Shida sio kubadilisha wimbo shida hivi vipande viliisha igizwa mda kwaiyo labda abadilike kwenye vipande vya mbele huko Kama ataskiliza maombi yetu nyimbo haiko vzr kuliko ile ya mwanzo anae kubali gonga like twende sawa
Mashabiki wengi sana tulitamani kuona mama David na Pamela wakikutana uso kwa uso na David na Michael tena hapo hospitalini, hapa mungelikua mmecheza sana. Ila sasa we're just watching for the sake of watching.
Ivi uyu Michael na David wapo kweli mapacha ao David ni professional wa movie anacheza mwenyewe kwa pande mbili? Nimechanganikiwa Haiseee...❤😂😂😂😂😂😂. Nimeipenda kweli kweli Shilingi from Kinshasa DRC.
Ivi shiringi party 2 wameicheza vibaya sijapenda Maiko iko wapi Mama yawo iko wapi 😂😂😂munatuonesha tu kama kibena na Edina washa olewa😂😂 ili kuwa kuwaje sasa
Shilingi tunaomba Mtuwekee ile nyimbo ya mwanzo jamani Ime changamka,tunaomba kiukweli Ile ndio bitti inayo endana na muvi ya shilingi,Mtuludishie hiyo
Lakini wimbo wa book 1 ulikua moto ile mbaya.anaekubaliana na mm agonge like tukisonga.
Kwel ❤
Kweli jaman mpaka naangalia za zaman
Aky mi Ata ainibambi hii ya Sasa wallahy
shilingi ya zamani iko tamuu sanaa kuliko ya sahii kwa kweli ama naona pekeyangu
Ipeni muda mutaizoea tu
Shida sio kubadilisha wimbo shida hivi vipande viliisha igizwa mda kwaiyo labda abadilike kwenye vipande vya mbele huko Kama ataskiliza maombi yetu nyimbo haiko vzr kuliko ile ya mwanzo anae kubali gonga like twende sawa
Ile nyimbo ya mwanzo imechangamka sana twaitaka
Kweli kabisa
Mrejeshe wimbo hule ulikuwepo awali bani hii wimbo sio shwari kamatumekubalia mashabiki ngonga like
Ule wimboo ulikuwa unaleta hisia sana
Warudishe ule wimbo wa shilingi wa kwanza ❤
Devid, nakupashauri umshawishimama, samaani laki San, huumradi wambashara, yaani mamako, na yule mnamwitabibi aushngazi nme msahau, pagawanywe kilammoja aweanashughulikia, mradi wake samaani,
Mabongo mnajua kuigiza tatizo kumaliza ndo shida
Masha Allah masha Alla mmenona kweli naona mambo cmabaya mungu awatangulie ❤❤
Lkn wimbo wa book 1ulikuwa moto ilembaya anayekubaliana n mm agonge like tukisonga mbele jamani
Tubadilishieni nyimbo hii imepoa sana
ᴱˣᵃᶜᵗˡʸ😢 ⁱⁿᵃᵖᵒᵃ ᵏⁱ ukweli
Shilingi imepoteza mwelekeo sana. Mwanzo imeanza mbali sana alafu haieleweki kabisa yaan
Mashabiki wengi sana tulitamani kuona mama David na Pamela wakikutana uso kwa uso na David na Michael tena hapo hospitalini, hapa mungelikua mmecheza sana. Ila sasa we're just watching for the sake of watching.
Kumbe tuko wote pia mm c elewi
Gutaleee Njoo nikufunze kutongoza😂😂😂😂 .. yani Nakupenda gutalee wewe😂😂😂😂
Edina umekuw mbaya
Unawaza Kama mimi😂😂😂
Ata kama David na mikol ni mapacha ila kungekua na katofauti kidogo mwa2changanya,hadi edina mwenywe hajui yupi ni yupi😅😅😅😅😅
Kwa Dev na maiko ilitakiwa mmoja asingekuwa na kipara bhn ingekuw gudaa Sana nyimbo nayo haipandi Kabsa rudisheni ya mwanzon ilikuwa 🔥🔥🔥🔥 San
Tuleteeni wimbo uleule wakwanza❤tunapenda ule
Yaani huyu dev na maico bado wanatuchanganya❤
Shiligi imerejeaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Bora wimb wa zaman jamn du ya zaman ilikua bomba kwel yan hutaman uache kuiangalia😊
Nampenda sana Gutale na vituko zake.
Waiting sajo😢😢😢
Alh dj Roma umefeli kwa stail iyi shlng Haina muelekeo
💥💥🙏🙏😎😎Twenden nalo mwendo ni ule ule ndani ya Roma brand to the finest
Ebu tuludishien Ngoma yetu ilee bhn ilikuwa Kali Ile mbaya😮
Hahahahahaha gutaleeeeeeee funguka bana
Ila gutale ni bonge la handsome ❤️
Mambo ayo anazuba
Naona napaswa wako wanangeya mwanamuke anana mushangawo
Roma rudisha nyimbo ya zamani hii haibambi
sielewi maiko na david na changanyikiwa kwa kweli🙆♂️
Ivi uyu Michael na David wapo kweli mapacha ao David ni professional wa movie anacheza mwenyewe kwa pande mbili? Nimechanganikiwa Haiseee...❤😂😂😂😂😂😂.
Nimeipenda kweli kweli Shilingi from Kinshasa DRC.
Mlete kama mwanzo ❤❤❤
Acheni kutuchanganya kbs mahana ni tofauti na hile ya mwanzo
Hii aifanani,na hata muendelezo wake sio, wa bongos twafeli hapo
Wimbo Wimbo mbayaaaa rudisheni ule wakwaza ila hongereni sana kwakazi nzuri ❤❤❤❤
Saf sana kaka roma❤❤❤😂
Ibra 😂😂😂nagutale muzeh milambo akowap nimemumuss n shangaz pamera muzeh mukud ma edin baba ake kiben ❤
Song Hil halina vibe rudishen la book 1
Da mapacha mme tshaaaaa
Kwani Hawa ni mapacha kweli mm naona sielewi
Mbonahamtoi,hiyo,shirigi.mnatowa,wikimoja
Kabisa ayieleke tena
Dj rom badilisha muonekano wa shillng uwe kama mwanzo ipte kunoga imepoa sana
Hawa wasanii saiz wamenenepa jaman hasa mke wa dev ,,, ila ongezeeni dk kwenye vipande jaman angalau dk 23
Nakubaliana nawe hii wanaongea polepole
Kwnn mumetubadilishia wimbo jaman
Mmh hii kali sana maisha
😂😂😂😂😂gutale hjui kutongozaa😅😅😅you alf mrudishe ule wimbo wa zaman jmn huu sio mzur
tubadilishieni iyoo nyimbo jàmn
More love from Kenya,GO nembo wa mtaa 😂nipen like
Maoni ya wengine yaeshimiwe kifupi mmefeli kweny hii ludisheni Ile nyimbo bhanaaaa woou oor oooo shilingii shilingii
Inaboo kweli shilling yenyewe c km ya kwanza
Hawa pacha wanamchanganya had Edna mmoja afuge nywele huo ndio ushauri wangu
Nitafura haswaa devid akimpata baba yake
Bwana mmoja angebaki na nywele ili tutofautishe
shilingi naipenda sana🇧🇷🇧🇷
Tafadhali mptupe vipindi moja Kwa moja mnachelewesha kweli..!!!!!
Mhhhhhhh mulituahd mwanzoni mutakuwa munashuti episode nying lakin sahv hamna Bora museme tuuu kwamba haiwezekan
Roma upewe ulinzii.😂😂😂gutaleeeee gutaleeeee utaniuwaaaaaa
Mbn mnatuletea vipnd kidg San skuiz
Hata huu Ni mzur tuu
Kazi nzuri Sana Mr devid🎉 nakukubalisana broo
Egutale na kidawa 😂😂😂😂wake 😂😂
Tufanyien maarifa mtubadilishie nyimbo imepooza km uji wamgonjwa
Tamuu❤❤❤
Assalam aleykum
Tukumbuke na ibada ndugu zangu🕌
Mmeuwa mapacha kukutana
Book 1 mlituwachaa mataa the continuation imepoteza mwelekeo adi utamu umepungua kiasi fulani
Butale aogopa mrembo mmmmh siumwambie km wampenda wasokita vitole km mschana nae 😂😂😂😂😂😂
Kweli wimbo wa shilingi wa kwanza ulikua mzuri
Nimependa ushawishi wa Junior
From kenya
Hii shiling mshaitowa ham kabisa mana baada kuikatisha sehem kubwa mkatuleteya vipande 2 mmeingiya mitini
Wimbo wa Kwanza ndio mzuri
Kweli kabisa
gostei muito por voltar de novo parabéns sucesso pra sempre
Shilingi imonoga aki napenda Sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mzr
Wakwanza jamanie naomba like zenu
Hahahahaha!!! Gutale huyo na mbwembwe zake kashindwa kusaduce kwelii yeee et ka-Moyo kanadunda zee
Mm kumbe nilikuwa na kierehere 😂😂😂😂kumbe mambo nyweeeeee dj🎉🎉🎉🎉🎉❤
Shilingi ije mbio mbio
Ivi shiringi party 2 wameicheza vibaya sijapenda Maiko iko wapi Mama yawo iko wapi 😂😂😂munatuonesha tu kama kibena na Edina washa olewa😂😂 ili kuwa kuwaje sasa
Kitaleee kula chums icho binamu yupo kifedha zaid
Kabiaasa
Hii sio kama ya mwanzo yani haaaaaa
Hila kweri uu wimbo si mzuri ule wa kwanza ndio mzuri rudishen
Kawimbo kalikuwa poa saiv imepoa tofauti nailivo kuwa mwanzo jamn
Jaman miniulize nyie mapacha au
Huko tuendeyako watapigana sbabu ya mke wao
Wow hongereni nyote nawapenda ❤❤❤🎉🎉
Twataka nyimbo yamwanz hiyo inatia doro bwana
Nzuri Sana, hiyo nyimbo Safi sana
Shilingi tunaomba Mtuwekee ile nyimbo ya mwanzo jamani Ime changamka,tunaomba kiukweli Ile ndio bitti inayo endana na muvi ya shilingi,Mtuludishie hiyo
Wimbo ule wa mwanzo ndio ulifanya ibambe zaidi.
Oyooo
Haloo umezingu hii
Hii hata sielewi ingeanzia tulipoishia Ile ya mwanzo ilikuwa nzuri sana
Shukurani
Murudiche music WA zamani tunataka mziki WA zamani
Rudishen wimbo ule wa kwanza
Huyu kijana mbya sana km mmke anataka awauwe ili abakiyy simpendi kwl
Gutalee 😂😂😂😂😂😂akili yako unaijua mwenyewe