PASTOR ISACK JINSI YA KUJUA KAMA NAFSI YAKO IMETEKWA KICHAWI,DALILI NA JINSI YA KUJINASUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 28 днів тому +1

    Mwendelezo sijui lini tena

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 28 днів тому +2

    🙌🙌🙌

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 28 днів тому +1

    Mungu awe pamoja nawe

  • @theblackandrew4119
    @theblackandrew4119 28 днів тому +3

    Huyu jamaa anajua

  • @ceciliamichael7234
    @ceciliamichael7234 26 днів тому +2

    Tatizo hupokei simu, namba yangu inaishia 36 pokea

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 26 днів тому +1

    Nimechelewa na Niko ndani

  • @theblackandrew4119
    @theblackandrew4119 28 днів тому +2

    Kaka nina shida ..Mungu kanibariki maisha ambayo sio mabaya ila nahisi nina vifungo vya kiuchumi naomba unipe mafunzo/maombi ya namna yakujinasua..

    • @user-xw8om1qd1g
      @user-xw8om1qd1g 26 днів тому

      Ushawahi kufanya maombi ya kuvunja maagano ya ukoo,!?

    • @theblackandrew4119
      @theblackandrew4119 26 днів тому

      @@user-xw8om1qd1g mara nyingi

    • @annkim2690
      @annkim2690 22 дні тому

      Bishop Elibariki sumbe mizimu utajifunza huko mengi

  • @dondada1764
    @dondada1764 28 днів тому

    Tupe mbili mbili Davista

  • @dondada1764
    @dondada1764 28 днів тому

    Nime piga kuhusu maombi ila atuja mpata prophet

  • @ZainabSaid-i4k
    @ZainabSaid-i4k 28 днів тому

    Kuna Mchungaji huku kabadili dini Yani kaslimu

    • @theblackandrew4119
      @theblackandrew4119 28 днів тому

      Ni sawa yupo huru kuhamia dini anayotaka

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 28 днів тому +1

      Yohana 10:10 Yesu alisema "Mwizi huja kwa nia ya kuiba, kuua na kuharibu. Nimekuja ili watu wapate uzima; uzima ulio kamili."

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 28 днів тому +1

    Tatizo haupokei simu kuwe waaminifu

    • @SuzanaNyanda
      @SuzanaNyanda 28 днів тому

      Alisema simu yake ni mbovu iliharibika

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 28 днів тому

      Jamani nisaidie naomba hasijakamilika

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 28 днів тому +1

      ​@@SuzanaNyandaHapokei kweli nilimpigia cm wakati wa Ile shuhuda

    • @paulndoya5805
      @paulndoya5805 27 днів тому +1

      Huwa anapokea lakini mara moja moja sana sababu ya ubize alionao mtafute tsap

    • @HappyPaul-nj9ri
      @HappyPaul-nj9ri 22 дні тому +1

      Hapana ubize gani muda wote Sasa Kuna haja gani yakuweka namba kama Yuko asiweke kabisa wapo watumishi wa Mungu lakini wanafanya kazi ya Mungu nawanapokea simu kama hawezi kupokea tunawasiwasi na anayoyashuhudia kama anashindwa kupokea simu na kumsikiliza shida za watu