RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASANI AZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Raisi Msaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa mfuko wa Elimu wa Dunia, Makamu wake Dkt. Philipo Isdori Mpango na viongozi mbalimbali wa Tanzania wamesheriki katika uzinduzi wa sere ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023.
    Aidha tukio hili limefanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma Jumamosi 1 Februari 2025

КОМЕНТАРІ • 1

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 5 днів тому

    This VP ni mtu wa Mungu. Amekimbia madudu ya serikali!