- 2 175
- 382 638
TEMBONI LUTHERAN TV
Tanzania
Приєднався 14 бер 2022
RATIBA ZA IBADA JUMAPILI
saa 1:00 hadi 4:00 asubuhi
saa 4:00 hadi 7:00 mchana
MORNING GLORY
jumatatu-ijumaa
saa 11:30 - 12:30 asubuhi
IBADA ZOTE ZINAKUJIA MUBASHARA
KUPITIA UA-cam CHANEL YETU
saa 1:00 hadi 4:00 asubuhi
saa 4:00 hadi 7:00 mchana
MORNING GLORY
jumatatu-ijumaa
saa 11:30 - 12:30 asubuhi
IBADA ZOTE ZINAKUJIA MUBASHARA
KUPITIA UA-cam CHANEL YETU
SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MCHG KIONGOZI WA USHARIKA.
SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MCHG KIONGOZI WA USHARIKA.
Переглядів: 202
Відео
TUNZENI NYUMBA ZENU,TUACHANE NA TALAKA NA MIGOGORO KATIKA NDOA.
Переглядів 26День тому
TUNZENI NYUMBA ZENU,TUACHANE NA TALAKA NA MIGOGORO KATIKA NDOA.
MUUJIZA WA BWANA UMETOKEA MWAKA HUU....
Переглядів 122День тому
MUUJIZA WA BWANA UMETOKEA MWAKA HUU....
KUZALIWA KWA YESU KULIKUWA NI FARAJA KWA WAKRISTO
Переглядів 43День тому
KUZALIWA KWA YESU KULIKUWA NI FARAJA KWA WAKRISTO
MKESHA! MKESHA!!KARIBU KWENYE IBADA YA MKESHA WA KUMSHUKURU MUNGU... 🔥 🔥
Переглядів 129Місяць тому
MKESHA! MKESHA!!KARIBU KWENYE IBADA YA MKESHA WA KUMSHUKURU MUNGU... 🔥 🔥
NIACHENI NIIMBE.. MCH. KIONGOZI ITIKA MWAKABANA AKIIMBA PAOMOJA NA KWAYA YA UINJILISTI TEMBONI 🔥🔥
Переглядів 388Місяць тому
NIACHENI NIIMBE.. MCH. KIONGOZI ITIKA MWAKABANA AKIIMBA PAOMOJA NA KWAYA YA UINJILISTI TEMBONI 🔥🔥
...SISI TU WATUMWA WASIO NA FAIDA ;TUMEFANYA TU YALIYOTUPASA KUFANYA.
Переглядів 260Місяць тому
...SISI TU WATUMWA WASIO NA FAIDA ;TUMEFANYA TU YALIYOTUPASA KUFANYA.
KARIBUNI TUMTOLEE BWANA MAVUNO KWA FURAHA
Переглядів 1382 місяці тому
KARIBUNI TUMTOLEE BWANA MAVUNO KWA FURAHA
VIGELELE VYARINDIMA UIMBAJII WA REFORMATION NGAZI YA DAYOSISI 🔥
Переглядів 1782 місяці тому
VIGELELE VYARINDIMA UIMBAJII WA REFORMATION NGAZI YA DAYOSISI 🔥
Kwaya Kuu ya Usharika wa Tegeta A watikisa kwenye Uimbaji wa Reformation Jimbo la Magharibi 🔥🔥
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
Kwaya Kuu ya Usharika wa Tegeta A watikisa kwenye Uimbaji wa Reformation Jimbo la Magharibi 🔥🔥
Kwaya Kuu Usharika wa Temboni wang'ara Uimbaji Jimbo la Magaharibi...
Переглядів 3892 місяці тому
Kwaya Kuu Usharika wa Temboni wang'ara Uimbaji Jimbo la Magaharibi...
MAANA_AONAVYO_NAFSINI_MWAKE_NDIVYO ALIVYO
Переглядів 2535 місяців тому
MAANA_AONAVYO_NAFSINI_MWAKE_NDIVYO ALIVYO
VIJANA KUTOKA USHARIKA WA TEMBONI WAMESHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA KITUO CHA AFYA KIMARA.
Переглядів 4626 місяців тому
VIJANA KUTOKA USHARIKA WA TEMBONI WAMESHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA KITUO CHA AFYA KIMARA.
CHUNGA KIPATO CHAKO UKIWA KIJANA ILI ISIWE MTUMWA UZEENI
Переглядів 486 місяців тому
CHUNGA KIPATO CHAKO UKIWA KIJANA ILI ISIWE MTUMWA UZEENI
Amen mtumishi ni usiku wa kumshukuru Mungu
Amina
🙏🙏🙏
Amen barikiwa sana Mwl.
Tunabarikiwa🙏🏼 But sound 😢😊
Mungu awabariki sana sana kwa Ibada njema na nimebarikiwa kwa maombi ya Mtumishi wa Mungu.
Amen hakika maombi haya yamenibariki nami napokea kwa jina la Yesu barikiwa sana Ev. Luther Mlawi.
Jamani wimbo wetu jina lake linaitwajee
May your soul rest in peace my young bro Stewart 💔😭
AMEN Mzee wangu wa Kanisa James
Najiunganisha kwa maombi haya
💔💔💔rip my friend
R.i p familiaaa
Continue to rest in internal peace baba
🔥🔥🔥🔥
Amen Mchungaji.
I miss you Dad! 😭😭😭
❤❤
Barikiwa sana Mchungaji❤
Amen Mchungaji wangu.Mungu akutunze
MUNGU azidi kukubariki Mwalimu sarah Urassa, Tunashukuru kwa mafundisho mazuri sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Tunaendelea kusema Asante pia kanisani Temboni
Amen🙏🙏
Mbona wewe hukushiriki?
Mbona wewe hukushiriki?
Hongereni kwa kazi ya kumsifu Mungu..ilanetwork haikuwa nzuri kabisa yaani!!
Kituo cha kinondoni
Tunabarikiwa🙏🏼❤❤
❤
Amen Mungu azidi kukutumia Ev. Wetu
Sifa na utukufu ni kwa Mungu...Safi sana
SHALOM hakika kila mmoja ni mshindi hakuna aliye vuka point miambili 17:27
Naomba unitumie kwaya ya mavurunza
Ameeeen gidion
Amina ❤
🎸🎹🎤 blessed
Nimempenda Msoma Neno jaman kakariri na Anaujasiri wa kuhutubu,,, BWANA MUNGU AZIDI KUMTUNZA NA KUMKUZA KIMWILI,KIAKILI NA HEKIMA ZA KIMUNGU NA KUMFADHILI DAIMA
Kwaya ya Vijana mbarikiwe sana.. Nymbo zina ujumbe mzuri sana
Asante sana kaka neno ni jema, ashukuriwe MUNGU wetu kwa kukupa uvuvio wa neno hili hakika nimeguswa mno.
Pumzika dada yetu,mwendo umeumaliza imani umeilinda,pumzika.kipenzi chetu tutaonana paradiso
Nenda kwa Ushujaa Eline..Jipe moyo Mkuu..Yesu atakupokea pamoja na Malaika😢😢😢
Eline VITA umevipiga mwendo umeumaliza na Imani umeilinda.Pumzika kwa amani Mama Stephene tutaonana Mtoni.KUISHI NI KRISTO KUFA NI FAIDA
🥰🥰
Yesu tabibu🙇🙌🙏
Nawapata vizuri nikiwa bagamoyo❤
R.I.P SARAH MANDE. Mungu awafariji familia.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amen 🙏
Hongera vijana. Wameimba vizuri 👏👏
Ahsante sana Dr kwa neno zuri Mungu akubariki akuinue viwango vingine.
Amen Mungu awabariki sana