DRC: Wananchi wakimbilia mjini Goma kufuatia mapigano makali
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- Wakati mapigano kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23 yakipamba moto, wananchi wamelazimika kukimbia makazi yao na hivi sasa wanaendelea na safari yao kuelekea mji wa Goma baada ya vita hivyo kuwa vinakaribia mji wa Sake. Ungana na mwandishi wetu akikuletea habari mpya kuhusu wasiwasi uliokuwepo katika eneo hilo la mstari wa mbele katika vita hiyo.
#jeshi #waasi #m23 #drc #wananchi #usalama #goma #sake #voa #voaswahili #dunianileo
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Jamanii mungu tunusuru Tanzania yetuuuu
Poleni sana ndugu zangu. Mungu akulinde.
Mungu awasaidie ndugu zetu jamni
Poleni sana wananchi wa congo
Very sorrow
Poleni sana muombenini mungu asimame nanyi
Jamanii mungu tunusuru nchi yetu Tanzania daaaaa
merci❤
Vipi! Mbona wakazi hawakimbilie upande wa M23 ? Ni kusema wakazi hawapendi M23 ! 😮
EHEEEEEEEE MUNGU UTUPIGANIYE KWAHILO TAIFA ĹISILO TAHIRIWA WAUWAJI KWANJIA ZOTE WAKIJIDAI KWAMBA WANALOMBA MUNGU
Mungu
Mungu saidia inchi yetu
Pôle sana wandugu zetu kukilbiya vitæ.
Vraiment c'est pas bien Congo🇨🇩🇨🇩😂😂 mon pays nous voulons la paix stop 🖐️🖐️🖐️
Vraiment mes frères se déplace à n'importe quelle heure ?
Vraiment aider nos congolais qui sont à l'est du pays nous voulons la paix 🇨🇩🧑🤝🧑🇷🇼🧎
Pôle Sana ndungu zangu. Raisin asikie ombi lawanainchi wakongo mani
Kweli
mubaya sana
Mungu awasaidie wakongo
Inaonekana serikali za Afrika zinafaida na vita hivyo. Yaan haiwezekan inchizoote za Africa. Zishindwe kuwazibitihao waasi
Yote hii, ni kwa ajili ya mauvaise Gouvernance ya Felix tsisekedi
Salut
Mungu awalinde
😢😢😢😢😢😢😢😢
Wana kimbiya sake, siyo Goma 🤦🏽♂️
Cette chaîne devient de plus comme France24 😐
Sasa iyo M23 wanaojidai wanataka amani kwa nini wanaichi wawakimbie inama kuwa wao ndio wanatesa wanaichi
Très triste
Kazi jema M23
Polen
Habari zenu ni Africa na Ukraine pekee jinga nyinyi
East Africa army inafana Nini
Acya mukipie nasisi wa Tutsi tunamaliza 28 and tukokwa kambi
Karibu kwa Kambi
Nnyi si ndiyo waleta vurugu😏😏 abatutsi mwaravumwe
Cenepa bien maaaaaaaa
Wamama na watoto wanateseka
Wazaledo
Wanainchi wa congo dioloque for peace
War it's not good
Nikweli wapenihao vijana mitutu
Guerre de Ukraine
by
Tujipe moyo
Tujipe moyo
Mawa pona mboka nabiso zambe asunga congo na biso tolembi bitumba ya m23 Rwanda
Kongo 2023. 3',3
Pôle
wasenge tu nyie. Simuondoke huko?
Èèèeè
Xxl 0:28