa4864 3 роки тому +3

    Ahsante Sana Kaka Joel Mungu akubariki kuzidi kuwa Mwalimu Mwema katika nyakati zetu hizi. Ahsante nimejifunza Mengi kutoka kwako maana hapa ndo napima rafiki wa kweli katika maisha Yangu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому

      Ni kweli kabisaa ..,hii inasaidia kuwajua na kuwachuja marafiki ulionao.

    • @ezelinamtawa3232
      @ezelinamtawa3232 2 роки тому

      Mimi sina ata mmoja hapa

  • @abelabuza3863
    @abelabuza3863 2 роки тому

    Thank you so so much kaka joe .....l love you sooo much... you are a fortune of Africa , a pride of Tanzania 🙏🙏

  • @safiaomar429
    @safiaomar429 3 роки тому +2

    Duh ! U are the best. Iyo imesha tokea kwangu exactly as you said. nimeachana na wife wangu pia tunaishi in different countries but my best friend ndie ananifanya anaongea na x wangu then anakuja kuongea na mimi then maneno tumeongea naye ndio yananipiga vita after all then alhamdulullah nilikuja kumfahamu very late that he was not even jama he was my greatest enemy. Asanti sana kwa Somo lako I salut you. God bless you.

  • @bdraper6036
    @bdraper6036 3 роки тому +4

    Kiukweli Rafiki yangu ni Mungu tu, Mama mzazi, Na wewe Broo Joeli

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому

      Ahsante Sana,pamoja sana

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 роки тому

      Hilo nalo neno baba je

    • @Noorally24
      @Noorally24 2 роки тому

      @@joelnanauka mi nlikuwa naomba matangazo kidogo yasiwe marefu sana..

    • @Noorally24
      @Noorally24 2 роки тому

      aisee matangazo marefu hayo..

    • @tabsonmgallah
      @tabsonmgallah Рік тому

      KUMTAMBA RAFIKI NYAKATI NI SHUGHURI MAANA UNAFIJKI UMEZIDI NAMBA USHAUI ZAIDICH MGALLAH

  • @beatricemwita4380
    @beatricemwita4380 2 роки тому

    Lucy your the best friend for me, hata tupitie magumu gani Bado tupo pamoja na hatujawahi kuachana, kwenye magumu kwenye raha tupo pamoja, nakupenda dear

  • @sandejohn4513
    @sandejohn4513 2 роки тому

    Habari! napataje kitabu chako Cha timiza malengo

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 3 роки тому

    Kiukweli umenisaidia katika sehem nyingi nakushukuru kwa elimu unayo tupatia kila siku ubarikiwe sana brother Joel

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 3 роки тому +5

    Nashukru Mungu ninae mmoja ni the best kwakweli japo sikuhi kumdhani km atakuwa ni best friend kwangu but namuheshimu sana maana tulipata kazi ambapo alitakiwa tuwe wawili lkn ile ilikuwa nafasi yake ila wakasema wanahitaji wawili akaniunganisha baada ya muda wakamkataa yy wakanikubali mimi na hio kazi lazima utoe kiasia cha pesa wallah namuheshimu sana maana pamoja n kuw nafasi yake nimekubalika mimi lkn bado hio pesa sikuwa nayo ila yy alinikopesha hio pesa na akiamin kila kitu ni ridhiki moyo wangu uliumia sana lkn bado alinitia nguvu wallah namuomba Allah atudumishe urafiki wetu daima kitutenganishe kifo

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 2 роки тому

    Amen sanaaa!!!!!!!Kuna wakati mwingine marafiki wanaanza kuwa na wivu

  • @joycemoshi-zc7ie
    @joycemoshi-zc7ie Рік тому

    Kweli kaka mm! Sina uhakika kama nina wenye sifa zote! Je nifanyeje 😊

  • @petercharles1472
    @petercharles1472 3 роки тому +2

    Rafiki Wakimwili Kwakweli Sina Hata Mmoja, Bali Ni KRISTO YESU Pekeee Tu.

  • @marrynyallu5355
    @marrynyallu5355 2 роки тому

    Asante sana kaka kwangu mm ninaye rafiki ambaye amekidhi vigezo hivyo vyote na hakika ctamwacha kamwe.THANKS FOR INFORMATION BROTHER!!

  • @aminampaki4970
    @aminampaki4970 3 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏 nlikuwa cjy kumbe cna rafiki hata mmoja

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 3 роки тому +1

    Asante sana kaka kiukweli nina orodha kubwa ya namba zawatu lakini rafiki ni mmoja kati ya hao ndoanae nitia moyo na ikiwa nashida hua yupo kunisapoti,barikiwa sana kaka

  • @chekedecoration1565
    @chekedecoration1565 3 роки тому +3

    Kwamaelezo haya mimi sina kabisa rafiki

  • @bintimwigulu1013
    @bintimwigulu1013 2 роки тому

    Kati ya hao watano ninae mmoja tu wakunisaidia kwa wakat

  • @desmondmwaipula5378
    @desmondmwaipula5378 3 роки тому +1

    Akii bro Joel nimetambua kua na rafiki mmoja tyu

  • @meleniaelikana7345
    @meleniaelikana7345 3 роки тому

    Namshukuru mungu kunipa Mme nani rafiki yangu pia,

  • @queenmassawe
    @queenmassawe Рік тому

    Asante kwa Somo kaka Ila mm ninachangamoto Kama ningeweza kupata no yako nishare n ww huenda unaweza nisaidia nipo njiapanda celew

  • @HappyMalisa-i4s
    @HappyMalisa-i4s 4 місяці тому

    Yani ukiwapata marafiki kama hao ujue mungu amekupa ndugu wa ziada

  • @mikeonesmo285
    @mikeonesmo285 3 роки тому +4

    Kwa miaka hii ya Leo kuwapata marafiki wenye hivi vigezo ni Mara chache wengi wanakuja kama watu wema baadae wanatusaliti na kudhalilisha, rafiki bora ni mungu pekee na wazazi wengine ni kuomba mngu tuu

    • @beatricemwita4380
      @beatricemwita4380 2 роки тому

      Wapo Mimi ninaye 1 tunafaana sana ila wengi wapo hivyo ukipata hata 1 au 2 katika wengi mshukuru Mungu kwa ajili yao

    • @prsmb6973
      @prsmb6973 Рік тому

      Mimi Nina rafiki yangu yapata miaka 5 Sasa nilikuwa na uchumi mdogo lakini akaniinua niliumwa yeye ndiye alishugulika na mmi mpka nikapona imefikia wakati nimeo mke wangu ananishauli niachane nae kisa wao wanawake hawaelewani rafiki yangu ananishauli kunisaidia kivyovyote Ile hivyo basi mke wangu ananiambia niachane nae nijitenge sijui anamanisha Nini hapo.

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 3 роки тому +1

    Asante bwana Joel kwa mawaidha yako

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 роки тому +3

    Mungu anitie nguvu kwa point izi sina rafiki kabisa.

  • @richardkisembo8810
    @richardkisembo8810 3 роки тому

    I recommend you Mr. Nanauka

  • @rajabkassim1996
    @rajabkassim1996 3 роки тому +1

    Kaka Joel, Hapa Zanzibar Darajani kwenye Duka la vitabu la Fal karimu, vitabu vyako vya Timiza malengo, You can rise again vimeisha, na pia vina muda mrefu bila kuwepo. Fanya utaratibu utuletee upesi tunakuomba.

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 роки тому

    Hakika kaka 💞🙏nina wazazi na ndugu zangu lkn nina marafiki zaidi 20 lkn wapo wapo rafiki zangu wa Tatu tu ❤️ hao ndio Mara tunakuwa tunasaidia kwenye shida na raha nina miaka nao 9 sasa Allah awape umri mrefu 🙏🙏💞Insha'Allah

  • @vanessasalema6087
    @vanessasalema6087 6 місяців тому

    Noted brother...

  • @maimunapelembo4284
    @maimunapelembo4284 3 роки тому +1

    Ninae mmoja tu ambae anavyo vigezo hivi

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 роки тому +1

    Basi mm sina Rafiki kwakweli

  • @jumasaid4191
    @jumasaid4191 3 роки тому

    Habari brother kwakweli mi nakuombea kwa Mungu azidi kukutia nguvu na maraifa yenye manufaa kwa ujasiri wa kujitolea katika kutoa elimu hii nzuri naami kupitia wewe watu wengi tumejielewa kwani elimu yako ni nzuri mnoo *Mungu akubariki sana sana sana* hapa nimejifunza kitu ila napenda unielimishe kuhusu rafiki ambae yeye sio mvivu ktk kutafuta pesa unapokuwa nae anakupa hamasa ya utafutaji lakini ukimchunguza kwenye suala la pesa maranyingi hakosi sababu.
    Kwa mfano yeye anapokuwa na hela yako anaweza kubaki nayo bila ya kujali kwamba anatakiwa kukurudishia kwa wakati, lakini wewe ukiwa na hela yake mapema sana nirahisi kumsikia "brother kama hiyo hela umeipata naomba unipatie maana nimeingiza wafanyakazi shambani na wamemaliza kazi nahitaji niwapatie hela yao.
    2)Wewe ikitokea amekukopesha hela na hata muda wenu wa makubaliano ya kuirudisha haujafikia na ikatokea amepewa hela yako na mtu akupe badala yake anakupa nusu anakuambia nimepewa hii hela na Fulani nikupe ila nimefika nyumbani mtoto wangu anaumwa nimempeleka hospital imebaki hii nyengine nitakupa kesho kumbe kwa sababu anakudai amejipunguzia hela yake anayokudai. Je rafiki kamahuyu ni wa aina gani kwako. Asante.

  • @ephraimrugabandana773
    @ephraimrugabandana773 3 роки тому +1

    Wengi ni marafiki wa kitu au pesa; ukiwa na maisha safi utakua na marafiki wengi sana ila ukipata changamoto ukaishiwa wanakukimbia tena wanageuka kua mabalozi wako wa kukusema vibaya na kutangaza changamoto ulizonazo na wengine wanakupa sifa chafu hata ambazo haziendani nawewe!!!! 98% HATUNA MARAFIKI ILA TUNAWAPAMBE+ WATU TUNAOFAMIANA TU!!!!!!!!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому +1

      Ni kweli Ephraim,kuna wengine ni watafuta fursa

  • @cheyowilliam1387
    @cheyowilliam1387 3 роки тому +1

    Mm naona mama yng mzazi na mke wng ndio wanaoniambia kuhus mapunguf yng , Asnt bro.

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 3 роки тому

    Mbona mimi nawasaidia sana marafiki zangu niwachache wanoa kuwa karibu wakati washida

  • @abachadeboytz1693
    @abachadeboytz1693 3 роки тому

    Nashukur sana.kwa maarifa hayo.

  • @benetiusbulime6768
    @benetiusbulime6768 3 роки тому +1

    Asante sana bro

  • @esterrichard687
    @esterrichard687 3 роки тому

    Very nice idea

  • @zebedayodotha414
    @zebedayodotha414 2 роки тому

    Good idea

  • @fredricksutta5294
    @fredricksutta5294 2 роки тому

    Mi ninae moja brother anaitwa violeth mwakasitu kwali shes more than a friend an

  • @orishluka4241
    @orishluka4241 3 роки тому

    THANKX FOR UYOUR SUBJECT

  • @mohamedahmad3137
    @mohamedahmad3137 3 роки тому +2

    Hapan mmi sina Rafiki kabisa.

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 роки тому

    Nashujuru umeileta shukurani San

  • @bdraper6036
    @bdraper6036 3 роки тому +2

    Daah kwa hivi vigezo, kiukweli niwe Muwazi tu Sina rafiki kabisa, yaani Mimi ndiye nimekuwa kama Mtumwa kwao kwa kila kitu, Ingawa Naamini kile ninachokifanya Kitaleta matokeo chanya Hapo Baadae

    • @daudymchodo843
      @daudymchodo843 3 роки тому +1

      Pole sana

    • @bdraper6036
      @bdraper6036 3 роки тому

      @@daudymchodo843 Kawaida, pale unapokuwa kioo cha jamii, lazima uelemewe kwa Kuwatendea mema watu

  • @stellamrema3234
    @stellamrema3234 2 роки тому

    Kweli sina rafiji wa hiviii nahitaji msaada Joel

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 3 роки тому +1

    Nimekudua leo sina rafiki

  • @isangasamatini217
    @isangasamatini217 3 роки тому

    Kwa maelezo hayo Nina rafiki mmoja tuu wa kweli

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 роки тому

    Naomb utuletee n kipi tukifnye ikiwa biashra ambayoo huisimamii mda mrefu tujifunze

  • @benjaminraphael4035
    @benjaminraphael4035 3 роки тому +1

    good.

  • @obadiachristopher3723
    @obadiachristopher3723 3 роки тому

    Yes bor good

  • @azizaisack2572
    @azizaisack2572 3 роки тому

    Mh mpk hapo itoshe kusema rafiki yangu ni Mungu na mama angu tu

  • @mrmisosiliuma9366
    @mrmisosiliuma9366 2 роки тому

    Yan Kati yan watu wote niliyokua nao, mweny sifa hizo n mmoja tu....
    @Kimoso....

  • @saimoncharles7018
    @saimoncharles7018 3 роки тому +1

    Kwa point hizi Nina rafiki 1

  • @liyumbaliyumba9159
    @liyumbaliyumba9159 3 роки тому

    Nakukubali sana ndugu pamoja sana

  • @ahadielissack2457
    @ahadielissack2457 3 роки тому

    Mh. Kwa maelez haya lafk yang ni mama anguuuu

  • @FundiHashim
    @FundiHashim Місяць тому

    Mimi niko wengi ilammoja ana asilimia90 kwenye 1000

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 роки тому +2

    Ahsante kwa Elimu hii Brother Joel nanauka maana umenipa mchanganuo na nimejuwa watu wangu ambao waanafiti baadhi ya maeneo wapo wawili tu na ndo naambatana nao.🙏🤝💎💪

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому

      Ahsante kwa kuendelea kufuatilia.

  • @josephmichael9555
    @josephmichael9555 Рік тому

    Yupo rafiji yangu ambae anapenda vyangu tu yeye vyake mchungu mno saizi nimemshtukia namnyanyapaa maana Hana msaada kwangu apite uko

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 3 роки тому

    Sina kabisa, zaidi ya husband wangu tu

  • @juliuslucas3886
    @juliuslucas3886 2 роки тому

    Yupo ninae moja ambaye ni mussa ni rafiki nikiwa na shida nikiwa kwenye hali ya tafurani yeye ndo anakuwa kipao mbele kumuweka wazi mambo yangu tofauti na hapo ninarafi wengine wanafiki tu!

  • @aisharodricky9554
    @aisharodricky9554 3 роки тому

    Kwakwel mim cna rafiki jaman zaid ya mama yangu

  • @mohdansari1006
    @mohdansari1006 3 роки тому

    Thanks bro kwa mafunzo yako.keep it up.👍

  • @mohamedmatata598
    @mohamedmatata598 3 роки тому

    Madini ya kutosha,, ahsante br joel

  • @majiramoja2162
    @majiramoja2162 3 роки тому +1

    Kaka ni kweli kabisa kwa vigezo hivi hadi ndugu wa karibu bado sio Rafiki wa kweli sasa aliyetuumba ndiye anayeweza kuwa rafiki kwa sura ya mtu yeyote sio vinginevyo

  • @princessdiana2544
    @princessdiana2544 3 роки тому +1

    Kwa maelezo hayo cna hata mmoja

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 роки тому

    Ni jambo Jema sana

  • @michaelflex7970
    @michaelflex7970 3 роки тому +3

    Brother Joel Yan Kichwa Chako Ni Zaidi Ya Mgodi Maana Kinatema Madini Tuuuu,

  • @simonrwiza4829
    @simonrwiza4829 3 роки тому +1

    Ni muimu kwangu ndomaana nafatilia mafundisho yako we ni mwalimu bora

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 роки тому

      Nashukuru Sana Simon, naamini tukiendelea kujifunza tutajua zaidi

  • @FundiHashim
    @FundiHashim Місяць тому

    Yes

  • @WilliamJulius-p1q
    @WilliamJulius-p1q Рік тому

    Asante

  • @ezironvyats433
    @ezironvyats433 3 роки тому

    Ahsante kwa malifaa

  • @brunomiyonjo5684
    @brunomiyonjo5684 3 роки тому

    GOD BLESS YOU

  • @janviervenasi
    @janviervenasi Рік тому

    Kweli marafiki Wengi wabaya ambao ukiwaelezeya shida Zako

  • @vanessamlay7927
    @vanessamlay7927 3 роки тому

    Sina kwa kwelii

  • @norbertKombaSon
    @norbertKombaSon 3 роки тому +1

    thanks

  • @lilianmbodze8272
    @lilianmbodze8272 3 роки тому

    Napenda saana... Mafundisho yako!, Leo nimejifudza zaidi kuhusu marafiki wa kweli... Shukuran kaka..., mm natoka Kenya...

  • @kiboadam9448
    @kiboadam9448 3 роки тому +1

    Hayupo

  • @rehemadaudi550
    @rehemadaudi550 2 роки тому

    Mi sijapata rafiki bado

  • @conradngatunga9657
    @conradngatunga9657 2 роки тому

    sina hata mmoja kk

  • @arnoldmahenge9080
    @arnoldmahenge9080 3 роки тому

    Sina!

  • @Madam255
    @Madam255 4 місяці тому

    Nina mmoja tu tena wa kiume huyo ndio anae fiti kwenye kila eneo

  • @kasigahamisi354
    @kasigahamisi354 3 роки тому

    Sawa kaka

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 3 роки тому +1

    Kwa hiyo sina rafiki

  • @emiirseyyid652
    @emiirseyyid652 2 роки тому

    Kwa vigezo hivoo sina rafiki hahahaha hahhhah hahhhah 😃😃

  • @powerofthemoon274
    @powerofthemoon274 3 роки тому

    Maada yako inamanisha mm nalafiki mmoja01 to

  • @kelvinchadulaga310
    @kelvinchadulaga310 3 роки тому

    Mimi sina kabisa kwa sifa izo ninao watu ninao juana nawo

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Рік тому

    Sina rafiki Mimi Sina ata mmoja mwenye sofa izo

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Рік тому

    Sina rafiki kabisa

  • @liberatussylvanus5477
    @liberatussylvanus5477 2 роки тому

    Ila joel nanauka anastahili kuishi ili waelimikeweengi zaidi ,kazianayoifanya bure mungu atamlipa jamani mb za 500 tu unapata elim zaidi ya chuo