InshaAllah Allah anijaalie siku nikipata pesa niende kwa shekh Osman nimrecod akisoma masaafu yote InshaAllah na nitamlipa.jamaa anasaut nzur sana pia tukiwa na kumbukumbu za hiv nzur sana.ALLAH AMJAALIE SHEKH WETU NEEMA NA AMAN ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZ CHETU RASULILLAH SWALALLAHU ALEY WASALAM ❤❤❤❤❤
Shegh Othman Maalim nampenda sana ajili ya allah,sababu kubwa katika katika dawa zake ni kufikisha ujumbe na sio malumbano kama walivyo wengine…allah atuhifadhi umati wote
MAA SHAA ALLAH.ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI SHEIKH WETU.QUR'AN INA LADHA YA AINA YA KIPEKEE HASWA INAPOPATA WASOMAJI WAZURI KAMA SHEIKH WETU NA WENGINEO, HUWA TUNATAMANI WASOME SURA NDEFU ILI TUENDELE KUISIKILIZA QUR'AN LADHA YAKE NA MAFUNDISHO YAKE.MAA SHAA ALLAH!! SHUKRAN SHEIKH WETU OTHMAN MAALIM.ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH.
Nikiwa na huzuni ao mawazo mengi ao nikikosa usingizi huwa nasikiliza kisomo chako japo siyo kirefu ila kina leta utulivu moyoni mwangu. I wish you had more recitations
Nilifuatilia kuna shegh mmoja aliuliza kwa bwana Othman kasoma wapi,,,,,hoja sio kusoma wapi???? Hoja anachokisema ndio Kukichomo kwenye kitabu au laa!!! Tatizo la watu wengi ni ria na choyo tu
2024 nakuskiliza nikiwa Dubai/Abou Dhabi Allah akupe maisha marefu yenye kheri na ww Shekh wetu❤❤❤❤
Mashallah jazakha llah khayran
Wallahi napenda ukisoma Quan jazakhallahukher
InshaAllah Allah anijaalie siku nikipata pesa niende kwa shekh Osman nimrecod akisoma masaafu yote InshaAllah na nitamlipa.jamaa anasaut nzur sana pia tukiwa na kumbukumbu za hiv nzur sana.ALLAH AMJAALIE SHEKH WETU NEEMA NA AMAN ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZ CHETU RASULILLAH SWALALLAHU ALEY WASALAM ❤❤❤❤❤
Natamani siku na mimi niweze kusoma kama shekh othman na allah amzidishie shekh wetu. Alhamdulillah
Inshaallah
Amin
Mashallah Allah mungu akupe umri mrefu hpa duniani na kesho akhera
Allah akujaze kheri shehe wangu na akujaalie mwisho mwema
Asante
Mashallah👏
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
MashaAllaaah MashaAllaaah 🥰
Shegh Othman Maalim nampenda sana ajili ya allah,sababu kubwa katika katika dawa zake ni kufikisha ujumbe na sio malumbano kama walivyo wengine…allah atuhifadhi umati wote
MAA SHAA ALLAH.ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI SHEIKH WETU.QUR'AN INA LADHA YA AINA YA KIPEKEE HASWA INAPOPATA WASOMAJI WAZURI KAMA SHEIKH WETU NA WENGINEO, HUWA TUNATAMANI WASOME SURA NDEFU ILI TUENDELE KUISIKILIZA QUR'AN LADHA YAKE NA MAFUNDISHO YAKE.MAA SHAA ALLAH!! SHUKRAN SHEIKH WETU OTHMAN MAALIM.ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH.
Maashallah tabaraqqallah
Lahailla Allah ❤❤❤😭😭😭
Mashaallah
Allah akbar allah akuongoze shehe wangu akujaalie mwisho mwema na akuingize katika pepo yake
Watu wa nzanzibsr fanyeni hima recoding quran Audio akisoma maali patikane recod akisoma ata juzuu 7
Masha Allah Mola ampe umri mrefu sheikh wetu amkinge na kila shari#
Amin
Ameen
Amiin ya Allah
Amiin
Masha Allah, Tabaraka’Allah !
Nitatowa wapi Mimi anapo isoma Coran kwa urefu sheikh wetu !
Mfano juzu kamili awo mas’hafu yote
Nimejitahidi kutafuta ku UA-cam nimekosa.
Allah akbar
Ametakasika Mola wa Ulimwengu
Masha allah
Masha aalh nakupenda San kwa ajili ya aalh baraka lahu mungu akujalie janati firdawsi shekhe wetu
MashaAllah mahadhi yenye kupendeza ❤
MaashaAllah Allah akujaze kheri
MashaAllah maalimu..lkn katika youtube hamna umesoma kidogo..na Wallahi wasoma Vzur saut yako naipenda...
SwadaqAllah
Shekhe soma qurua kwa wingi napenda saut yako ukisoma
Masha'Allah
Allah akuongoze shehe wangu
Nikiwa na huzuni ao mawazo mengi ao nikikosa usingizi huwa nasikiliza kisomo chako japo siyo kirefu ila kina leta
utulivu moyoni mwangu. I wish you had more recitations
Mashallah
Masha Allah
Ee mola .ninakuomba muingize peponi shehe othman maalim na umsamee makosa yake
bakallah fikum
Nilifuatilia kuna shegh mmoja aliuliza kwa bwana Othman kasoma wapi,,,,,hoja sio kusoma wapi???? Hoja anachokisema ndio Kukichomo kwenye kitabu au laa!!! Tatizo la watu wengi ni ria na choyo tu
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla