Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

ISHA MASHAUZI AZINDUA MGAHAWA "NIMETUMIA MILIONI 75", WAZIRI AFIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 24

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +6

    Hawa wanawake wananitia nguvu sana katika kutafuta riziki. Wanawake tuamke tunaweza❤❤

  • @ericahrey-hj8wh
    @ericahrey-hj8wh Рік тому +8

    Shilole , Esha , isha mashauzi❤❤❤❤❤next one ntakua mm😊😊

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому +2

    Masha Allah ❤️❤️❤️ tujitahidi wanawake jmn tunaweza tujiamini sio kila siku ombaomba kwa wanaume

  • @neymigetto8024
    @neymigetto8024 2 місяці тому

    Dada isha mungu azidi akubariki sanaa ktk kazi ya mikono yako

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w Місяць тому

    Mashahallah ishamashauzi ongera cn mungu Akubariki cn kwa kz yamikono yk

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +1

    Mashallah wallah nimeipenda mnoooooo kila lakheir Kwake dada unapambana yaaan upo single mother unapambana mnooo

  • @esterjoseph5836
    @esterjoseph5836 Рік тому +1

    Nikazi nzuri sana naomba tenda ya kuleta kuku hapo kwa bei rafiki kabisa pia nawaomba wapendwa mnisaidie kupata tenda kwa wanaosindika ninao kuku nafuga pia nanunua kwa wengine nitashukuru mkinisaidia

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 Рік тому +1

    MashaaAllah Aisha

  • @khadijabalolwaeuphrasie3488
    @khadijabalolwaeuphrasie3488 11 місяців тому

    Maa shaa Allaah my sister Aisha big up dear

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 5 місяців тому

    Waho jamani mungu akubari nakupenda Sana Masha lavu nakupenda tokea siku nyingi

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому

    Waouh congratulations

  • @nevermgawe2802
    @nevermgawe2802 2 місяці тому

    👏👏👏🎉🎉🙏

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому

    Hongera

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому

    Mashalla

  • @isamony58
    @isamony58 Рік тому +1

    majinaya akina aisha niwapishi wazuri sana mungu azidi kukubariki aisha na shilole ni wanawake wamfano niwapambanaji wazuri sana

  • @user-rg8fq8fc3k
    @user-rg8fq8fc3k Рік тому +1

    Aisha siunipee kazi jamani kwa office yako mi mpishi mUri tuu😅

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Рік тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 10 місяців тому

    Katika kazi mungu katupi pesa mpka kufa ndo ihi apa

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 5 місяців тому

    Hapa mume utampata haraka Tena wandoa Kama nilivyo sema mwanzo saizi unauza chakula hakiyamungu utaolewa haraka Sana kwenye taarabu kulikuwa kunakubania riziki yakuolewa nakuomba kwamungu uolewe hata Mimi pia najiombea tuombeane tuolewe tujipe stara

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому

    Million 75 Astaghfiru llah ukose kununu jumba lakifahari???😇