Msaani wangu mpendwa isha mashauzi ......aswaaaa ile ngoma lako HAYANIFIKI 🫶
Isha noma sana ❤❤❤King kiba 🎉🎉🎉
She is very talented, leo nimejua kwa nini fid q alimshirikisha.
Mwanamke we fundi so kinyonge pokea maua Yako
NAMKUBALI ISHA MASHAUZI GABO ZINGAMBWE MUNGU AWABALIKI NA NDOA YAKO MPAKA KIFO KIWATENGANISHE
Isha anajua Hadi anajua tenaaa🙌🙌
Isha mashauzi uko sawa mama sauti tamu penzi langu c mate wala sio mkate
Isha bwana hii Kali hii!!!!! Na uko na stamina wacha!!!!
Uko vizuri ❤❤❤❤❤
Lovely, receive your congratulation
Saf sana unaimba kwa isia sana
Yaani mpaka anakera anavojua ashu weee
❤❤❤❤isha@aa
Huyu mama ni kisanga
Unauwezo mkibwa sana WA kumiliki jukwaa kupita kawaida
Hii imeenda 🎉
Mashallah saut nzur
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
Imeenda hii😂
Band inatuangusha
Mam ilov nmkukbal bule
Kina bahiri katoa chuma 5.
Wasanii wa bongo huwa wajinga sana sijui shule
Ukiskia queen of best melody...Aisha weeee❤❤