Mmh 😢😢poleni sana hakika Mungu ni mwema hajawahi shindwa ukimwita anaitika hongereni kwa imani kali pia asante sana kwa maombi ya watu na washika mbalimbali, Mungu azidi kuwaimarisha zaidi hongera sana kwa ushindi na pole sana sana 😭😭 hakika Mungu wetu hajawahi shindwa p..
Mungu ni mwema nyakati zote. Tunamshukuru Mungu kwa YOTE na hasa kwa kuachiwa kwenu kuwa huru. Poleni sana na kwa kanisa letu la YESU kanisa Katoliki na watu WOOOTE wenye mapenzi mema.

Pole kwako frt Mungu anawapenda sana usikate tamaa endelea kuitika sauti ya kumtumikia .
Mungu ni mwema nyakati zote. Tunamshukuru Mungu kwa YOTE na hasa kwa kuachiwa kwenu kuwa huru. Poleni sana na kwa kanisa letu la YESU kanisa Katoliki na watu WOOOTE wenye mapenzi mema.
Mungu anawapenda sana sana Mungu awaponye hofu mliyoipata ktk purukushani zenu ila Mungu bd yupo
Asante Yesu kwa kuwa umeonekana ktk mateso ya hawa watumishi, Mungu tuongezee iman(Ninawatuma kama kondoo kati ya Mbwa mwitu)7
Mungu wetu ni muaminifu, pole kwa misukosuko yote. Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili yako.
Pole Sana Frate, Mungu aendelea kukupigania katika safari yako ya kiroho
Mungu wetu anajibu maombi yetu...Mungu wetu ni mwema. Hakika tuliwaombea na sasa tunamshukuru Mungu pamoja nawe. Pole sana Frate
Poleni sana mungu yu pamoja nanyi
Poleni sana mungu ni mwemà amewapigania tumpe mungu shukuran
Jina la Bwana Mungu lihimidiwe
Kwa kweli Mungu apewe sifa. Polenisana.
Pole sana frt.
Mungu ahimidiwe pole Sana frat kwa
Hakuna linalodshindikana kwa Mungu,Baba tuongezee Iman
Hakika hakuna linaloshindikana kwa Mungu. Poleni sana Frateri na Padri
Pole sana frt kweli Mungu ni mkuu😢
Huyu padri ni shupavu. He is very strong in the Lord!!!!
Kweli nimefurahi sana,pia imenizidishia imani, nimeamini hakuna linaloshindikana kwa Mungu
Mungu apewe sifa anayewakoa watu wake na watu waovu
Hawa watekaji mungu awasamehe kwani hawajuiwalitendalo
Mlikuwa mnapika huku mikono imefungwa?
Mlikuwa mnapika mkiwa mmefungwa mikono na kufunikwa macho?
Ss watafuta umaarufu kwenye media!