Jamani tuwe waombaji sana natujifunike kwa damu ya Yesu sababu mahali imefika binadam hawaamiki tena akikuona uko na nyota kubwa anaanza kukufanyia deal ya vile atakuchukaa msukule
Shukran sana Davistar kwa kutupa Elimu ya Ulimwengu wa pili ukiacha Ulimwengu tuliouzoea wa Macho ya Nyama . Lakini jitahidi kuzimaliza Story na kama kuna Changamoto ya kutihitimisha story tujulishe . By the way am good fun from Dodoma City .
Mbona anahadisia kama story ya kutunga anatafuta maneno anaunganisha Au amehifazi story za watu wengine anajifanya yeye ndiye yaliomkuta.ah huyo muongo kinoma.
Yesu ndani Yako tuna kingwa kabisaaa
Mr facts uko sawa mwonekano tunashukuru mungu
Jamani tuwe waombaji sana natujifunike kwa damu ya Yesu sababu mahali imefika binadam hawaamiki tena akikuona uko na nyota kubwa anaanza kukufanyia deal ya vile atakuchukaa msukule
Shukran sana Davistar kwa kutupa Elimu ya Ulimwengu wa pili ukiacha Ulimwengu tuliouzoea wa Macho ya Nyama .
Lakini jitahidi kuzimaliza Story na kama kuna Changamoto ya kutihitimisha story tujulishe . By the way am good fun from Dodoma City .
Ata haeleweki anafikiria kama katunga ndiomaana ana hadithia kidogo kidogo asisahau aliyo ya kariri maskini
Jamaa had uongeaj wake haujakaa sawa!!
Always am here 😊
Mr DM mambo
Mueke wazi huyo jamaa tajiri kwa devistar hitakua vizuri👍
Davista acha hasira huyu jamaa
Haja pona sawa sawa anamatatizo bado kaka
Davista hana hasira, labda tu ameuliza kwa mkazo sana
WA kwanza au?
Uleushuhuda watajiri pesa zakichawi mbona auendelei
Safi
Huyu kujielezea hawezi
Pengine aliharibiwA. Kule alikotoka
Ushuhuda wa Aston mbaya mbona hauendelei? Davista
Kesho ndio utaendelea mtu wa Mungu
Kaka davista naomba namba ya huyu kaka
Kidato cha Saba ndo kidato gan?
Alitaka kumaanisha darasa la 7
Mamb mengine take easy mbona imeeleweka
Davista Mata
Mbona ile hadithi ya kwenye kitabu haiendelei
Itaendelea kesho
Mbona anahadisia kama story ya kutunga anatafuta maneno anaunganisha Au amehifazi story za watu wengine anajifanya yeye ndiye yaliomkuta.ah huyo muongo kinoma.
Bado hajapona vizuri sikiliza mpaka mwisho amesema kwanini yupo hivyo
Kidato cha ??????
Alitaka kumaanisha darasa la 7
@@DavistarMataMediaDM 😁😁😁😁asante ila ulitakiwa kumrekebisha pale pale
@@DavistarMataMediaDM Davista ushuhuda wa Aston mbaya mbona hauendelei?
@@marianaduncan6330 ua-cam.com/video/P9NDzL4rBAo/v-deo.html&si=EnSIkaIECMiOmarE
Cha7
Makubwa haya