DUDU BAYA AWASHA MOTO AFANDE HAKAMATWI MBONA AU MNATAKA TUSAHAU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 29

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂 filigisa bimbilisa master kama konk😂😂😂❤❤❤❤

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 3 місяці тому +3

    Kumsikiliza Dubu Baya yaani lazima ucheke. Anaongea vitu vya ukweliii

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 місяці тому +3

    Kuna waumbaji wa hili Taifa wao hawaguswi kwa uovu wao.

  • @NifikeNgajilo
    @NifikeNgajilo 3 місяці тому

    Konki ni mkweli sema watanzania wengi wao SI waelewa

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 3 місяці тому +1

    Mnaovamia vitu ambavyo sio vyenu mtapigwa miti mpaka mseme 😂

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 3 місяці тому +1

    😄😄😄wanakufirigisa huko

  • @isayacharles2850
    @isayacharles2850 3 місяці тому

    Konkiiih, alietuma watu kuuwa na waliotumwa wote wakamatwe na wawajibike; Alikadharika wa alietuma kubaka na awajibishwe 😩☝️

  • @BduniaNengenenge
    @BduniaNengenenge 3 місяці тому +1

    Baazi ya wanasheria Namkubali sana kibatala

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 3 місяці тому +1

    Upande wa sheria dudu bado sana wewe yule afande anakesi ya kujibu maana inasemekana ndiye alie ratibu zoezi hilo hivyo basi anakesi ya kujibu

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 3 місяці тому +1

    Eti mtapigwa miti vibaya mno😂

  • @abdulisike
    @abdulisike 3 місяці тому +1

    Konk konk konk master😂😂😂

  • @T-Fellow
    @T-Fellow 2 місяці тому

    Facts🤣🤣🤣🤣

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 3 місяці тому

    Dudu baya shule hakuna kitu uelewa wa sheria atautoa wapi. Anadhani busara zake ndiyo sheria😂😂😂😂

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 3 місяці тому +1

      Hata sheria zimetokana na mawazo au busara za watu tu kama huyu! Au wewe unadhani sheria zimetoka mbinguni?

  • @WilhelmIbaganisa-bx7zj
    @WilhelmIbaganisa-bx7zj 3 місяці тому +2

    Siyo mwanaaheria mkuu ni DPP , OFSI YA mashitaka ya serikali . Director public prosecution!

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 3 місяці тому +2

    Dudubaya mahali flani Yuko Sahihi, kuna Hali ya delaying tactics unnecessarily zinajitokeza toka mwanzo hata asiyejua 'A' ya Sheria anaweza kuziona in tizama toka aliyekuwa RPC alivyo kuwa anatoa sababu za Kiana na hata kumtuhumu mshtaki, tizama huyu bibiye ni mara ngapi ameitwa na mahakama bila kujitokeza kiasi cha mawakili kunungunikia mahakama? I'm sorryPengine ni ndugu yako or whatever, Ila Sheria nayo ina Viji loophole ambavyo mtu mwenye kuvi elewa anaweza kucheza nayo like now anadai anaumwa who knows? ana buy time ili nini? DPP atoe 'nole proseque' sidhani, Ila huo ucheleweshaji ambao mwizi wa Kuku haupati ndio unao wapa watu mashaka kwamba kulikoni!! na hata Dudubaya ni mmoja wapo.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 3 місяці тому +1

    Unakwenda kufanya uharifu, unakamatwa. Mahakamani unamsema mtu ati alikutuma ukatende uovu huo; huo ni mzigo wako ubebe mwenyewe. Aliyekutuma sheria haina ubavu wa kumtia hatiani.

    • @SmilingApron-zw6ne
      @SmilingApron-zw6ne 3 місяці тому

      Kweri kabisa kwanza hawa waharifu wakishanaswa wanaropoka ropoka tu eti afande kawatuma ndo walivyo waharifu hao et afande kawatuma

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 3 місяці тому +5

    Dudu umechemsha upande wa Sheria. Clazima uwepo kwenye tukio ndio uwe na hatia.Upelezi utafanywa kulingana na ushahidi wa washukiwa .Mahakama itatoa hukumu Kwa yoyote aliye husika.

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp 3 місяці тому +1

      Na vipi unapotajwa kuhusika na tukio? especially kama muasisi chanzo, muelekezi, mfadhili, master minder etc na, Dudubaya ukitizama vema anaongelea ucheleweshaji.

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 3 місяці тому

    Acha ujinga dudu km ulimjua commissioner Kigondo mm ndiye mkewe na hata huyo anayemuita mmewe amedaka Mme wa mtu mbona ss hatujamfanyia hayo? Na trh 25 June mahakama ilimtupa nje ya ndoa yangu kesi ya mirathi

    • @queenesther2639
      @queenesther2639 3 місяці тому

      Km si mke harari wa Kigondo anakuwaje mkewa wa huyo mwingine?!

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 місяці тому +1

    Kwenye swala la afande ww dudubaya huna uelewa na sheria maswali mengine uwe unasema hujui huna uzoef wwte na mambo sheria, Nakupa mfano nenda fuatilia kesi ya scolarstika ya Himo moshi mlinzi aliua mwanafunz kwa panga, shahid wa mwisho alikua ni mtandao wa cm, mlinzi alihukumiwa miak30 maana yy ndo alishika panga, mwenye shule alifungwa miaka 7 maana yy ndo alimtuma mlinzi akaue, mwalim wa zam siku hiyo alifungwa miaka 4 maana nae alishiriki kutumaa mlinzi, ifuatilie hiyo kesi kwanza ya scholarstika Himo ina karibu miaka 6 tangu wafungwe hao watu, mambo ya sheria kama huyajui kaa kimya sio lazima ujibu

    • @NgamelaYussuph
      @NgamelaYussuph 3 місяці тому +1

      Shida wale walimkana aliyewatuma na Hata Binti pia alikili kuwa mmja Wao Alikua Mapenzi wake na pia Aliyefanyiwa Tukio hakutoa maelezzo ya kumhusisha afande

    • @YohanaGeorge-i7k
      @YohanaGeorge-i7k 3 місяці тому

      Wewe huelewi k2 tulia huyo mama hana kosa subiria kama ataenda jera

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 3 місяці тому +2

    Uyu jamaa amesema ukweli