Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
Mmmmmh 😢😢 Naziona pointi sita zikikatwa live kabiiiisaaa bila chenga.. Tabora United na ile timu ningine jiandaeni kupokea pointi zenu aiseeeh.. Na mkiona ujanja ujanja na ninyi njooni mkate rufaa aiseeeeh Hakuna cha busara, tufate kanuni tu.... Ndo Maiti Fc watajua hawajui..... Duuuuuh KUMEKUCHA HUKU JAMAANI😮😮😮😮
Jamani waandishi na wachambuzi waongo sana ati Yanga waliongea na mchezaji bila kushirikisha klabu. Kumbe klabu yake walishirikishwa na pesa walipewa. Tamaa ikawaponza
Tunafanya vizuri kwenye Ligi ni kutokana na kuwa na wachezaji wazuri na Viongozi wenye akili kubwa sana ya mpira maana kwa TFF hii ni ya Hovyo sana wao wanajua mchezaji ana mkataba na Yanga iweje wamruhusu acheze Timu nyngne.. Hapo ttz ni TFF wengi wao ni Wehu hawajui chcht kuhusu mpira na kanuni zake
Ss hatuna shida na points 6, ss tutacheza kwa kiwango chetu na tutapata matokeo lwa uwezo wa MUNGU,tunachtaka na sheria ifuatwe tuu basi, avunje mkataba tupate chetu maisha yaendelee
Usajili wa uhuni mnafanya sana ndio maana mpaka leo simba na yanga hawana viwanja uhuni mwingi sana ebu angalia vzuri,kibabage,andambwile,na kagoma mchanganyiko mtupu na hii kesi yanga wakishindwa tafuteni mwanasheria mwingine
Kuomba radhi au kuombwa radhi haikuwa kwa mujibu wa kanuni bali ni kile kilichoitwa kama "BUSARA". SASA KILICHOPO NDIO HIKI KWAMBA MWIZI AMBAYE NI KOLO ACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA KANUNI, NA MCHEZAJI AFUNGIWE. TULIA WE KOLOKWINYO ILI DAWA IKUINGIE VIZURI....
YULE ANAYEJIMILIKISHA MALI YA MTU MWENGINE BILA YA RIDHAA YA MMILIKI HALALI WA MALI HIYO ANAITWA [MWIZI/JIZI]. Kwa hiyo wewe kolokwinyo inaonekana una tabia hiyo ya WIZI ndio maana umetamka maneno yako ya KIJIZI
Meza moja ipi sasa😂😂 wakati kanuni zipo!!!!! Kimenuka huko Mwiguru aliyaona hayo na akashauri vizuri, lakini Sanda fc sasa, wanadhani bado ni utani wa Jadi....😂😅😂😅
Hakuna kitu kama hicho inaelekea makolo mnataka. mambo ya hovyo2 tu. Bodi ya Ligi Tff na vyombo vyote msimeze matapishi yenu. Mungu bariki Sheri, Kanuni na Taratibu za mpira wetu. Heshima itakuja kwenye ligi yetu na mtakuwa mmeheshimisha mpira wetu Afrika na Duniani. Wakati msemaji wenu Ahmed Ally alivyokuwa anainanga Yanga alikuwa anamahaniasha nini kwa nini hakuja na busara uliyotumia wewe. Ahmed Ally ndiye amekuja kuharibu yote. Tunaamini alichosema ndicho alichotuma na viongozi wake. Ndiyo maana Yanga hatukubali kabisa.
Hauoni tatizo hapo bado unaijua TRA vizuri ushabiki usikuzime akili ndugu. Kwa taarifa yako hapo unaweza kushitakiwa kwa KESI ya hujumu uchumi na kukwepa Kodi timu yako ipo tayari kwa hilo?!
Safi.... Ally Kamwe "Daima mbele Nyuma Mwiko" hatutarudi nyuma sheria msumeno.
MUNGU ni mwema kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
Kweli unapenda Nongwa😅😅😅😅
Daaaah wachezaj wanaznguaa sometimes
Allaah Akbar
Mmmmmh 😢😢
Naziona pointi sita zikikatwa live kabiiiisaaa bila chenga..
Tabora United na ile timu ningine jiandaeni kupokea pointi zenu aiseeeh.. Na mkiona ujanja ujanja na ninyi njooni mkate rufaa aiseeeeh
Hakuna cha busara, tufate kanuni tu....
Ndo Maiti Fc watajua hawajui.....
Duuuuuh KUMEKUCHA HUKU JAMAANI😮😮😮😮
The Club Above All🔰
Hata sisi wananchi wenyewe tunapenda nongwa
Katibu wa Nongwa niko hapa
Ila wachezaj wetu bhana. Sijui wanakuaga na shida gani
Jamani waandishi na wachambuzi waongo sana ati Yanga waliongea na mchezaji bila kushirikisha klabu. Kumbe klabu yake walishirikishwa na pesa walipewa.
Tamaa ikawaponza
Asante yanga 💚💚💚
Yaan waandishi hovyo sana, edo gerge job jaman wafundishen wenzenu
Hatuna huruma kbx na nyau
Adhabu itumike watazoea.
Nimeamini kuomba kwake msamaha kunaazia wapi. Kweli amekosea
😂😂😂ila Ally bana jau sana😂😂
Kweli aly kamwe unapenda nongwq
Boss wao c ana hela 😂😂Hatumtaki walipe ela na fidia wamchukue 😅😅😅
Tumekuelewa vizur sana hukumu ichukue mkondo wake kama alipewa muda wa kuomba msamaha hakutaka kwa nini
Saafi sana hakuna maswali waende wakaendelee kuchambua,
Yanga💯
Kumbe ada zetu alafu ànatuletea dharau😮
Atulipe pesa zetu
Tuna waandishi wa habari wasiojua majukumu yao. Wamekuwa wakitudangaja wanaleta habari za kufikirika na wavivu sana
Ayo ana sikia lkn
Wachambuzi huwa wanaongea hisia zao na siyo facts za swala husika
Dahima mbele nyuma mwiko ushindi lazima
Ila kamwe ....eti ni miaka mitatu sio miezi mitatu
Nafkir wameelewa ukolon fc sasa point 6 hizoo 😂😂😂😂
Waache dharau😊
Yanga ya 🔥🔥🔥💚💚💚
Very true🔰🔰🔰🔰
Wandishi wamechochea zaidi
mtoto kautaaa mtoto kautakaaa
Mtoto kautaka mtoto kaupata. Aisee!!
Nongwaa
Haya ambao walidanganywa kuwa yanga hawakuongea na klabu anayotoka
Tunafanya vizuri kwenye Ligi ni kutokana na kuwa na wachezaji wazuri na Viongozi wenye akili kubwa sana ya mpira maana kwa TFF hii ni ya Hovyo sana wao wanajua mchezaji ana mkataba na Yanga iweje wamruhusu acheze Timu nyngne.. Hapo ttz ni TFF wengi wao ni Wehu hawajui chcht kuhusu mpira na kanuni zake
Kwahiyo mwanasheria Simon Patrick,unasema " Wanasheria wa KAGOMA,wa kagoma kuvunja mkataba mmoja ili KAGOMA apate uhalali "
Kanuni kanuni kanuni kanuni tu
Kwahyo, vile vi point sITA VYA SIMBA TUNAVIKWANYUA
Ss hatuna shida na points 6, ss tutacheza kwa kiwango chetu na tutapata matokeo lwa uwezo wa MUNGU,tunachtaka na sheria ifuatwe tuu basi, avunje mkataba tupate chetu maisha yaendelee
Sisi ndo tunapenda mambo ya hivi mi mpale kabisa
Kagoma kama.jina lake 😅😅😅
Kwel ubaya una mwishoo😂
Good
me naona aombe tu msamaha akiwa kavaa nepi sio bukta maana ana kiburi huyo kijana
Busara ilitumika kwa Fei wasituzoeee
Ww kisugu ulimuona Ali kamwe anaakili ww ndio una Akili unatea ujinga litawakuta mabaya nyinyi Simba pweti mtazitema
Viongozi pambanenii na hizi sheria ,maana msipoangalia tutapokonywa wachezaji kila siku
16:25 16:27 16:28
Mbona Manara alifungiwa?na yule afungiwe
Minya kabisa hawasikiagi hawa
Mtoto kautaka sasa😅😅😅
Usajili wa uhuni mnafanya sana ndio maana mpaka leo simba na yanga hawana viwanja uhuni mwingi sana ebu angalia vzuri,kibabage,andambwile,na kagoma mchanganyiko mtupu na hii kesi yanga wakishindwa tafuteni mwanasheria mwingine
Ubaya Ubwege😮😮
Lakin nongwa 😂😂😂😂
KUNAKITU KAMA NAKIONA KWA MBAALI SIMBA YETU RUNGU KALI KUTUDONDOKEA
Hao makolo n
♻️♻️♻️♻️
Wa kiri2 kabisa kwamba walitukoseya bilahivo yamga
ngaya bingwa
January zamu ya Ardof mtasigwa
Kumeanza kuchangamka
Sheria ifate mkondo wake, na wala hatumtaki maana ata akija atakuwa hachezi kwa moyo zaidi ya kuja kutupigisha shot.
Mbona sasa tff kibali wamewapa SIMBA
Safari hii yanga wakishindwa hii kesi inabidi huyu mwanasheria ajiuzulu maana ameshindwa kesi nyingi
Wanayanga hatutaki msamaha tena
Ally Kabwe:Kwa kutaka kuombwa radhi unatumia kanuni ya ngapi?
Kuomba radhi au kuombwa radhi haikuwa kwa mujibu wa kanuni bali ni kile kilichoitwa kama "BUSARA". SASA KILICHOPO NDIO HIKI KWAMBA MWIZI AMBAYE NI KOLO ACHUKULIWE HATUA KWA MUJIBU WA KANUNI, NA MCHEZAJI AFUNGIWE. TULIA WE KOLOKWINYO ILI DAWA IKUINGIE VIZURI....
Jemedari huyo ndio aliyesema hivyo
Wakili msomi ongeza roba hd mamaaa nakufaaaaa.
Tff Tanzania hawapo serious
Ayo maji unanywea njaa au
Niko pale pale akihomba msamah naku kiri kwamba katukoseya yeye binnfi atokuwa tumsamehe bure kabisa yanga bingwa b6
Mwanasheria hujatueleza swala la msingi: Kwanini Fountain Gates hajashitakiwa wala halamikiwi katika shauri hilo?
Mi waandishi na wachambuzi wa bongo nshajiondoa, siskilizagi izo watu kabisa
Mwaka huu hakuna kombe litafunikwa ili mwana haram apite Yanga oyeeeeeeee halafu huyo Kagoma anatudharirisha sisi watu wa Kigoma bn
😂😂😂😂
Ally unashika karatasi kwa kucheka jaman 😅😅
Ally Kamwe, Mwenyekiti wa wasemaji tulia hicho ni kikao muhimu na wewe ni mtu mzito.
Pamoja na maelezo meengi kagoma ni Mali ya Simba
YULE ANAYEJIMILIKISHA MALI YA MTU MWENGINE BILA YA RIDHAA YA MMILIKI HALALI WA MALI HIYO ANAITWA [MWIZI/JIZI]. Kwa hiyo wewe kolokwinyo inaonekana una tabia hiyo ya WIZI ndio maana umetamka maneno yako ya KIJIZI
KOAENI ILI UHUNI HUU UISHE
Shikirieni Hapo Hapoo Viongozi Wetu 😂
Hatutaki busara,nini maana ya kanuni???????????????????????????????..........
Duu,sisi simba tumejichanganya.Mm ombi langu ninaomba tu,tukae meza moja na yanga ili tumalizane na haya jamaa,ili mambo yasiwe mengi.
Meza moja ipi sasa😂😂 wakati kanuni zipo!!!!!
Kimenuka huko
Mwiguru aliyaona hayo na akashauri vizuri, lakini Sanda fc sasa, wanadhani bado ni utani wa Jadi....😂😅😂😅
Bora umechanuka hapo kuna KESI ya hujumu uchumi na kukwepa Kodi endapo timu haikulipa kupitia benki.
Busara itumike tu.Tusije kukapokonywa point 6.
😂😂😂😂😂
Hakuna kitu kama hicho inaelekea makolo mnataka. mambo ya hovyo2 tu. Bodi ya Ligi Tff na vyombo vyote msimeze matapishi yenu. Mungu bariki Sheri, Kanuni na Taratibu za mpira wetu. Heshima itakuja kwenye ligi yetu na mtakuwa mmeheshimisha mpira wetu Afrika na Duniani. Wakati msemaji wenu Ahmed Ally alivyokuwa anainanga Yanga alikuwa anamahaniasha nini kwa nini hakuja na busara uliyotumia wewe. Ahmed Ally ndiye amekuja kuharibu yote. Tunaamini alichosema ndicho alichotuma na viongozi wake. Ndiyo maana Yanga hatukubali kabisa.
😂😂😂😂😂😂
Nyie mlilipa kwa benk simba wametoa cash sasa shida iko wap😂😂😂
Hauoni tatizo hapo bado unaijua TRA vizuri ushabiki usikuzime akili ndugu. Kwa taarifa yako hapo unaweza kushitakiwa kwa KESI ya hujumu uchumi na kukwepa Kodi timu yako ipo tayari kwa hilo?!
Unatchosha bana wwe
Labda familia yako
Una shida kubwa ya akili wewe
Umeitwa si umekuja mwenyew mxiueeee
Kigeso Michael 😂😂😂 pole ndugu ndiyo maisha
Jemedari huyo ndio aliyesema hivyo