IBADA YA MORNING GLORY 27.01.2025.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Usisahau ku-like,share na ''SUBSCRIBE" katika channel yetu ya Temboni Lutheran tv ili uweze kupata taarifa na matukio pindi tunapoweka. SADAKA: TIGO PESA 0679 344 366 KKKT TEMBONI LUTHERAN, M-PESA 0744 333 233 TEMBONI CHURCH, MAENDELEO BANK A/C NO: 013788006021 KKKT TEMBONI. UBARIKIWE.
    RATIBA YA IBADA NA HUDUMA USHARIKANI.
    JUMAPILI
    Saa 1:00 Asubuhi - 4:00 Asubuhi
    Saa 4:00 Asubuhi - 7:00 Mchana
    MORNING GLORY
    Jumatatu - Ijumaa
    Saa 11:30 Alfajiri - 12:30 Asubuhi
    BIBLE STUDY
    Kila Siku ya Jumatano
    Saa 12:00 Jioni - 1:30 Usiku
    EVENING GLORY
    Kila Siku ya Ijumaa
    Saa 12:00 Jioni - 1:30 Usiku
    MKESHA WA MAOMBI
    Kila Ijumaa ya Mwisho wa Mwezi
    Saa 3:00 Usiku - 11:00 Alfajiri
    MAOMBI YA LANGO
    Kila Tarehe 01 Mpaka 03 ya Mwezi
    Saa 12:00 Jioni - 1:30 Usiku
    FELLOWSHIP
    Kila Jumapili ya Pili na ya Tatu ya Mwezi
    Saa 9:00 Alasiri - 12:00 Jioni
    MAOMBI YA WANAWAKE NA MABINTI
    Kila Jumatano ya Kwanza ya Mwezi
    Saa 12:00 Jioni - 1:30 Usiku
    HUDUMA YA USHAURI NA UTUNZAJI WA KICHUNGAJI
    Kila Siku ya Jumanne, Jumatano na Ijumaa
    Saa 2:00 Asubuhi na Kuendelea
    #tembonlutherantv #tembonilutherantv #tembonlutherantv #chrismauki

КОМЕНТАРІ • 2