Maa Shaa Allah! Huyu bwana ukweli ni mlima wa elim...: ninapomsikiliza, ukweli ninahisi imani yangu inapanda. Allah amlipe kila la kheri na amzawadie au atuzawadie sote Jannah yake ya Fir'daus, in Shaa Allah! Ni mimi Imran Ramadhan.
Maa sha Allah kutoka nje ya nchi najisikia nipo nyumbani kwa mawaidha mazuri chakula cha nafsi. Allah awaongoze katika kutupa vitu vyenye manufaa. Amiin
Sijasikiza lkn kuna mahali iliuliza km mtu ameridhika Na mawaidha ya mahalim hakika mm bnfusi hd hpa nimefikia nilipenda sna mawaidha yk toka usichanani niniliomba sna nipate mume km yy au yy mwenyewe lkn Mungu ananipa mithiani hii mara hii napenda sna dini Na InshaAllah naomba Allah anijalie mtu mwenyewe dini Na ameshiba dini InshaAllah mawaidha yko usitadhi yapo sawa Allah akizidishe akupe Na umri Na afya ameen
My all time Sheikh...Allah akupe afya na Umri...Walio matumboni wapate kukuskia na wanaokaribia kukata roho wapate kukuskia,labda Kwa uwezo wa Allah Imani zao zitabadilika na Kuaga kama 'Waumini' In Sha Allah
Asalm alykum,sheik othman mola akujalie maisha marefu uzidi kutupa mawaidha ya kuturejesha katika njia ya kheri one day i will visit tanzania purposely to see you I.ALLAH MOLA AKULINDE PAMOJA NA FAMILIA YAKO.
Allah akbar, Waongea yaliyopo umri tunao ilhali ilmu haba, Raby zidny ilman waruz quna fahama, Shekhe Othman Maalim Allah atujalie tuwe watendaji kwa kila ukumbusho utupatiao na vizazi vyetu na akujalie zaid ya hv Inshaallah
Allah atuepushe na kibri na kuiona tutaitawala dunia milele na vurugu zetu.Raab tujaalie mwisho mwema wenye maisha bora ya akhera ewe ndio mfalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.😭😭Hakika Allah ni mwingi wa rehma na hekma kubwa anastahiki kuabudiwa kwa haki hana mshirika.katujaalia mauti bila ya kuchagua kwa viumbe vyote,Ila viumbe tunajisahau na kuona tutaishi milele kumbe kila dakika mbele yetu hatuijui maana hakuna mjuzi ajue saa zetu ila Allah peke yake😭😭😭😭
MASHA ALLAH MANENO MAZIMA KABISA NA MAZITO, YANAKA KUZINGATIWA SUBHANALLAH NA KATIKA ELMU KILA MTU ANATAKIWA AJUE MANA HALI HII ITAKUFIKIA TU SIKU YOYOTE! MASHA ALLAH TILAWATUL QUR-AN YAKO MUMTAZAN , JIDDAN JIDDAN INAGONGA MOYO. ALLAH AKUZIDISHIE ELMU AKUPE KHERI JUU YA KHERI AKUZIDISHIE UJUZI WAKUWEZA KUZUNGUMZA NA KUWEZA KUATHEER NAFSI. ALLAHUMMA AMEEN

Amen thumma amen!!,
Maa sha Allah kutoka nje ya nchi najisikia nipo nyumbani kwa mawaidha mazuri chakula cha nafsi. Allah awaongoze katika kutupa vitu vyenye manufaa. Amiin
Pia Allah atuwekee Shekh wetu mri mrefu wenye afya na wenye manufaa kwa jamii tuendelee kupata mazuri kutoka kwake
Mashallah shekhe othman maaalim kwa kutuelimishaaa Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimishaaa....Amiiiiiin
amiin
Mashallah
Mungu akufungulie kifua na akuzidishie elimu inshaallah
Sijasikiza lkn kuna mahali iliuliza km mtu ameridhika Na mawaidha ya mahalim hakika mm bnfusi hd hpa nimefikia nilipenda sna mawaidha yk toka usichanani niniliomba sna nipate mume km yy au yy mwenyewe lkn Mungu ananipa mithiani hii mara hii napenda sna dini Na InshaAllah naomba Allah anijalie mtu mwenyewe dini Na ameshiba dini InshaAllah mawaidha yko usitadhi yapo sawa Allah akizidishe akupe Na umri Na afya ameen
mmh. ameshaoa lakini shaikh wetu sasa utapenda kuwa mathna au thulatha au arbaa?
Pole Sana km una mume Tanya sn ibada za usiku Allah atamfanyia wepesi InshaAllah
Amin Allah atakupa mume mwenye khr na ww
MaashaaAllah. Tabaarakallaah. Mola akuhifadhi Sheikh Othman. Wewe ni gift from Allah. Mola akupe maisha na mwisho mema
MASHAALLAH napenda mawaidha ya sheikh Athuman Maalim
Na mimi pia
Maashaallah Allah akuweke sheikhe wetu tunakupenda mapenzi ambayo Allah ndio anaejua
napenda sana kusikiliza mawaidha ya shekh othman maalim...allah akuzidishie umri mrefu uzid kutuelimisha aamin
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema inshallah
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa lenye Mafundisho na Mazingatio makubwa sana.
My all time Sheikh...Allah akupe afya na Umri...Walio matumboni wapate kukuskia na wanaokaribia kukata roho wapate kukuskia,labda Kwa uwezo wa Allah Imani zao zitabadilika na Kuaga kama 'Waumini' In Sha Allah
Asalm alykum,sheik othman mola akujalie maisha marefu uzidi kutupa mawaidha ya kuturejesha katika njia ya kheri one day i will visit tanzania purposely to see you I.ALLAH MOLA AKULINDE PAMOJA NA FAMILIA YAKO.
Masha Allah darsa muhimu sana shk othman Allah akupe jaza na sote Allah atujalie mwisho mema,Ameen ya Rab
MashaAllah Allah Akubariki Akuzidishie afya na umri na mwisho mwema
Mashallah shekh umenenepa fullu shavu,Allah akupe umri mrefu uzidi kutowa elm...Amin
😭 Nakupenda sn Shee othman Maalim mungu akupee maisha marefu ututoe kwenye giza
Manshallah shekhe wetu Allah akujalie umri mrefu ultuelimishe Mambo muhimu ya dini inshallah
Mungu akujalie maisha mema apa dunian na kesho akhera napia akujalie mwisho mwema pamoja na wacha Mungu wote aaamni
Allah akbar, Waongea yaliyopo umri tunao ilhali ilmu haba, Raby zidny ilman waruz quna fahama, Shekhe Othman Maalim Allah atujalie tuwe watendaji kwa kila ukumbusho utupatiao na vizazi vyetu na akujalie zaid ya hv Inshaallah
allah akulipe mema ww pamoja na familia yako malimu Othumani lnshaallah.
Mawaidha mazuri sana..Shukran KTV TZOnline kwa kutuletea Sheikh wetu adhimu kabisa..inaogopesha lkn imenifundisha..Alhamdulillah
MashaaAllah nakupenda kwajili ya Allah
Mashallah allah akuzidishie maalim
ma sha Allah wazanzibar mna heri nyingi mno
Mwenyezi MUNGU akujaalie janatul firdaus, hakika mawaidha yako yanatuzidishia imani
Allah atuepushe na kibri na kuiona tutaitawala dunia milele na vurugu zetu.Raab tujaalie mwisho mwema wenye maisha bora ya akhera ewe ndio mfalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Masha Allah..... Allah atuzidshie umr mrefu natuwe wenye namambi mema
Allah akupe maisha marefu yenye kher n ww amin
Asante shkh Othman maalim Allah atbarki sote kwa pamoja Insha Allah
Maashaallah
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.😭😭Hakika Allah ni mwingi wa rehma na hekma kubwa anastahiki kuabudiwa kwa haki hana mshirika.katujaalia mauti bila ya kuchagua kwa viumbe vyote,Ila viumbe tunajisahau na kuona tutaishi milele kumbe kila dakika mbele yetu hatuijui maana hakuna mjuzi ajue saa zetu ila Allah peke yake😭😭😭😭
Mashaa Allah. Allah azidi kukuweka ili tupate ilmu kama hii. Alhamdulillah najifunza mengi sana kutoka kwako Sheikhe Othman maalim
Ahsnte shkh Othman Allah akubarik na atubaarik
Allah atupe mwisho mwema in shaa Allah
Mungu akupe rehema inshallah
Allah atujaalie mwisho mwema na atusamehe dhambi zetu
Ma sha AllAh AllAh atupe mwisho mwema
Allah atupe mwisho.mwema
Ameen ya Allah
Ami nnn
mashaallah sheikh wetu allah akujaalie afya njema sheikh othuman maalim
Mungu akupe maisha marefu sheikh Othman maalim na yenye furaha na neema kwa sote waislamu
Mashallwa M/Mungu akulinde hapa dunian na akheara tufufuliwe pamoja na atupe hatma njema amiin
innalilah waina ilayhi rajiuun masha allah shekh Othman maalim
Tuwaombee dua pia na mashehe wenzenu wako jela
.
mashallah hakika unayofundisha ni mazuri
MASHA ALLAH
Shukrani
Allah akupe umri mrefu wenye kheri na we we mwalimu
MASHA ALLAH MANENO MAZIMA KABISA NA MAZITO, YANAKA KUZINGATIWA SUBHANALLAH NA KATIKA ELMU KILA MTU ANATAKIWA AJUE MANA HALI HII ITAKUFIKIA TU SIKU YOYOTE! MASHA ALLAH TILAWATUL QUR-AN YAKO MUMTAZAN , JIDDAN JIDDAN INAGONGA MOYO. ALLAH AKUZIDISHIE ELMU AKUPE KHERI JUU YA KHERI AKUZIDISHIE UJUZI WAKUWEZA KUZUNGUMZA NA KUWEZA KUATHEER NAFSI. ALLAHUMMA AMEEN
Mashaallah jazaaka llah khayra hostanzi Allah akuhifazi nduniani na ahkera
Allah akulipe kheir inshaallah
😭😭😭, yaa rabbi tujaalie mwisho mwema
Kila ninapomsililiza osman maalim najisikia furaha sana ALLAH akulinde sheikh
Shukran jàzaakillaahu khayran
Allah atusamehe na atujaalie mwisho mwemaa😢🤲🏾
Allah akulipe kheri
Mashallah
Jazakallah kheyri
Malipo yako kwa Mungu
Shukrani 🙏
Naskiza nikiwa dubai Alhamdulilah
Huku hakuna hutba wala darsa ya kiswahili
WIFI iko kila mahali I always listen to your Chanel Maalim
Alhamdulilah
mashaallah sheikh tunsapataa darsa alhamdulillah
Ya-Allah mungu akupe mwalim wetu
Allah akulipe kheri nyingi sana maalim wetu
Mashaallah
Assalamu aleikum ummat mohammad
Asalamu aleikum ummat mohammad S.A.W
Waaleyku salam waramma tullahi wabarakatu
Mashallah shukran
mm siipendi hii TV lkn asaiv inanifanya niwe na mapenzi nayo Thnks sana ktv
Mashallah. Sheikh. Uthman
Mashallah 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿
jazakamullah khaira KTV TZ ONLINE
Shukran kwakutuelimisha
Waleikum salam warahmatullah wabarakatuh
MASHA ALLAH
Mashallah
ya Rabbi utunjalie mwisho mwema
Manshaallah
Mungu azidi kukuongaza kutufundisha
Mungu akuper rehema
Mashallah❤❤❤❤
Mungu akujarie
Jazzakumllah Khery
Allah huakbar mashaa Allah
Shukran
Amiin
masha Allah
MashaAllah
mashallah
Aziza Aisu as salaam alaikum
Masha Allah
Nice one
الله يحفظك الشيخنا 🤲💐
Tuko pamoja sheikh kwenye Uislam
Amen
KTV TZ ONLINE HONGERENI NYOTE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
Mashaallah Allah akustiri twa omba Dua zako
@@issakawanya648 Amiin kwa sote jamii islam
Shukurani
👑👑👑
Kwanini hiz video za mawaidha ukitaka kudownload nje ya youtube hazkubali !?!?🤔🤔🤔
Hata mimi najaribu saana nashindwa..
Ingirandi
A
Aminaaa
Mashaallah
mashallah
Masha Allah
Maashaallah
Mashallah
Mashallah
Masha allah
mashallah
Mashallah